kwan vita inaoiganwa Urusi au Ukraine ?km ni Ukraine inakuaje wameishi miaka ming hivo eti leo ndo hali ya hewa iwasumbueRussians waliumbwa na sifa za kipekee za kuhimili baridi?
Una hakika ,kunakitu kamikaze mabeberu wakisikia wanabweka Kama mbwa mwogaπ₯±.Achilia mbali vile vya kuvurumishwa huku Gilasi ya vodka inashuka tartiiibuuππNdio silaha pekee aliyobaki nayo Putin.., silaha zote zimebuma [emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
kwa akili zao fupi ndio maana walitawaliwa na vikundi vya vikoba vya ulayaMfatilie mvamizi urusi kavamia mara ngp finland hzo mara ngp alizovamia ndzo alzopokea kpgo. Mnaleta mambo ya kijnga sn kwny hii thread kama simba na yanga. Yan mnaamin nato na marekan hawajui kuna barid kali linakuja na kwmb hawajajipanga namna ya kulisaidia jesh la ukraine? Mnadhan nato na marekan hawajui kwmb uwenda urusi anatoka hapo kherson akajpange ili aje kvngne mnadhan wao hawajui na hawajajpanga? Lakn si putin alitangaza mapema kbs wkt urusi wanavamia ukraine kwmb atakayesaidia ukraine kwa namna yoyote atapgika leo imeshndwa nn kuwapga hao nato na marekan maana mpk mnasema nato wana wanajesh wao ukraine kama wapo urusi si atimize kile alichosema sasa, achen ushabk urusi ni mkubwa haina ubish ila ni mdogo kwa nato na marekani, china n mkubwa ila n mdogo kwa nato na marekani ndo maana taiwan ipo salama.
Kwa maoni yangu ni kwamba Kiev anakopeshwa either kwa kujua au kutokujua! Maana hata wakati wa Vita yetu na Uganda miaka iyo Siraha tulipewa lakini mpaka leo madeni yapo.Mie nataka kuuliza ama kujua moja tu US silaha kule UKRAINE anauza ama anatoa msaada(mkopo)
Kama sirikali ya KIEV inasema wazi kama haiwezi jiendesha endapo watakosa misaada tokea huko EU
Unahisi US na wenzie hapo KIEV wanauza ama !!!??
Ila mkuu ili la kwamba Urusi na Korea wana mpango wa kuivamia USA nalisikia kwako! Hakika ukifuatilia nyendo za kijeshi za mataifa uliyotaja hamna nchi hata moja yenye ndoto za kufanya ilo bali ni Mipango ya kujilinda endapo watavamiwa na USA. Ndo maana ukiangalia utaona Jeshi la Urusi limewekeza kwenye kujilinda zaidi kuliko kushambulia( ni defensive zaidi kuliko offensive) ambapo kwa USA ni kinyume chake.Nchi ambayo inawaza kuvamiwa ndio huweka defensive lines. Hutokaa usikie Marekani imefanya hivyo maana haijawahi waza kama itavamiwa kwenye ardhi yake. Na sidhani kama kuna nchi dunia hii inawaza kuivamia Marekani kwake. Urusi ina landmass kubwa na ina mipaka ya ardhi mingi. Marekani inahitaji kuelewana na Canada na Mexico kuzuia adui, Urusi inahitaji nchi jirani kibao.
Kwamba Marekani haiwazi kuvamiwa,aisee kwa kweli hii ndio naisikia Sasa hivi.Ila hapa umetupiga changa la macho.
Jibu ni kwamba,Marekani inawaza sana kuvamiwa na Urusi,china,na Korea Kaskazini.
Sidhani kama Kuna nchi duniani inawaza kuivamia Marekani,aisee hauko siriasi kwa kweli.
Urusi iliwahi Hadi kutoa ramani ya maeneo ya kupiga hapo Marekani.
Nchi nyingine zinazowaza kuivamia Marekani ni China na Korea Kaskazini.
Bila kusahau mgogoro wa Cuba.
Kherson inarudishwa taratibu. Ukifuatilia ramani za umiliki kila wiki unaona hiloLeo hii counter offensive inaendeleaView attachment 2396758
Una hakika ,kunakitu kamikaze mabeberu wakisikia wanabweka Kama mbwa mwoga
Mfano hizi ni anti tank blockage Wagner PMC ya Russia imezijenga. Defensive lines zinaweza kuwa na ditches, trenchs, barbed wire na landmines, n.kHizi line unamaanisha sio vikosi vya ASKARI na vifaa vita ni physical infrastructure pekee? Hapo sijaekewa mi nilidhani line ya kujilinda ni hizo structure pamoja na ASKARI katika mpangilio wa kivita
π€£π€£π€£π€£πππππ€π€π€We baba umeshaambiwa na USA Military Strategist.... HAWAWAZI KUVAMIWA
Bro mie niulize maswali machache! Moja: unafikiri kwa mawazo yako kati ya USA na Russia ni nani ananufaika/ atanufaika na soko la Ulaya la Gesi? Mbili: Unafikiri nafasi ya USA aliyokuwa nayo ya kuendesha shughuli za kijeshi ndani ya Ukraine kabla ya uvamizi wa Russia imepungua au imeongezaka? Tatu; Unafikiri haswa lengo la USA kuweka akiba ya mafuta ni kutumia yeye mwenyewe au kuyauza na kutawala soko endapo wazalishaji wengine watakuwa hawazalishi? Mwisho; Kabla ya Vita hii na sasa soko la Siraha la USA limepanda au limeshuka?
Kwani askari wa Ukraine wametoka Dodoma na Singida. Wao baridi sio sehemu ya maisha yao? Nyie pro Putin wa Sangamwalughesha mnachekesha kweli.Ndio silaha pekee aliyobaki nayo Putin.., silaha zote zimebuma [emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app