NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,002
VTB intends to exit the European market after the sanctions imposed on the bank - reports the British newspaper Financial Times
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
sio uoga.enenda yu tube katizame kitu kinaitwa dead Hand cha mrusi.Kachanginyikiwa huyo baada ya marekani kushindwa kumpa ushirikiano wa kupigana na Urusi. Ukweli utabaki uleule 'NATO ni dhaifu na waoga sana' sio maneno yangu ni ya Rais wa Ukraine na ukweli mwingine mchungu zaidi Russia ametumia asilimia 10 ya uwezo wake wa kijeshi na kafanikiwa kuikalisha nchi ya 3 kwa ubora wa jeshi ulaya
Utakuwa unachekesha sana endapo utakuwa unalinganisha uwezo wa kijeshi wa Ukrain na Russia,hata Pro Russia wenzako hapa sidhani kama watakuelewa.Kama mtazamo wako ndiyo huu basi iko shida hata kulumbana kwa hili.Wanasema ukraine ni underdog [emoji28][emoji28]
Kuna nyumbu wenzake humu wanapeana moyo lakini ukweli wanaujua kuwa kuna mtu anagongwa mabomu mazito kwenye miji yake kila siku na hawana uwezo wa kuyazuia baada mifumo yao kupigwa vitu vizito toka Black SeaUyo fala anajikuta anajua sana uchambuzi kumbe ni fala tu
Huyu anafikiri risasi ni kama konde ngoja achomwe kitu chenye kali atatoa mlio mmoja tuVideo hizi naziona kwa wale mashabiki kama wa hapa jukwaani kwenye chanell ya RT telegramView attachment 2141171View attachment 2141180View attachment 2141176View attachment 2141179View attachment 2141181
Ni "rijali" haya endelea kunywa gahawa
.Mark hebu piga ban na huko FB, tuone hizo propaganda mtakakozitolea.
Bro kwenye medani unakosa supply kama chakula na madawa, kwa mfano wanaweza kuvunja madaraja, kuweka mitego kufanya ambush au offensive ya mda mrefu kumfanya adui akose muda wa kula ili umtwange vizuri. Kama unafuatilia rusia wanatumia mpaka cluster bomb ili kuwa suffocate maadui ambao waliwasogolea na kuwatwanga. Mbinu nyingine wametumia Ukraine ni kufuta au kugeuza alama za barabarani ili kumchanganya adui hata kukosa supply kama chakulaHahahha...nchi inayolisha ulaya nzima ishindwe kulisha watu 30,000?
Inasikitisha sana kuona nyumbu kama nyie msio jua kiini cha tatizo mnarukia vitu juju mmetoka jukwaa la Siasa na Mapenzi mmekimbilia kwenye jukwaa letu mnaleta ubishani wa kitoto mpaka wenye jukwaa tunashindwa kujadili mambo yetu..nyumbu hamna ustaarabu kabisa rudini kwenye Jukwaa lenu la Siasa Mapenzi huku kunataka vichwa vilivyotulia tu.pEndelea kuelimisha wamba wenye mawazo ya kishabiki mpaka wanakera, urusi inataka kufanya ukoloni ndio maana wananchi wa ukraine wame rise kupigania ardhi yao. Urusi inataka kufanya subordination ili kusecure its empire ambayo inahatarisha na kujipinyeza kwa hasimu wake beberu mkuu marekani. Mabeberu walijua hilo kwa kuwa putini amefanya escalation wao wanamuwinda kwa njia nyingine badala ya kuingia kivita ambayo itagharimu mataifa yote
Wengi wao hapa wanatumia maguvu kutetea hoja zao kuliko kuweka facts,wakielemewa wanakimbilia silaha ya mwisho ya kutumia lugha chafu.Ni watu wachache sana Pro Russia ambao huwezi wakuta wakijihami kwa lugha chafu kina NYUNDO YA MOTO Frustration Sikirimimimasikini na wengine wachache,waliobaki ni matusi na kejeli kiwaelemea utadhani sisi ndiyo tulimtuma Boss wao akaivamie Russia.Endelea kuelimisha wamba wenye mawazo ya kishabiki mpaka wanakera, urusi inataka kufanya ukoloni ndio maana wananchi wa ukraine wame rise kupigania ardhi yao. Urusi inataka kufanya subordination ili kusecure its empire ambayo inahatarisha na kujipinyeza kwa hasimu wake beberu mkuu marekani. Mabeberu walijua hilo kwa kuwa putini amefanya escalation wao wanamuwinda kwa njia nyingine badala ya kuingia kivita ambayo itagharimu mataifa yote
Utakua umeolewa na kaburu we sio buresizitaki mbichi hizi baada ya sungura kuzikosa ndizi mbivu
huo uwezo hawanaMark hebu piga ban na huko FB, tuone hizo propaganda mtakakozitolea.
Wachechen wametangaza dau la kumdaka mzima mzima wakatengeneze ndafuZelensky’s T-shirt has a symbol that looks like an iron cross, an award given for military distinction in Nazi Germany.
This drew the attention of users of social networks. The only difference is that the German order had a swastika in the center, while the Ukrainian president had a trident on the cross.
View attachment 2141132
View attachment 2141133