Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Dah.....Kuna watu wanafanya uchambuzi aisee.....you have made me a day....congratulations...
 
Dah.....Kuna watu wanafanya uchambuzi aisee.....you have made me a day....congratulations...
 
Ukraine ameonyesha utukutu! Kinachoendelea hakitokwisha hivi hivi!

Mwisho wa hii OP ni lazima Ukraine apigwe na kitu kizito sana ambacho kitamaliza kila kitu na kumfanya arudi kwenye meza ya maongezi.

Ni kweli mkuu, lakini mimi binafsi na amini kwamba jeshi la Urusi linapanga kushusha kitu kizito pale jiji la KHERSON na viunga yake wakisha hakikisha kwamba jeshi la Ukraine,mamluki pamoja na wanajeshi wa NATO/US wanao saidiana na jeshi la Ukraine kupigana na Russia.

Russia ikisha hakikisha wote wameingia kwenye mtego wake huko KHERSON pamoja na silaha zao - basi, hapo ndipo jeshi la Russia litahamua kuwashushia kitu kizito - my opinion.
 

Teh umerudi... Haya tuendelee ila hakikisha uko na data karibu pia make sure katika majadiliano 'A' ibaki kua 'A' na 'B' iendelee kua 'B'. I mean kusiwe na double standard ya hiki ama kile.

Tuanze rasmi!
Kuhusu Soko la Ulaya la Gas...
Hapa sikwambii nani ila nataka kukupa data uzitafakari!

Before 24th Feb, Russia ni top Natural Gas Exporter to "EU", akiwa ana account for more than third ya wote! Russia Natural Gas ni Cheap by 1/4th kuliko ile ya US na ni safe zaidi kwa climate compared ya ile ya US.

It's cheap Russian Gas inayoiweka EU kua competive kwenye soko la dunia in term of uzalishaji. Hivyo utaona issue ya Tax around Europe ni high ila corporates nyingi ziko hapo due to low cost of production ambayo chanzo kikubwa ni cheap energy. Of course ni cheap kutoka Russia!

So what does it mean by replacing Russian NG with others suppliers.

Jibu ni simple, It's High cost of energy ambayo itapelekea high cost of production. High cost of production will sky rocket EU products na kuzifanya kua uncompetitive sokoni. Which in turn will account kwa collapse of EU economy as many companies will head towards countries ambazo watakuwa assured kua na low cost of production hivyo kuweza ku'maximize their profits.

Hiyo ni general view of the situation.

Now tuje in term of figures!

As data nilizo kuonesha juu... Russia ana account more than 3rd, its 43%. while that of US ni less than 8%.

Tufanye mahesabu mepesi kiutu uzima.

Lel say total amount consumed by EU ni 1,000.
[emoji95] Total inayotolewa na Russia peke ake 43% maana ake ni 430.
[emoji95] Total inayokua supplied by US less than 8% ambayo tunaweza sema ni approximately kama 80 hivi kwa mfano wa 1,000 niliotoa.

So US ku'replace Russia hapo EU will need to supply over '510'. That's over 6 times of the current supply anayotoa US kwa Europe, kwa lugha nyingine ni kwamba afanye juu chini akidhi over 51% ya kile EU wanatumia.

Maswali unayopaswa kujiuliza.
1. Is that possible? If yes how?
2. What's current production of Natural Gas by US? And how hiyo '530' will be added in current production to satisfy the demand?
3. How big is natural gas reserves anayo US? Will it be secured for a long term?
4. What's current consumption of Natural Gas by US? Je atakuwa na surplus ya zaidi ya kuweza kuendana na hilo Gap la Russia?
5. How about means of delivery from US to EU compared to Russia to EU? Will it be secure and safe to such large amount of Natural Gas required kumtoa Urusi sokoni?

Hayo ni machache maswali ya kujiuliza.

Digest some hints below!

Unajua kwanini inaitwa LNG?
Jibu la hili swali itakupa muongozo wa swali la 5 hapo juu.

