kilwakivinje
JF-Expert Member
- Jan 4, 2014
- 6,335
- 9,577
Wewe unaakili kweli?kila siku unaposti hii na nimeshakuelezea.Mwanaume wa shoka wakati ameshindwa kutimiza lengo lake kama alivyotegemea..,na wengi wenu humu jukwaani mliamini hivyo.., kwamba anaenda kuiteka Kiev ndani ya saa 72 [emoji12]View attachment 2399693
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Sio kama Germany pia au sio?ni mawazo yake ana uhuru huo, US si kama wananchi wa Urusi ambao ukipinga vita unakamatwa na kufungwa kwa Uhaini.
Mtwango unaendelea katika vijiji vya Bakhmut and Avdiivka hadi Putin atie adabu.
View attachment 2399442
A Ukrainian serviceman drives a self-propelled artillery vehicle near Bakhmut
Unastahili kuungana na kina kingwendu unajua unachokiongea weweHistoria itasomwa mpaka na wajukuu zetu kuwa mataifa zaidi ya 50 yaliungana zidi ya taifa moja na mwisho wa siku walichimba.
Hakika huyu ni mwanaume wa shoka.
Naam naaam
Today Putin's Speech ni Dope!
Daemushin kesha anza kui'post, kwa wale wenye macho yanayopata taabu kwenye maandishi madogo... Nitawadodosea taratibu baadhi ya maneno katika speech yake..
Here we Go!
[emoji635] Topic of Putin's speech: "The world after hegemony: justice and security for all".
[emoji635][emoji298]Putin: He who sows the wind will reap the whirlwind.
[emoji635][emoji298]Putin: Events are still developing according to a negative scenario - they have grown into a large-scale crisis.
[emoji635][emoji298]Putin: The West always plays for escalation: incitement of war in Ukraine, aggravation of the situation around Taiwan, intensification of the energy crisis and destruction of gas pipelines..
[emoji635][emoji298]Putin: The new centers of the world order and the West will still have to start a dialogue, better sooner
Jamaa amekuwa mtu wa kulalamika kama mtoto wa jambo..,kila analolipanga linabuma,kalianzisha mwenyewe alafu haishi malalamiko [emoji848]Wanasemaga ukimuona Putin kakaa kimya ujue anapanga mashambulizi ukiona anaongea ujue kazidiwa yan leo dictetor putin kaongea mpaka anatia huruma
[emoji1255][emoji1255] Maandiko yako mwenyewe ndo yanakushtaki Wala Mimi sistaili lawama kwa hilo[emoji106]Wewe unaakili kweli?kila siku unaposti hii na nimeshakuelezea.
Cont...Cont...
[emoji635][emoji298]Putin: Power over the world is what the West has staked in their game. This game is definitely dangerous.
[emoji635][emoji298]Putin: Fundamental environmental challenges have not gone away, they are only growing. It is important to preserve biodiversity, but no less important is the preservation of cultural and civilizational diversity
[emoji635][emoji298]Putin: The West is characterized by, as Solzhenitsyn said, "a continuing blindness of superiority"
[emoji635][emoji298]Putin: The culture of cancellation is the cancellation of culture
Cont...Cont...
[emoji635][emoji298]Putin: The culture of cancellation does not allow the development of alternative thought. In the West, any alternative point of view is declared subversive.
[emoji635][emoji298]Putin: The Nazis went as far as burning books. Now the Western fathers of liberalism have reached the ban on Dostoevsky.
[emoji635][emoji298]Putin: Liberalism has changed beyond recognition, to the point of absurdity, when alternative points of view are declared subversive, threats to democracy.
[emoji635][emoji298]Putin: "I have always believed and still believe in the power of common sense".
Source; alimashauli ya kichwa chako [emoji1787][emoji2]Kinacho endelea huko kherson ukraine inawatoa sadaka wanajesh wake aise ni kipigo kikali mno
Cont...Cont...
[emoji635][emoji298]Putin: Every day the Western order multiplies the chaos and becomes more and more intolerant, even towards the Western countries themselves, which are trying to demonstrate independence.
The proposals of the same Hungarian deputies to consolidate Christian values were perceived as sabotage
[emoji635][emoji298]️Putin: They killed Soleimani - an Iranian general. They killed and said yes, we killed him. What is this? Where do we live?
[emoji635][emoji298]Putin: No one will ever be able to dictate to our people what kind of society and on what principles we should build.
[emoji635][emoji298]Putin: The US has nothing to offer the world but its dominance
Cont...Cont...
[emoji635][emoji298]Putin on gay parades and gender: They should not try to implement them in other countries...
[emoji635][emoji779]Putin: Losing supremacy, the West is turning into a minority on the world stage. If Western elites think they can inject trends like gay parades and dozens of genders into their societies, they can do what they want, but they have no right to demand others to follow in the same direction...
[emoji635][emoji298]Putin: Western civilization is not the only one, the majority of the population is concentrated in the east