Kinachoshangaza, pamoja na kujipa ushindi wa mitandaoni lakini kuanzia Rais wao mpaka mawaziri na journalist wao wako busy kuwapigia magoti NATO na US wakawasaidie. Bad thing hakuna anayeweza sogeza pua pale..Kuna watu humu wanaichukulia russia poa sana. Russia akiamua kutoa makucha yake ni kitendo cha dk tu hao dagaa wanavuliwa
zelenskyy bado yupo sana tu,mlidhani ni mtu mwepesi ki hivyo,ogopa sana mtu aliyesababisha hadi Abramovich anauza Team yangu pendwa Chelsea kisa tu mahusiano yake na Putin yamemponza.Hadi sasa Zelensky hajulikani alipo ni za chini chini ni tayari ameliwa na fisi wa Urusi. R.I.P Zelensky. Nyamizi Sikirimimimasikini DeepPond NYUNDO YA MOTO
RUSSIA AKI SURVIVE HIVI VIKWAZO!!!!!View attachment 2141207
Blinken said that the United States is discussing with allies in Europe the decision to stop buying Russian oil - RIA Novosti.
Unajua wewe na Champagnee mkiondoa matusi mnaishiwa hoja. Huu uzi una heshima yake ila tukianza kutumia matusi naweza kuwaachia uzi wenu tukarudi hapa hiyo Russia ishafeli uchumi haipo hata top 20 world economies kwenye projection za 2023. Matusi nayajua sana ila sio kwa uzi huu, bora muanzishe nyuzi za kawaida zisizotumia akili tutukanane uko
Izi comment z kujifariji waga zinanichekesha sana kwa kweli na apa ndo ninapowaona pro Putin kuwa ni watu wa ajabu ivi unajua kuwa mnapenda kuongea maneno ya kujifariji sana na mna tabia ya kuukimbia ukweli yaani hamtaki kabisa kuuface ukweli anyway ngoja tuendelee kuwaacha na hizi hoja zenu maana hamtaki kabisa kuukabili ukweli eti leo hii urusi hataki kuuwa wanajeshi wa Ukrain seriously kabisa hii comment inatolewa na mtu mwenye fikra sahihi kabisa na weledi kichwani basi mi naona nyie pro Putin mna dunia ya kwenu peke yenuUkraine hawezi kupigana na Urusi kivita kwa sababu Urusi anasilaha na jeshi kubwa na lenye weledi ukifanannisha na Ukraine. Kwenye operation hii lengo la Urusi ni kumtoa Zelensky madarakani na sio kuua wanajeshi wa Ukraine japo nao wameamua kupambana nae. Urusi hajaamua tu kutumia nguvu kama Ukraine anavyotumia.
Ebu tuambie yuko wapi kwa sasa Zelenskyy?zelenskyy bado yupo sana tu,mlidhani ni mtu mwepesi ki hivyo,ogopa sana mtu aliyesababisha hadi Abramovich anauza Team yangu pendwa Chelsea kisa tu mahusiano yake na Putin yamemponza.
Mmerudi sasa warusi wa kuchongwa maneno meeengi vitendo ziro kujifanya mna silaha na wakati silaha zenyewe ni uchwara tuKuna watu humu wanaichukulia russia poa sana. Russia akiamua kutoa makucha yake ni kitendo cha dk tu hao dagaa wanavuliwa
Toa data uzipendazo wewe kuzisikia ama laa nenda kazibandike chumbani kwako ziwe zinakufariji pale ukutani maana nyie pro putin mnatabia ya kuukimbia ukweli hamtaki kabisa kuukubali ukweliMakasiriko ya nini?? Au hujala mchana?
