Putin sidhani alifikiria dunia ingemtenga kiuchumi namna Hii View attachment 2141398View attachment 2141399View attachment 2141400View attachment 2141401
View attachment 2141403
Shida wati mnapenda ubishi tu na wakati kwenye uhalisia mambo ni tofauti unajua taarifa zinatoka kila siku na zinaonyesha casualities anazopata Russia mnasema nk.propaganda basi tupeni nyie za kwenu ambazo ni sahihi hamna pia je mnataka sisi tuwakubalie kwa hoja ipi na wakati stuation halisi inaonyesha kabisa kuwa nyie wavamizi mambo yanawaendea vibaya uko front line
Ivi Russia ni jeshi la kuishiwa mafuta kweli, Russia ni jeshi la kukosa madawa uko front line kweli Russia ni jesho ambalo askari wake wakishambuliwa wanakimbia na kutelekeza silaha zao tena zile nzito na sophscated kabisa
Ivi Russia ni jeshi la kisupply RME ambayo tayari iko expered tena zaidi ya miaka saba nyuma yaani logistically Russia no ziro kabisa hamna laa maana lolote ambalo logistic yenu imeweza kuliachieve zaidi ya kwatelekeza front line wenu na kuwaacha wafe na njaa kali na mwisho wa siku kuishia kutekwa Ma kuuawa na majeshi ya ukrain
Nakuuloza swali kama unayo hoja niambie leo hii baada ya siku 11 za vita yenu mlioianzisha emu miambie jeshi lenu la anga limefanya nini cha maana ama kulosaidia jeshi la Russia zaidi ya helcopter zake na jet fighter zake kuishia kuangushwa , kjlipuliwa na mwisho kabisa marubani wenu kitekwa ama kuuwa niambie kwa hoja na nionyeahe ushahidi kitu chochote cha maana kilichofanywa na jeshi lenu la anga.
Sijataka kabisa kulizungumzia kabisa jeshi lenu la ardhini kwa maana ilo ni mzigo na ziro kabisa kabisa katika jeshi la Russia jeshi lenu la ardhini halina weledi wa utaalamu wowote wa kimapigano
Aya nasubiri majibu toka kwako yenye hoja na ushahidi halisi
Sasa nyuklia zinasaidia nini kwenye assassination mzee wangu wewe nawe bwana uwe unasoma mada na unaielewa kabla ya kujibu bwana unajiaibisha mzee!!Kumu assassinate Putin sio sawa na wale warabu mliozoea kuwafurusha kama wezi! Ukumbuke Urusi inajitegemea kiusalama haitegemei support ya vibaraka kwenye vita.
Ana Nyuklia ambazo marekani hawezi kuzizuia! On a press of a button tu Marekani inakuwa kama Jangwani[emoji28] ndio maana akina Bidden wamesalenda hawamfanyi kitu sembuse kumu assasinate!
Umechukia mimi kutoa opinions zangu?? Mbona kama una utoto mwingiToa data uzipendazo wewe kuzisikia ama laa nenda kazibandike chumbani kwako ziwe zinakufariji pale ukutani maana nyie pro putin mnatabia ya kuukimbia ukweli hamtaki kabisa kuukubali ukweli
Modern weapons gani wakati ndizo silaha alizonazo. Wanajeshi wa Russia hawataki hii vita wanalazimishwa tu na dikteta Putin na wamepanga kuisaliti nchi yao kwenye hivi vita.Hizi sababu mbona mwanzoni hazikuwepo,mambo yamekuwa si mambo mnaanza kumsemea Urusi kuwa hatumii modern weapons🤣🤣
Apana uyu amelewa chibuku sio bure mzeeMbona mwenzako kakushauri kwa wema na heshima Ila unamjibu hivyo!!! Au hukuelewa
Hizi habari una zitoa wapi? Una haribu uziThe people's militia of the DPR reported that 104 Ukrainian soldiers laid down their arms and went over to the side of the republic.
