LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
sio uoga.enenda yu tube katizame kitu kinaitwa dead Hand cha mrusi.
hio system kila mwemy akil anajua kuwa huyu jamaa ni kumpa vikwazo na maneno ila sio kumrushia silaha

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Hahahha...nchi inayolisha ulaya nzima ishindwe kulisha watu 30,000?
Bro kwenye medani unakosa supply kama chakula na madawa, kwa mfano wanaweza kuvunja madaraja, kuweka mitego kufanya ambush au offensive ya mda mrefu kumfanya adui akose muda wa kula ili umtwange vizuri. Kama unafuatilia rusia wanatumia mpaka cluster bomb ili kuwa suffocate maadui ambao waliwasogolea na kuwatwanga. Mbinu nyingine wametumia Ukraine ni kufuta au kugeuza alama za barabarani ili kumchanganya adui hata kukosa supply kama chakula
 
Inasikitisha sana kuona nyumbu kama nyie msio jua kiini cha tatizo mnarukia vitu juju mmetoka jukwaa la Siasa na Mapenzi mmekimbilia kwenye jukwaa letu mnaleta ubishani wa kitoto mpaka wenye jukwaa tunashindwa kujadili mambo yetu..nyumbu hamna ustaarabu kabisa rudini kwenye Jukwaa lenu la Siasa Mapenzi huku kunataka vichwa vilivyotulia tu.p
 
Wengi wao hapa wanatumia maguvu kutetea hoja zao kuliko kuweka facts,wakielemewa wanakimbilia silaha ya mwisho ya kutumia lugha chafu.Ni watu wachache sana Pro Russia ambao huwezi wakuta wakijihami kwa lugha chafu kina NYUNDO YA MOTO Frustration Sikirimimimasikini na wengine wachache,waliobaki ni matusi na kejeli kiwaelemea utadhani sisi ndiyo tulimtuma Boss wao akaivamie Russia.

SLAVA UKRAIN👍
 
Wachechen wametangaza dau la kumdaka mzima mzima wakatengeneze ndafu
 
The only issues on which agreement is almost impossible are Crimea and the recognition of the LPR and DPR, Arakhamia, a representative of the Ukrainian delegation at the negotiations with Russia, said.

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…