Unajua how LNG is transported and stored? Na je hizo resources za kutunzia Gas to such amount zipo EU? Do you know why Russia Natural Gas is cheaper kwa EU compared na wengine? Jibu la swali hili litakupa mwongozo wa swali la kwanza hapo juu.

Je wajua kama US despite being among top Natural Gas producer ila ni miongoni mwa Importes wakubwa wa Natural Gas nchini mwake? Yes cause anatumia zaidi kuliko anacho zalisha.

Na kuweka maelezo sawa kitakwimu ni kua US na China (Each of them) wanatumia higher amount of Natural Gas kuliko collective EU yote.

Najua utajiuliza kama yeye anapeleza kwanini anaenda kuuza huko EU. Yes that's business you sell where it fits your interest! Anauza EU kwa bei mara 4 zaidi ya anayouza nyumbani.

So ana import kutoka Canada, Australia kwa bei chee... Kiasia anabeba anapeleka kuuza EU kwa bei mara 4 zaidi... Why? EU kuna liberal market of energy! Its market that determines price ya energy kwa ujumla. (Kwa jicho pana) tunasema liberal markets are easy to manipulate by imperialists who focus much on profit kuliko service yenyewe!

Sooooooooo... Russia hakosi kitu kwa EU as her Natural Gas are cheap. Hivyo soko lake ni easy na liko on demand! That's why even EU wenyewe wanapigana vikumbo kuikwepa. Up to date keshafanya diversity ya kile kilicho kua kikitumika EU now kipo kinatumika Asia.

Anayekosa au kuharibikiwa ni allies wa US sio Russia. Hata logic ya kawaida tu unasusa wengine wanakula... Utakufa njaa wewe usie jua kupika na usie na jiko.

Russia ana make strategic alliances, Ukubwa wa pua sio wingi wa kamasi. Just China na India ni soko almost two times ya kile kinachotumika ama kilichopo EU.

So tuzungumze kwa data mkononi!

Huo ni just muhtasari wa kipengele cha kwanza cha swali lako.

Kama umeelewa poa kama hujaelewa poa pia now tukubaliane kuto kukubaliana kabla hatujaingia kipengele cha pili.
 

“The Heart Part 5”
 
Zelensky bana ,anataka Kila nchi kuipangia ama kuichukua Urusi,ama iwe upande wake.
Jamaa kweli ni mtu wa ajabu sana.
Ni kawaida, Kuna binadamu hawapendi ujitengenezee option C wakati mezani zipo option A na B. Wanataka uchague kati ya A au B na ukichagua C isiyokuwepo mezani hawakuelewi.

Hata humu, ukisema Putin hajafanya sawa kuivamia Ukraine unakuwa pro Nato msapoti mashoga na huna akili na ukisema Urusi ipo sahihi kukataa kuuza nishati yake kwa dola unakuwa Pro putin mvaa kobasi, mpenda madikteta

Vichwa vya baadhi ya watu havitaki kukubali kuwa unaweza kuikosoa NATO huku ukiwa hukubaliani na Putin. Option hiyo haieleweki na haipo. Option zilizopo ni mbili tu, kuisapoti NATO na Ukraine au kumsapoti Urusi.
 
Dah we jamaa una mabalaaa. Hongera sana mkuu
 

waraka wa kwanza wa paulo mtume kwa Waebrania sehemu ya kwanza A
 
Hata wentewe wanalijua Hilo. Kunawa waziri Moja WA Ukraine kawamvua Leo kuwa wasidhani Russia anakimbia ila anajipanga.

Inasemekana wameanza kuingiza silaha mpya.
 
Mt
Mtu yeyote mwenye uelewa akisoma ulichoandika atajua akuweke level gani. Korea Kaskazini inavamia Marekani kwa kutumia mitumbwi au nini?
Hiyo North Korea mnaitumikisha kwa lipi hasa, yani North Korea iivamie Marekani ili iweje? Yani mnaona wamekosa kazi kwa hiyo wataamua siku moja waivamie Marekani. Na wakitaka watatumia nini.

