Haya ndiyo tunataka sasa kuyasoma na tunajifunza,uzi huu unapata heshima yake kutokana na nondo kama hizi.Russia mimi binafsi nilikuwa naamini hajatumia hata 20% ya jeshi lake sijui comment gani humu niliweka last week. Hata silaha zake ni outdated zaidi, silaha nyingi mpya ziko kwakwe uko ni hasara kufanya silaha zako latest zikamatwe kizembe. Nilikuwa najiuliza kwanini wanaokamatwa ni wadogo kiumri nikapata wanaojitetea wakikamatwa wanaonekana pia wapo conscripts wengi.
Hayo yote yanatokea kwa sababu niliyokwishasema wiki ya kwanza ya operation, Russia alikuja na jeshi kubwa na silaha nyingi kutishia Ukraine ikate tamaa ijisalimishe. Warusi waliamini kilichotokea Crimea wanajeshi wa Ukraine kujisalimisha, kuacha silaha na makamanda wengine kujiunga na jeshi la Urusi litatokea tena. Ndio maana siku chache baada ya assault yao kuwa repeled Putin aliomba wanajeshi wa Ukraine wampindue Zelensky, hakutegemea resistance na supply hakuwa nayo wala hakuwa na wanajeshi wa kupigana aliwapeleka watishie kwa show of force.
Wakati Ukraine ilipompata Zelensky asiye na washirika wa kutaka wapewe upendeleo akafuta uongozi wa nchi na kurekebisha uongozi wa jeshi.
Makamanda waliopigana na Russia mwaka 2014 karibia wote walisoma kwenye jeshi la Soviet Union hivyo walisoma na makamanda wavamizi wa Urusi na waliwahi kaa Urusi kwenye mizunguko ya kijeshi, kumbuka USSR imevunjika miaka 31 iliyopita. Within Ukrainian military kulikuwa na Russian symphathizers wenye Soviet nostalgia wengi ambao hawakupigana wala wasingepigana mwaka huu. Zelensky alitoa maofisa wenye tabia za Kisovieti (fuatilia tofauti ya wanajeshi wa Tanzania waliosomea Russia vs waliosomea NATO countries tabia zao) akaweka walio neutral au wamesoma Western. Nishasema humuhumu tafuta kwanini jeshi la Ukraine liliongozwa na Lieutenant General Valery Zaluzhny aliyepandishwa cheo kuwa General jana Jumamosi na Rais Zelensky. General Zaluzhny ana miaka 48 tu! Nilisema kuhusu alivyopigana frontline tangu 2014, kakaa sana field huyo hata mpaka vyeo ilikuwa ngumu kumpandisha haraka.
Haya mambo hayaitaji uyajue siku vyombo vya habari vinavyoyakazania. Nimeanza ufatilia mgogoro wa Ukraine since 2014 na huyu Zaluzhny kipindi bado mdogo jeshini hana vyeo, ni graduate wa 2007 kwenye military academy. Nimetazama sana documentaries zao, propaganda za Russia, mchafuko wa kisiasa ndani ya Ukraine. Leo hii anatokea mtu ambaye sijui kaijua Ukraine mwezi wa pili, ana matusi na hana hoja anasema ninalishwa propaganda za Westerns.
What if I call you a fool!?Source ya taarifa yako plz hili tuverify hiki unachokisema na sio unajitungia tu ushubwada unauleta apa!!
Kwa hiyo kwa maoni yako plani yao ya kwanza ndio imewafanya kushindwa kumaliza vita mapema.Russia mimi binafsi nilikuwa naamini hajatumia hata 20% ya jeshi lake sijui comment gani humu niliweka last week. Hata silaha zake ni outdated zaidi, silaha nyingi mpya ziko kwakwe uko ni hasara kufanya silaha zako latest zikamatwe kizembe. Nilikuwa najiuliza kwanini wanaokamatwa ni wadogo kiumri nikapata wanaojitetea wakikamatwa wanaonekana pia wapo conscripts wengi.
Hayo yote yanatokea kwa sababu niliyokwishasema wiki ya kwanza ya operation, Russia alikuja na jeshi kubwa na silaha nyingi kutishia Ukraine ikate tamaa ijisalimishe. Warusi waliamini kilichotokea Crimea wanajeshi wa Ukraine kujisalimisha, kuacha silaha na makamanda wengine kujiunga na jeshi la Urusi litatokea tena. Ndio maana siku chache baada ya assault yao kuwa repeled Putin aliomba wanajeshi wa Ukraine wampindue Zelensky, hakutegemea resistance na supply hakuwa nayo wala hakuwa na wanajeshi wa kupigana aliwapeleka watishie kwa show of force.
