LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
75% ya Warusi wanatumia MasterCard na VISA. Makampuni ya China yameanza kununua nishati kwa kutumia cash, mnafanya shipment then mnapakia hela sijui kwenye ndege hapo. UnionPay itasaidia kubalance mihamala duniani tusitegemee sana mifumo ya Westerns. At least mnaweza toa benki chache za kujitoa mhanga mziunganishe uko hata zikipigwa sanctions zinawaunganisha mlipane kwenye biashara zenu. Iran, China, Russia, South Korea na Venezuela wakianza na wengine watakaopata sanctions watajiunga kwa mbinde. Hawatakuwa na impact kwenye uchumi wa dunia ila watajiokoa
 
NATO is not ready to discuss Ukraine's entry in the next 5-10 years, Kyiv will not fight for an application for membership, said Arakhamia, a member of the Ukrainian delegation.

He clarified that the Ukrainian authorities are ready to discuss some "non-NATO" models, but it is necessary to conduct a dialogue about this not only with Russia.
 
Kyiv has unconfirmed information that Trump and a number of US congressmen are planning to come to Ukraine, Arakhamia, a member of the Ukrainian delegation at the talks with Russia, said.
 
Ulipaswa kutumia haya maneno kucomment tangu mwanzo na siyo kunijia na maneno ya madharau wakati ulikuwa hujasoma vizuri comment yangu. Haya endelea kusikilizia kichapo cha Russia huko ,na povu ruksa kama utaendelea kukereka zaidi kwa kichapo cha Ukraine

SLAVA UKRAINE👏
 
Mkuu achana naye huyo mkuu.

Mm napendaga uchambuzi wako maana umejikita kwenye Utaalam na uhalisia badala ushabiki na mihemko

Kwanza niwa pongeze Ukraine kwa kufanikiwa kuidhibiti mbinu ya kwanza ya Russia ya kufanya ambush kwenye miji mingi kwa wakati mmoja maana hii ambushi ingefanikiwa Ukraine angepoteza vita mapema mno.

Ila naona Urusi sasa hivi ime badili mbinu imeanza kutumia mbinu za kuizingira miji na inaonekana kufanikiwa maana baadhi miji kama vile maletopol uko kwenye hali mbaya na unakaribia kutekwa.

Jana chanel ya Aljazeera ilikuwa ina fanya mahojiano na kamanda mstaafu wa Marekani aliye ongoza kikosi moja wapo kwenye vita va Iraq akawa ana sema ya kwamba kwa anavyo ijua Urusi bado haijatumia hata asilimia 15 ya nguvu zake za kijeshi akaongeza kusema ya kwamba kikosi kilocho tumika kuivamia Ukraine kimeundwa 2016 kwa hiyo kimejaa vijana wasio na uzoefu wa mapigano.

Je una kubaliana na huyu kamanda mstaafu mkuu?

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
 
Ila dada yangu tuache utani Ukraine ana hali mbaya sana leo nilikuwa nafuatiria zoezi la uhamishaji wa watu kwenye mji uliko karibu na mji mkuu nimejikuta nikiwaonea huruma sana.
Inaonesha jinsi gani walivyo fadhaika na kinacho endelea na hawa amini kama wana pitia haya wanayo yapitia.

Tuombe tu vita ihishe jamani watu wana teseka mno.

Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
 
Unabisha kwamba Ukraine siyo underdog kwa Russia kijeshi? T14 Armata Frustration ankai Lisa Rina RTI NYUNDO YA MOTO Tsh huyu tumweleze ukweli au tumwache tu kwa Dunia yake peke yake 😂
Ukraine hawezi kupigana na Urusi kivita kwa sababu Urusi anasilaha na jeshi kubwa na lenye weledi ukifanannisha na Ukraine. Kwenye operation hii lengo la Urusi ni kumtoa Zelensky madarakani na sio kuua wanajeshi wa Ukraine japo nao wameamua kupambana nae. Urusi hajaamua tu kutumia nguvu kama Ukraine anavyotumia.
 

Huna lolote unalojua bwegest kabisa
 
Ingekuwa raia nao wasimulie wanayopitia naamini humu kila mtu angekuwa anaomba Putin wasamehe Putia wasamehe,wamekosa sana wamekosa sana.
 
sio uoga.enenda yu tube katizame kitu kinaitwa dead Hand cha mrusi.
hio system kila mwemy akil anajua kuwa huyu jamaa ni kumpa vikwazo na maneno ila sio kumrushia silaha

Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app

Kuna watu humu wanaichukulia russia poa sana. Russia akiamua kutoa makucha yake ni kitendo cha dk tu hao dagaa wanavuliwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…