Eti "Urusi iliwahi toa ramani ya maeneo ya kupiga hapo Marekani". Sasa nikae hapa nibishane na mtu asiyejua tofauti ya kuvamia (invasion) na kupiga/kushambulia (strike). Hata jeshi la Burundi linaweza shambulia Marekani, ila haliwezi vamia. Nenda ujifunze kutofautisha kufanya shambulizi na kuvamia nchi kisha ulete ubishi.
 
Hata wentewe wanalijua Hilo. Kunawa waziri Moja WA Ukraine kawamvua Leo kuwa wasidhani Russia anakimbia ila anajipanga.

Inasemekana wameanza kuingiza silaha mpya.

Mkuu,nashukuru sana kwa kuliona hilo - lakini kwa bahati mbaya kuna watu mtabishana nao usiku kucha - wamekazania kwamba Warusi woga kama nini ndio maana wameikimbia KHERSON bila ya kunawa, hawajiulizi kwa nini jeshi la Urusi lina wahamisha kwa wingi raia wenye asili ya Urusi kutoka KHERSON kwenda Urusi hawaoni kwamba hiyo ni dalili tosha kwamba inajitayarisha kufanya maangamizi makubwa sana kwenye jiji la KHERSON na viunga vyake.
 
Hii Vita Russia alisha shinda toka zamani. Kinacho muuma USA ni loss ya investment yake Billions of US dollars toka 2014. Investment yake ina enda vice versa. Mostly, kwa Ukraine, hauzi silaha ana toa msaada. Hata Rais wa Ukraine, yupo tiyari kujisalimisha ila tu pingamizi ni Investment Cost ya USA. Ana shinikizo la USA tu. Loss kwa Ukraine hadi sasa ni takribani Billion 350 Euros. Siyo mchezo huo mpunga. Bado madeni.
Pia huko EU unako kusema Gas hakuna atakae kubali kununua 3-4 times ya market Price. France, Germany wote wame mchana Live USA. Kuwa huo ni wizi/unyonyaji. EU Wote wana uziwa Gas ya Russia indirectly, kupitia Mrusi kumuuzia India, China, na Saudi Arabia. Na EU kuinunua. Tena. Yaani hakuna kuruka hiyo gesi ya mrusi. Yaani wakula matapishi yao wenyewe.
Industry Sector ya Germany imeathirika sana, hawezi kukubali kuendekeza upumbavu kwa vita ya USA isiyo kuwa na maslahi kwa Germany. Ndani ya miezi 3 ijayo karibia EU nzima ita muachia USA vita yake.
 
Yaani sera za kijinga za viongozi wa Magharibi zinaenda kuwatesa sana watu wao siku za mbeleni. Na Nina uhakika Ulaya tunayoijua haiwezi kurudi tena.
 
Finland kamtandika Mara ngapi urusi wakati wa baridi?
Mfatilie mvamizi urusi kavamia mara ngp finland hzo mara ngp alizovamia ndzo alzopokea kpgo. Mnaleta mambo ya kijnga sn kwny hii thread kama simba na yanga. Yan mnaamin nato na marekan hawajui kuna barid kali linakuja na kwmb hawajajipanga namna ya kulisaidia jesh la ukraine? Mnadhan nato na marekan hawajui kwmb uwenda urusi anatoka hapo kherson akajpange ili aje kvngne mnadhan wao hawajui na hawajajpanga? Lakn si putin alitangaza mapema kbs wkt urusi wanavamia ukraine kwmb atakayesaidia ukraine kwa namna yoyote atapgika leo imeshndwa nn kuwapga hao nato na marekan maana mpk mnasema nato wana wanajesh wao ukraine kama wapo urusi si atimize kile alichosema sasa, achen ushabk urusi ni mkubwa haina ubish ila ni mdogo kwa nato na marekani, china n mkubwa ila n mdogo kwa nato na marekani ndo maana taiwan ipo salama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…