View attachment 2141388
Kama nini mlichoharibu cha maana pale Ukrain yaani ni aibu mno kwa jinsi mlivyokuwa mkijisifu na jeshi lenu uchwara kupiganavita na nchi underdog zaidi ya siku 11 na kushindwa kuteka ata asset moja ya maana katika nchi mliyo ivamia Russia was very ovarated yaani jeshi la Russia ni jeshi dhaifu zaidi kuliko majeshi kalibia yote ya balaa la Ulaya
Kwanza Urusi yeye amrpeleka vijana wa JKT huko Ukraine na wamepewa silaha ambazo za kawaida sana na hayo mengine ya kuishiwa mafuta ni propaganda tu. Kurudi nyuma mnapozidiwa ni kawaida vitani kwani hukumuona Rambo au Kachupi anakimbizwa mpera mpera polini ila baadae wanajipanga na kushinda vitaShida wati mnapenda ubishi tu na wakati kwenye uhalisia mambo ni tofauti unajua taarifa zinatoka kila siku na zinaonyesha casualities anazopata Russia mnasema nk.propaganda basi tupeni nyie za kwenu ambazo ni sahihi hamna pia je mnataka sisi tuwakubalie kwa hoja ipi na wakati stuation halisi inaonyesha kabisa kuwa nyie wavamizi mambo yanawaendea vibaya uko front line
Ivi Russia ni jeshi la kuishiwa mafuta kweli, Russia ni jeshi la kukosa madawa uko front line kweli Russia ni jesho ambalo askari wake wakishambuliwa wanakimbia na kutelekeza silaha zao tena zile nzito na sophscated kabisa
Ivi Russia ni jeshi la kisupply RME ambayo tayari iko expered tena zaidi ya miaka saba nyuma yaani logistically Russia no ziro kabisa hamna laa maana lolote ambalo logistic yenu imeweza kuliachieve zaidi ya kwatelekeza front line wenu na kuwaacha wafe na njaa kali na mwisho wa siku kuishia kutekwa Ma kuuawa na majeshi ya ukrain
Nakuuloza swali kama unayo hoja niambie leo hii baada ya siku 11 za vita yenu mlioianzisha emu miambie jeshi lenu la anga limefanya nini cha maana ama kulosaidia jeshi la Russia zaidi ya helcopter zake na jet fighter zake kuishia kuangushwa , kjlipuliwa na mwisho kabisa marubani wenu kitekwa ama kuuwa niambie kwa hoja na nionyeahe ushahidi kitu chochote cha maana kilichofanywa na jeshi lenu la anga.
Sijataka kabisa kulizungumzia kabisa jeshi lenu la ardhini kwa maana ilo ni mzigo na ziro kabisa kabisa katika jeshi la Russia jeshi lenu la ardhini halina weledi wa utaalamu wowote wa kimapigano
Aya nasubiri majibu toka kwako yenye hoja na ushahidi halisi
Mmmh mkuu uko beyond humanity aises japo jamaa wala hajafa na bado yuko pale kiev kama kawaida anendelea kutoa order kwa makamanda wake lakini si vyema kufurahia kifo cha binadamu mwenzako mimi ni mpinzani wa Putin lakino siwezi kufurahia kifO chake kwa namna unayofanya wewe kumbuka ni kiumbe mwenys utashi tofauti na wanyama!!Nimejaribu kumgoogle kama siku zote ila majibu ni
Oops! We ran into some problems.
This this one limits who may view their full profile and his stories .
Kwa majibu haya nadhani tayari amekufa na ndio maana sisi tunadai yuko wapi rais wetu Zelenskyy? Hatumwoni akijirekodi wala akiwasema NATO au akiomba kuongea na Putin.
Mkuu acha kuyadharau maana Wachina, Wahindi na Waturuki waliyanunua pamoja na hatari ya vikwazo na kununa kwa Marekani, kabla ya kununua walifanya testing. Iran alitaka kuuziwa ila Urusi hakukubali, ukiona silaha ikitaka kuuzwa Marekani anatishia kuweka vikwazo na ananuna usidhani anapoteza muda, ndege latest za Urusi mbona hata Algeria na Egypt wananunua bila shida.Hayo mapipa ya sijui S-300/S-400 hayana lolote ni utapeli tu wa warusi, yalishampiga nani acheni bwana.
Source ya taarifa yako plz hili tuverify hiki unachokisema na sio unajitungia tu ushubwada unauleta apa!!Mpala kufikia asubuhi leo hali ilikuwa hivi
View attachment 2141371
Don't force everyone to support your opinions. Eg, some of us are War Mongers, so we just enjoy the tactics, use of war machines,battles, the war grounds etc.If You support Ukraine ,but Not Palestine, Iraq, Syria, Afghanistan,Smoalia,Libya etc If you condemn Russia but not Isreal and USA.
Then Congratulations Mate , Your on the Highest Tier of Hypocrisy.[emoji174]
Mwanangu umenifanya nicheke mnoo daaaah!!Kwanza Urusi yeye amrpeleka vijana wa JKT huko Ukraine na wamepewa silaha ambazo za kawaida sana na hayo mengine ya kuishiwa mafuta ni propaganda tu. Kurudi nyuma mnapozidiwa ni kawaida vitani kwani hukumuona Rambo au Kachupi anakimbizwa mpera mpera polini ila baadae wanajipanga na kushinda vita