LIVE Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Live coverage on JamiiForums
Kuna watu humu wanaichukulia russia poa sana. Russia akiamua kutoa makucha yake ni kitendo cha dk tu hao dagaa wanavuliwa
Kinachoshangaza, pamoja na kujipa ushindi wa mitandaoni lakini kuanzia Rais wao mpaka mawaziri na journalist wao wako busy kuwapigia magoti NATO na US wakawasaidie. Bad thing hakuna anayeweza sogeza pua pale..
 
1646583191981.png
 
RUSSIA AKI SURVIVE HIVI VIKWAZO!!!!!View attachment 2141207
Blinken said that the United States is discussing with allies in Europe the decision to stop buying Russian oil - RIA Novosti.

Mmarekani anataka auze mafuta yake anayochukukua kinguvu libya na saud arabia ila bado haitasaidia russia ndo mzalishaji no2 wa mafuta. Hapo lazma wawe wapole hawana jinsi. Ukija kwenye ngano ndo producer no1 worldwide ulaya wanategema kwake bado gas anaproduce asee hapo wataelewa tu
 
Unajua wewe na Champagnee mkiondoa matusi mnaishiwa hoja. Huu uzi una heshima yake ila tukianza kutumia matusi naweza kuwaachia uzi wenu tukarudi hapa hiyo Russia ishafeli uchumi haipo hata top 20 world economies kwenye projection za 2023. Matusi nayajua sana ila sio kwa uzi huu, bora muanzishe nyuzi za kawaida zisizotumia akili tutukanane uko

Wewe ndo umeanzisha kama ni moto acha uwake.
 
Ukraine hawezi kupigana na Urusi kivita kwa sababu Urusi anasilaha na jeshi kubwa na lenye weledi ukifanannisha na Ukraine. Kwenye operation hii lengo la Urusi ni kumtoa Zelensky madarakani na sio kuua wanajeshi wa Ukraine japo nao wameamua kupambana nae. Urusi hajaamua tu kutumia nguvu kama Ukraine anavyotumia.
Izi comment z kujifariji waga zinanichekesha sana kwa kweli na apa ndo ninapowaona pro Putin kuwa ni watu wa ajabu ivi unajua kuwa mnapenda kuongea maneno ya kujifariji sana na mna tabia ya kuukimbia ukweli yaani hamtaki kabisa kuuface ukweli anyway ngoja tuendelee kuwaacha na hizi hoja zenu maana hamtaki kabisa kuukabili ukweli eti leo hii urusi hataki kuuwa wanajeshi wa Ukrain seriously kabisa hii comment inatolewa na mtu mwenye fikra sahihi kabisa na weledi kichwani basi mi naona nyie pro Putin mna dunia ya kwenu peke yenu

Asee nimecheka mno na zaidi mzee unaongea haya ukiwa serious kabisa!!
 
zelenskyy bado yupo sana tu,mlidhani ni mtu mwepesi ki hivyo,ogopa sana mtu aliyesababisha hadi Abramovich anauza Team yangu pendwa Chelsea kisa tu mahusiano yake na Putin yamemponza.
Ebu tuambie yuko wapi kwa sasa Zelenskyy?
 
Kuna watu humu wanaichukulia russia poa sana. Russia akiamua kutoa makucha yake ni kitendo cha dk tu hao dagaa wanavuliwa
Mmerudi sasa warusi wa kuchongwa maneno meeengi vitendo ziro kujifanya mna silaha na wakati silaha zenyewe ni uchwara tu

Kama kuna mtu ana hoja anionyeshe leo hii jeshi la anga la Urusi liko wapi na limefanya nini cha maana mpaka sasa ivi katika hii vita!!
 