Mkuu usiharibu reputation yako kisa hawa wasiojielewa,inashangaza sana inakuwaje mtu hawezi himili hoja kinzani halafu anataka awepo kwa Forums kama hizi ambazo ni wazi utakutana na hoja usizopenda kuzisikia.Tunaokujua na tumekuwa tunakusoma kimya kimya katika maswala haya hata kabla ya hii vita tunakufahamu vyema,una heshima kubwa sna na usiiharibu kisa hawa wasiojielewa. Twende kazi Mkuu,pana mtu huku anabisha Ukraine siyo underdog kwa Russia kijeshi na ni Pro Russia 🙂Unajua wewe na Champagnee mkiondoa matusi mnaishiwa hoja. Huu uzi una heshima yake ila tukianza kutumia matusi naweza kuwaachia uzi wenu tukarudi hapa hiyo Russia ishafeli uchumi haipo hata top 20 world economies kwenye projection za 2023. Matusi nayajua sana ila sio kwa uzi huu, bora muanzishe nyuzi za kawaida zisizotumia akili tutukanane uko
🤣Unabisha kwamba Ukraine siyo underdog kwa Russia kijeshi? T14 Armata Frustration ankai Lisa Rina RTI NYUNDO YA MOTO Tsh huyu tumweleze ukweli au tumwache tu kwa Dunia yake peke yake 😂
Yupo nchini mwake Ukrain wewe ulitaka wapi mzee mwenzangu labda!!Ebu tuambie yuko wapi kwa sasa Zelenskyy?
Kwa hiyo unataka kusema tubadili kichwa cha habari?Izi comment z kujifariji waga zinanichekesha sana kwa kweli na apa ndo ninapowaona pro Putin kuwa ni watu wa ajabu ivi unajua kuwa mnapenda kuongea maneno ya kujifariji sana na mna tabia ya kuukimbia ukweli yaani hamtaki kabisa kuuface ukweli anyway ngoja tuendelee kuwaacha na hizi hoja zenu maana hamtaki kabisa kuukabili ukweli eti leo hii urusi hataki kuuwa wanajeshi wa Ukrain seriously kabisa hii comment inatolewa na mtu mwenye fikra sahihi kabisa na weledi kichwani basi mi naona nyie pro Putin mna dunia ya kwenu peke yenu
Asee nimecheka mno na zaidi mzee unaongea haya ukiwa serious kabisa!!
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Namkumbuka Kasimu alijibu hivyo hivyoYupo nchini mwake Ukrain wewe ulitaka wapi mzee mwenzangu labda!!
😂Watu kama wewe, Zelensky Angekutoa uhaiKwa hiyo unataka kusema tubadili kichwa cha habari?
Maana umeshindwa kurejea kichwa cha habari kinacho sema
YAH: URUSI KUIVAMIA NA KUIPIGA UKRAINE .
kama umehusika vizuri na mada hapo juu basi afsa ankai na mshirika wako Nyamizi mtakuwa mnatambua hadi sasa hakuna sehemu hata moja iliyoandikwa au kunukuliwa kuwa Ukraine anapigana na Urus,sana sana Urusi aishambulia,aivamia na aipiga Ukraine kijeshi. Mwalimu anamwadhibu mwanafunzi mwenye utovu wa nidhamu. Hapa usilete ubishi eti mwalimu na mwanafunzi wanapigana. Big NO
Mmerudi sasa warusi wa kuchongwa maneno meeengi vitendo ziro kujifanya mna silaha na wakati silaha zenyewe ni uchwara tu
Kama kuna mtu ana hoja anionyeshe leo hii jeshi la anga la Urusi liko wapi na limefanya nini cha maana mpaka sasa ivi katika hii vita!!
Wanakwenda kumwekea kinga fanyeni kumsogeleeni sasa kama mna jeuri,jamaa atakuwa anatembea kwa kuvimba tu na hakuna kitu mtafanya. Kwanza Askari wenu wenyewe wana njaa kali hawali wakashiba vizuri huo uwezo wa kuwasogelea Navy Seal watautoa wapi 😅Makomando wa USA na Uingereza wameanza safari yao ya kwenda kumsaka na watamtoa kwa nguvu kama watampata.
Mkuu usiharibu reputation yako kisa hawa wasiojielewa,inashangaza sana inakuwaje mtu hawezi himili hoja kinzani halafu anataka awepo kwa Forums kama hizi ambazo ni wazi utakutana na hoja usizopenda kuzisikia.Tunaokujua na tumekuwa tunakusoma kimya kimya katika maswala haya hata kabla ya hii vita tunakufahamu vyema,una heshima kubwa sna na usiiharibu kisa hawa wasiojielewa. Twende kazi Mkuu,pana mtu huku anabisha Ukraine siyo underdog kwa Russia kijeshi na ni Pro Russia 🙂
kwa kawaida mmoja wetu aliyetutangulia huwa tunamtaja kwa heshima kama kusema hayati Zelensky ni nongwa basi weka hata R.I.P😂Watu kama wewe, Zelensky Angekutoa uhai