Mzee kama nadhani ni kinyume chake hao jamaa wao ndio wananufaika zaidi kwa nchi za kiafrica kuliko wa africa mzee ,Wanachochukua ni kikubwa kuliko hiyo misaadaWest wanatubeba sana katika mambo mengi..,Hawa wanaobeza support ya west hasa Kwa mataifa ya Africa ni kwamba hawajitambui. ..,Wala hakuna lugha nyingine rais ya kuwaelezea zaidi ya hiyo,
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Hii ni sahihi. Zelenski aliingia katika urais kwa lengo la kuboresha uhusiano na Urusi. Ila: mapatano huhitaji watu wawili...
Kirahisi hivyoooo?Washington's conditions for a peaceful end to the Ukrainian conflict:
-withdraw all Russian troops from Ukraine
-And think about how Russia will pay reparations to Kiev - Russian Ambassador to the United States Antonov
Kwani hizi ndege za urusi zina matatizo gani mbona zina wenge sana
Nyingine tena hiyo mtadai ajali yani nyie ajali tuu kila kukicha
The New Voice of Ukraine
Russian military plane crashes in residential area in Irkutsk, both pilots killed
Sun, October 23, 2022, 8:07 PM·1 min read
Su-30 fighter jet crashed into a house in Irkutsk, Russia
Read also: Russia has lost more than 90 aircraft in Ukraine, Canadian intelligence says
The Russian Emergencies Ministry said that the crash was caused by a Su-30 fighter jet that was "performing a training flight," Russian media quoted the ministry as saying. Allegedly, the aircraft crashed within the city, impacting a residential suburb. Fire and rescue units are working at the scene, the Russian government said, adding that both pilots of the crash perished, though there were allegedly no
Fafanua mkuu,mbona kama vile mtu anazungukwa soon?Sio muda tunamtia mtu kati View attachment 2396116