Unajua wewe na Champagnee mkiondoa matusi mnaishiwa hoja. Huu uzi una heshima yake ila tukianza kutumia matusi naweza kuwaachia uzi wenu tukarudi hapa hiyo Russia ishafeli uchumi haipo hata top 20 world economies kwenye projection za 2023. Matusi nayajua sana ila sio kwa uzi huu, bora muanzishe nyuzi za kawaida zisizotumia akili tutukanane uko
Mkuu usiharibu reputation yako kisa hawa wasiojielewa,inashangaza sana inakuwaje mtu hawezi himili hoja kinzani halafu anataka awepo kwa Forums kama hizi ambazo ni wazi utakutana na hoja usizopenda kuzisikia.Tunaokujua na tumekuwa tunakusoma kimya kimya katika maswala haya hata kabla ya hii vita tunakufahamu vyema,una heshima kubwa sna na usiiharibu kisa hawa wasiojielewa. Twende kazi Mkuu,pana mtu huku anabisha Ukraine siyo underdog kwa Russia kijeshi na ni Pro Russia 🙂
 
Izi comment z kujifariji waga zinanichekesha sana kwa kweli na apa ndo ninapowaona pro Putin kuwa ni watu wa ajabu ivi unajua kuwa mnapenda kuongea maneno ya kujifariji sana na mna tabia ya kuukimbia ukweli yaani hamtaki kabisa kuuface ukweli anyway ngoja tuendelee kuwaacha na hizi hoja zenu maana hamtaki kabisa kuukabili ukweli eti leo hii urusi hataki kuuwa wanajeshi wa Ukrain seriously kabisa hii comment inatolewa na mtu mwenye fikra sahihi kabisa na weledi kichwani basi mi naona nyie pro Putin mna dunia ya kwenu peke yenu

Asee nimecheka mno na zaidi mzee unaongea haya ukiwa serious kabisa!!
Kwa hiyo unataka kusema tubadili kichwa cha habari?
Maana umeshindwa kurejea kichwa cha habari kinacho sema
YAH: URUSI KUIVAMIA NA KUIPIGA UKRAINE .
kama umehusika vizuri na mada hapo juu basi afsa ankai na mshirika wako Nyamizi mtakuwa mnatambua hadi sasa hakuna sehemu hata moja iliyoandikwa au kunukuliwa kuwa Ukraine anapigana na Urus,sana sana Urusi aishambulia,aivamia na aipiga Ukraine kijeshi. Mwalimu anamwadhibu mwanafunzi mwenye utovu wa nidhamu. Hapa usilete ubishi eti mwalimu na mwanafunzi wanapigana. Big NO
 
😂Watu kama wewe, Zelensky Angekutoa uhai
 
Mmerudi sasa warusi wa kuchongwa maneno meeengi vitendo ziro kujifanya mna silaha na wakati silaha zenyewe ni uchwara tu

Kama kuna mtu ana hoja anionyeshe leo hii jeshi la anga la Urusi liko wapi na limefanya nini cha maana mpaka sasa ivi katika hii vita!!

Hivi wewe na akili yako umeona kifaa gani cha kutisha pale ukraine??. Au furaha yenu ukraine iharibiwe ichakazwe??
 
Makomando wa USA na Uingereza wameanza safari yao ya kwenda kumsaka na watamtoa kwa nguvu kama watampata.
Wanakwenda kumwekea kinga fanyeni kumsogeleeni sasa kama mna jeuri,jamaa atakuwa anatembea kwa kuvimba tu na hakuna kitu mtafanya. Kwanza Askari wenu wenyewe wana njaa kali hawali wakashiba vizuri huo uwezo wa kuwasogelea Navy Seal watautoa wapi 😅
 
Mkuu usiharibu reputation yako kisa hawa wasiojielewa,inashangaza sana inakuwaje mtu hawezi himili hoja kinzani halafu anataka awepo kwa Forums kama hizi ambazo ni wazi utakutana na hoja usizopenda kuzisikia.Tunaokujua na tumekuwa tunakusoma kimya kimya katika maswala haya hata kabla ya hii vita tunakufahamu vyema,una heshima kubwa sna na usiiharibu kisa hawa wasiojielewa. Twende kazi Mkuu,pana mtu huku anabisha Ukraine siyo underdog kwa Russia kijeshi na ni Pro Russia 🙂

Embu kojoa ulale dada. Heshima jf? Sikujui hunijui nakupaje heshima?. NATO wanawaharibu vijana yani mnaona bila wao hakuna dunia hii noma sana
 
Back
Top Bottom