Tena kwa Frustration hiyo kazi nina uhakika ningepewa mimi na Zelenskyy kuifanya 😂😂Watu kama wewe, Zelensky Angekutoa uhai
😂Tena kwa Frustration hiyo kazi nina uhakika ningepewa mimi na Zelenskyy kuifanya 😂
Ndio Option iliyobaki, Unazani wataponaje.Urusi imeituhumu Ukraine kwa kuwa zuia raia wa kigeni kuondoka kwenye miji ya Ukraine.
Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
Shida wati mnapenda ubishi tu na wakati kwenye uhalisia mambo ni tofauti unajua taarifa zinatoka kila siku na zinaonyesha casualities anazopata Russia mnasema nk.propaganda basi tupeni nyie za kwenu ambazo ni sahihi hamna pia je mnataka sisi tuwakubalie kwa hoja ipi na wakati stuation halisi inaonyesha kabisa kuwa nyie wavamizi mambo yanawaendea vibaya uko front lineKwa hiyo unataka kusema tubadili kichwa cha habari?
Maana umeshindwa kurejea kichwa cha habari kinacho sema
YAH: URUSI KUIVAMIA NA KUIPIGA UKRAINE .
kama umehusika vizuri na mada hapo juu basi afsa ankai na mshirika wako Nyamizi mtakuwa mnatambua hadi sasa hakuna sehemu hata moja iliyoandikwa au kunukuliwa kuwa Ukraine anapigana na Urus,sana sana Urusi aishambulia,aivamia na aipiga Ukraine kijeshi. Mwalimu anamwadhibu mwanafunzi mwenye utovu wa nidhamu. Hapa usilete ubishi eti mwalimu na mwanafunzi wanapigana. Big NO
This is a fabricated story originating from the Russian government source and it cannot be independently verified. It's a mere propaganda from the frustrated government.The main thing from the new statement of the Russian Ministry of Defense about the special operation in Ukraine:
- the facts of an emergency cleansing of the military biological program being implemented in Ukraine, funded by the United States, were revealed;
- employees of biological laboratories provided documents on the destruction of especially dangerous pathogens on February 24: the causative agents of plague, anthrax, tularemia, cholera and other deadly diseases;
- documents confirm that in the immediate vicinity of the territory of Russia, the development of biological weapons components was carried out;
- it is obvious that with the start of a special military operation, the Pentagon had serious concerns about the disclosure of conducting secret biological experiments;
- The Russian Ministry of Defense will soon provide the results of the analysis of the documents received. While some of them are being published;
- The Russian Aerospace Forces disabled the airfield in Vinnitsa. Almost all combat-ready aviation of Ukraine has been destroyed. In total, yesterday and incomplete today, the Ukrainian Air Force lost 11 combat aircraft and two helicopters;
- The Ministry of Defense of the Russian Federation warned neighboring countries about the inadmissibility of using their airfields for basing Ukrainian combat aircraft;
— Employees of defense industry enterprises of Ukraine are forced to restore damaged Ukrainian military equipment. Russia will strike at such objects and calls on plant personnel to leave the enterprises.
View attachment 2141356
Hii mikwara tangu kabla ya vita ilikuwepo na Zelenskyy alisonga mbele hakuteterekaZelensky Njoo tutoe kimasomaso
Zelensky, if you go towards Poland, then the fate of Saakashvili awaits you, who was framed and eventually returned to his homeland on the dock.
If you trust Russia and are ready for dialogue, then I am ready to meet you halfway and personally ask Russian President V. Putin to give you asylum and save your face. All this will be possible if you listen to me right now and take your only chance.”
The head of Chechnya urged the Ukrainian president to pay attention to what "Bandera's people and Europe are doing" and contact him as soon as possible.
View attachment 2141366
Ni kweli mkuu na nafurahi kuwaelimisha vijana wenzangu humu waache mambo ya dhahaniaWacha wee!! Aisee JF ina bahati kuwa na mtu kama wewe
Russia mimi binafsi nilikuwa naamini hajatumia hata 20% ya jeshi lake sijui comment gani humu niliweka last week. Hata silaha zake ni outdated zaidi, silaha nyingi mpya ziko kwakwe uko ni hasara kufanya silaha zako latest zikamatwe kizembe. Nilikuwa najiuliza kwanini wanaokamatwa ni wadogo kiumri nikapata wanaojitetea wakikamatwa wanaonekana pia wapo conscripts wengi.Mkuu achana naye huyo mkuu.
Mm napendaga uchambuzi wako maana umejikita kwenye Utaalam na uhalisia badala ushabiki na mihemko
Kwanza niwa pongeze Ukraine kwa kufanikiwa kuidhibiti mbinu ya kwanza ya Russia ya kufanya ambush kwenye miji mingi kwa wakati mmoja maana hii ambushi ingefanikiwa Ukraine angepoteza vita mapema mno.
Ila naona Urusi sasa hivi ime badili mbinu imeanza kutumia mbinu za kuizingira miji na inaonekana kufanikiwa maana baadhi miji kama vile maletopol uko kwenye hali mbaya na unakaribia kutekwa.
Jana chanel ya Aljazeera ilikuwa ina fanya mahojiano na kamanda mstaafu wa Marekani aliye ongoza kikosi moja wapo kwenye vita va Iraq akawa ana sema ya kwamba kwa anavyo ijua Urusi bado haijatumia hata asilimia 15 ya nguvu zake za kijeshi akaongeza kusema ya kwamba kikosi kilocho tumika kuivamia Ukraine kimeundwa 2016 kwa hiyo kimejaa vijana wasio na uzoefu wa mapigano.
Je una kubaliana na huyu kamanda mstaafu mkuu?View attachment 2141250
Sent from my TECNO BB4 using JamiiForums mobile app
haja shave ndevu vizuriIn Lvov, a man, dressed in women's clothes, tried to cross the border. He was afraid that he might be drafted into the army.
View attachment 2141381View attachment 2141383
Kama nini mlichoharibu cha maana pale Ukrain yaani ni aibu mno kwa jinsi mlivyokuwa mkijisifu na jeshi lenu uchwara kupiganavita na nchi underdog zaidi ya siku 11 na kushindwa kuteka ata asset moja ya maana katika nchi mliyo ivamia Russia was very ovarated yaani jeshi la Russia ni jeshi dhaifu zaidi kuliko majeshi kalibia yote ya balaa la UlayaHivi wewe na akili yako umeona kifaa gani cha kutisha pale ukraine??. Au furaha yenu ukraine iharibiwe ichakazwe??
Hali ni Tete, Wanaume wanajiongeza.haja shave ndevu vizuri
Ndo apo sasa eti jeshi imara na wakati vikosi vyake uko mstari wa mbele wakufa kwa njaa supply route ya RME imekatwa na majeshi ya ukraine sasa wamebaki kuwa waiba vyakula kwenye masupermarket ya Raia jeshi imara linaishiwa mafuta, waheed!!Wanakwenda kumwekea kinga fanyeni kumsogeleeni sasa kama mna jeuri,jamaa atakuwa anatembea kwa kuvimba tu na hakuna kitu mtafanya. Kwanza Askari wenu wenyewe wana njaa kali hawali wakashiba vizuri huo uwezo wa kuwasogelea Navy Seal watautoa wapi [emoji28]