NYUNDO YA MOTO
JF-Expert Member
- Jun 12, 2015
- 5,360
- 17,002
Asante BBCPutin aendelea kupata hasara!View attachment 2141237
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Asante BBCPutin aendelea kupata hasara!View attachment 2141237
75% ya Warusi wanatumia MasterCard na VISA. Makampuni ya China yameanza kununua nishati kwa kutumia cash, mnafanya shipment then mnapakia hela sijui kwenye ndege hapo. UnionPay itasaidia kubalance mihamala duniani tusitegemee sana mifumo ya Westerns. At least mnaweza toa benki chache za kujitoa mhanga mziunganishe uko hata zikipigwa sanctions zinawaunganisha mlipane kwenye biashara zenu. Iran, China, Russia, South Korea na Venezuela wakianza na wengine watakaopata sanctions watajiunga kwa mbinde. Hawatakuwa na impact kwenye uchumi wa dunia ila watajiokoaRussian banks switch to China's UnionPay after Visa, Mastercard snub
6th March, 2022
Several Russian banks said on Sunday they would soon start issuing cards using the Chinese UnionPay card operator’s system.
The new issues will be coupled with Russia’s own Mir network.
The move comes after Visa and MasterCard said they were suspending operations in Russia.
Announcements regarding the switch to UnionPay came on Sunday from Sberbank, Russia’s biggest lender, as well as Alfa Bank and Tinkoff.
https://pmnewsnigeria.com/2022/03/0...o-chinas-unionpay-after-visa-mastercard-snub/
🤣🤣🤣🤣mda huu Zelensky atakuwa anaoshwa ,inasikitisha sana sasa Nyamizi kama amiri jeshi anapambwa kwa pamba puani mda huu na kuveshwa suti nyeusi na kiatu damu ya mzee sasa si bora mda huu utumie kuomboleza?Sio kaenda kukoga mara moja?
Hii si ni layout ya Sputnik. Ni mali ya serikali ya Urusi ikiungana na kina Pravda, RT, RIA Novosti na baba yao ITAR TASS.Chukua madini acha na habari zako za kwenye kahawaView attachment 2141238View attachment 2141239View attachment 2141240
Ulipaswa kutumia haya maneno kucomment tangu mwanzo na siyo kunijia na maneno ya madharau wakati ulikuwa hujasoma vizuri comment yangu. Haya endelea kusikilizia kichapo cha Russia huko ,na povu ruksa kama utaendelea kukereka zaidi kwa kichapo cha UkraineNdio maana nilikueleza mwanzo kuwa nilidhani unafatilia habari hizi kwa kina.unapotumia neno "kama ni kweli" maana yake ni kuwa hufatilii hii habari ya Russia na Ukraine-na huna uhakika kama Kiongozi yoyote wa Urusi ametamka maneno hayo.
By the way,maneno kuwa kama Russia haipo World cup kwamba hakutakuwa na mashindano hayo-ni propaganda zilizoenezwa na pro-western.
Mkuu achana naye huyo mkuu.Sina muda wa kubishana na mtu anayesema "NATO wamepewa room ya kupimishana uwezo..." vita unadhani ni ugali kwamba mnachemsha maji na kutia unga. Unatakiwa ujue NATO ni nini, wanachama ni wapi na ina kazi gani, sio hata wewe hapa leo uvamiwe na Msumbiji uwaite NATO.
Unabisha kwamba Ukraine siyo underdog kwa Russia kijeshi? T14 Armata Frustration ankai Lisa Rina RTI NYUNDO YA MOTO Tsh huyu tumweleze ukweli au tumwache tu kwa Dunia yake peke yake 😂Hujajibu swali ila umepaniki
Ila dada yangu tuache utani Ukraine ana hali mbaya sana leo nilikuwa nafuatiria zoezi la uhamishaji wa watu kwenye mji uliko karibu na mji mkuu nimejikuta nikiwaonea huruma sana.Ulipaswa kutumia haya maneno kucomment tangu mwanzo na siyo kunijia na maneno ya madharau wakati ulikuwa hujasoma vizuri comment yangu. Haya endelea kusikilizia kichapo cha Russia huko ,na povu ruksa kama utaendelea kukereka zaidi kwa kichapo cha Ukraine
SLAVA UKRAINE[emoji122]
Ukraine hawezi kupigana na Urusi kivita kwa sababu Urusi anasilaha na jeshi kubwa na lenye weledi ukifanannisha na Ukraine. Kwenye operation hii lengo la Urusi ni kumtoa Zelensky madarakani na sio kuua wanajeshi wa Ukraine japo nao wameamua kupambana nae. Urusi hajaamua tu kutumia nguvu kama Ukraine anavyotumia.Unabisha kwamba Ukraine siyo underdog kwa Russia kijeshi? T14 Armata Frustration ankai Lisa Rina RTI NYUNDO YA MOTO Tsh huyu tumweleze ukweli au tumwache tu kwa Dunia yake peke yake 😂
Umeandika mashudu lakini unajiona bonge la genius, unafikili hizi ni time of savagery watu sasa wamestaarabika wewe mjinga, kwa akili yako ya matope unafikili mabeberu wanaweza kujiingiza kwenye vita za kijinga ambazo zinachochewa na emotions, mataifa mengi yalipata somo kwenye vita ya pili ya dunia iligharimu maisha ya mamilion ya watu. Mabeberu yanamcheki tu huku yanamfrustrate putini na media bias kupitia propaganda pia kwenye vita kama hizo mercenaries huwa wanatumika kutoa back up ili kutochochea vita zaidi. Siku nyingine usilete hoja za kishabiki kama unaishi urus au ni military analyst wakati hujui hajui lolote kuhusu jeshi na uwezo wa medani
Ingekuwa raia nao wasimulie wanayopitia naamini humu kila mtu angekuwa anaomba Putin wasamehe Putia wasamehe,wamekosa sana wamekosa sana.Ila dada yangu tuache utani Ukraine ana hali mbaya sana leo nilikuwa nafuatiria zoezi la uhamishaji wa watu kwenye mji uliko karibu na mji mkuu nimejikuta nikiwaonea huruma sana.
Inaonesha jinsi gani walivyo fadhaika na kinacho endelea na hawa amini kama wana pitia haya wanayo yapitia.
Tuombe tu vita ihishe jamani watu wana teseka mno.
Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
sio uoga.enenda yu tube katizame kitu kinaitwa dead Hand cha mrusi.
hio system kila mwemy akil anajua kuwa huyu jamaa ni kumpa vikwazo na maneno ila sio kumrushia silaha
Sent from my TECNO CF7 using JamiiForums mobile app
Makasiriko ya nini?? Au hujala mchana?Toa data zako za uhakika zibandike chumbani mwako pale ukutani ziwe zinakufariji mzee sisi tunaangalia habari zinazotolewa wazi izo zako za kufikirika kaaa nazo wewe ama zibandike chumbani mwako ziwe zinakufariji babu
Hiv umeolewa? Siuliz kwa ubaya