LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
VTB intends to exit the European market after the sanctions imposed on the bank - reports the British newspaper Financial Times
SmartSelect_20220301-220358_Gallery.jpg
 
Kachanginyikiwa huyo baada ya marekani kushindwa kumpa ushirikiano wa kupigana na Urusi. Ukweli utabaki uleule 'NATO ni dhaifu na waoga sana' sio maneno yangu ni ya Rais wa Ukraine na ukweli mwingine mchungu zaidi Russia ametumia asilimia 10 ya uwezo wake wa kijeshi na kafanikiwa kuikalisha nchi ya 3 kwa ubora wa jeshi ulaya
sio uoga.enenda yu tube katizame kitu kinaitwa dead Hand cha mrusi.
hio system kila mwemy akil anajua kuwa huyu jamaa ni kumpa vikwazo na maneno ila sio kumrushia silaha

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
 
Hahahha...nchi inayolisha ulaya nzima ishindwe kulisha watu 30,000?
Bro kwenye medani unakosa supply kama chakula na madawa, kwa mfano wanaweza kuvunja madaraja, kuweka mitego kufanya ambush au offensive ya mda mrefu kumfanya adui akose muda wa kula ili umtwange vizuri. Kama unafuatilia rusia wanatumia mpaka cluster bomb ili kuwa suffocate maadui ambao waliwasogolea na kuwatwanga. Mbinu nyingine wametumia Ukraine ni kufuta au kugeuza alama za barabarani ili kumchanganya adui hata kukosa supply kama chakula
 
Endelea kuelimisha wamba wenye mawazo ya kishabiki mpaka wanakera, urusi inataka kufanya ukoloni ndio maana wananchi wa ukraine wame rise kupigania ardhi yao. Urusi inataka kufanya subordination ili kusecure its empire ambayo inahatarisha na kujipinyeza kwa hasimu wake beberu mkuu marekani. Mabeberu walijua hilo kwa kuwa putini amefanya escalation wao wanamuwinda kwa njia nyingine badala ya kuingia kivita ambayo itagharimu mataifa yote
Inasikitisha sana kuona nyumbu kama nyie msio jua kiini cha tatizo mnarukia vitu juju mmetoka jukwaa la Siasa na Mapenzi mmekimbilia kwenye jukwaa letu mnaleta ubishani wa kitoto mpaka wenye jukwaa tunashindwa kujadili mambo yetu..nyumbu hamna ustaarabu kabisa rudini kwenye Jukwaa lenu la Siasa Mapenzi huku kunataka vichwa vilivyotulia tu.p
Screenshot_20220306-171115~2.jpg
 
Endelea kuelimisha wamba wenye mawazo ya kishabiki mpaka wanakera, urusi inataka kufanya ukoloni ndio maana wananchi wa ukraine wame rise kupigania ardhi yao. Urusi inataka kufanya subordination ili kusecure its empire ambayo inahatarisha na kujipinyeza kwa hasimu wake beberu mkuu marekani. Mabeberu walijua hilo kwa kuwa putini amefanya escalation wao wanamuwinda kwa njia nyingine badala ya kuingia kivita ambayo itagharimu mataifa yote
Wengi wao hapa wanatumia maguvu kutetea hoja zao kuliko kuweka facts,wakielemewa wanakimbilia silaha ya mwisho ya kutumia lugha chafu.Ni watu wachache sana Pro Russia ambao huwezi wakuta wakijihami kwa lugha chafu kina NYUNDO YA MOTO Frustration Sikirimimimasikini na wengine wachache,waliobaki ni matusi na kejeli kiwaelemea utadhani sisi ndiyo tulimtuma Boss wao akaivamie Russia.

SLAVA UKRAIN👍
 
Zelensky’s T-shirt has a symbol that looks like an iron cross, an award given for military distinction in Nazi Germany.

This drew the attention of users of social networks. The only difference is that the German order had a swastika in the center, while the Ukrainian president had a trident on the cross.

View attachment 2141132

View attachment 2141133
Wachechen wametangaza dau la kumdaka mzima mzima wakatengeneze ndafu
 
The only issues on which agreement is almost impossible are Crimea and the recognition of the LPR and DPR, Arakhamia, a representative of the Ukrainian delegation at the negotiations with Russia, said.

SmartSelect_20220301-220358_Gallery.jpg
 
Back
Top Bottom