Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Huko bakhumut kundi la Wagner linapewa kichapo Mpaka wanaajili vijana walioathirika na HIV na kuwapeka front line.., naona unaripot kimahaba zaidi kuliko uhalisia [emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kichapo alafu maeneo wanazidi kuchukua[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ivi kweli vichekesho. Kiwanda cha Asphalt kishangukia kwenye mikono ya wagner


 
Hizi video akiwaletea VUNJO si mnasema video game?..,Leo hii unataka niamini kwa kuwa umeleta wewe?[emoji16][emoji1787][emoji28]

Pro Russia mna vituko aisee [emoji1787][emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Vunjo anachukua video za kuongeza views huko you tube.[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].hata wewe mwenyewe miyoni nafsi yako inakusuta kwa video za Vunjo
 
Kichapo alafu maeneo wanazidi kuchukua[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ivi kweli vichekesho. Kiwanda cha Asphalt kishangukia kwenye mikono ya wagner


Kwa hiyo hii sio video ya kueditiwa au video game kwa kuwa umeleta wewe,sio?

Akileta pro NATO basi hi mnaota video game [emoji16]
Mna vituko aisee [emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Dah hamna kwa kweli video za vunjo ni za kutengeneza kabisa. Em fikiria ile video aliyoweka hapa inaonyesha makombora mawili yanashambulia daraja la crimea. Ule si uongo kabisa! Kwanza sijui alituonaje kwakweli
Hizi video akiwaletea VUNJO si mnasema video game?..,Leo hii unataka niamini kwa kuwa umeleta wewe?[emoji16][emoji1787][emoji28]

Pro Russia mna vituko aisee [emoji1787][emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hii ni ammunition depot iliyoangukia mikononi mwa jeshi la Ukraine huko kheson [emoji848]

Alafu Kuna mtu anajiliwaza eti Ukraine Wana Hali mbaya huko kheson [emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Nikitazama hii picha na kulinganisha na muda hambao urusi anaendelea kupiga danadana uko Ukraine,Huwa najiuliza sana wale mnaomwita urusi super pawer Huwa mnatumia vigezo gani[emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…