Kwa hiyo unataka kusema tubadili kichwa cha habari?
Maana umeshindwa kurejea kichwa cha habari kinacho sema
YAH: URUSI KUIVAMIA NA KUIPIGA UKRAINE .
kama umehusika vizuri na mada hapo juu basi afsa
ankai na mshirika wako
Nyamizi mtakuwa mnatambua hadi sasa hakuna sehemu hata moja iliyoandikwa au kunukuliwa kuwa Ukraine anapigana na Urus,sana sana Urusi aishambulia,aivamia na aipiga Ukraine kijeshi. Mwalimu anamwadhibu mwanafunzi mwenye utovu wa nidhamu. Hapa usilete ubishi eti mwalimu na mwanafunzi wanapigana. Big NO