Wakati Ukraine ilipompata Zelensky asiye na washirika wa kutaka wapewe upendeleo akafuta uongozi wa nchi na kurekebisha uongozi wa jeshi.
Makamanda waliopigana na Russia mwaka 2014 karibia wote walisoma kwenye jeshi la Soviet Union hivyo walisoma na makamanda wavamizi wa Urusi na waliwahi kaa Urusi kwenye mizunguko ya kijeshi, kumbuka USSR imevunjika miaka 31 iliyopita. Within Ukrainian military kulikuwa na Russian symphathizers wenye Soviet nostalgia wengi ambao hawakupigana wala wasingepigana mwaka huu. Zelensky alitoa maofisa wenye tabia za Kisovieti (fuatilia tofauti ya wanajeshi wa Tanzania waliosomea Russia vs waliosomea NATO countries tabia zao) akaweka walio neutral au wamesoma Western. Nishasema humuhumu tafuta kwanini jeshi la Ukraine liliongozwa na Lieutenant General Valery Zaluzhny aliyepandishwa cheo kuwa General jana Jumamosi na Rais Zelensky. General Zaluzhny ana miaka 48 tu! Nilisema kuhusu alivyopigana frontline tangu 2014, kakaa sana field huyo hata mpaka vyeo ilikuwa ngumu kumpandisha haraka.
Haya mambo hayaitaji uyajue siku vyombo vya habari vinavyoyakazania. Nimeanza ufatilia mgogoro wa Ukraine since 2014 na huyu Zaluzhny kipindi bado mdogo jeshini hana vyeo, ni graduate wa 2007 kwenye military academy. Nimetazama sana documentaries zao, propaganda za Russia, mchafuko wa kisiasa ndani ya Ukraine. Leo hii anatokea mtu ambaye sijui kaijua Ukraine mwezi wa pili, ana matusi na hana hoja anasema ninalishwa propaganda za Westerns.
Weka maelezo yako kwenye sentesi moja Yenye msimamo dhabiti.Haya ndiyo tunataka sasa kuyasoma na tunajifunza,uzi huu unapata heshima yake kutokana na nondo kama hizi.
Kuna yule askari wa Usa alipigana Afghanistan ameeleza vizuri sana kuwa kwa yeye anavyoijua Urusi hata 15% ya nguvu yake hajatumia Ukraine. Hata askari waliokuwa kule ni TS tu na Private wachache sana ambao ndio wanasimama kama viongozi wa operation na za chini chini anahofia icje akatumia jeshi Ukraine alafu baada ya mda avamiwe na nchi kubwa kubwa na atapigwa kirahisi sanaHaya ndiyo tunataka sasa kuyasoma na tunajifunza,uzi huu unapata heshima yake kutokana na nondo kama hizi.
Wewe jamaa una hoja za kusadikika sana, nimekufatilia humu kwenye huu uzi naona unajiropokea tuuModern weapons gani wakati ndizo silaha alizonazo. Wanajeshi wa Russia hawataki hii vita wanalazimishwa tu na dikteta Putin na wamepanga kuisaliti nchi yao kwenye hivi vita.
Hizi S-300 hata Russia wanazo na zimekamatwa na kuharibiwa na Majeshi ya Ukraine.
Kumbuka Ukraine ilikuwa mnunuzi mkubwa wa vifaa ya Kijeshi vya Russia.
So far kwenye huu mgogoro umeonesha kuwa Ndege za na vifaa vingi vya Russia si vizuri kwenye vita kama vinavyosemwa.
hadi sasa Licha ya Ukraine kuwa na Jeshi dhaifu kulinganisha na la Urusi ila limeweza kuangusha Karibu ndege za Russia zaidi ya 10.
Imagine Ufaransa, UK, Marekani wote walete ndege zao.
So far Mtu aliyepata soko kwenye Hii vita ni Uturuki na zile Drone zake na yale makombora ya marekani ya kutungulia Vifaru
Hapo ndio mtajua Russia ana vitu bora kuliko USA hapo ni ndege tuu umeona utofauti Mkubwa ,
Nyamizi akikusikia atakushambulia huku moyo ukimuuma na kujiuliza hivi kweli USA kashindwa kuingia pale?Kuna yule askari wa Usa alipigana Afghanistan ameeleza vizuri sana kuwa kwa yeye anavyoijua Urusi hata 15% ya nguvu yake hajatumia Ukraine. Hata askari waliokuwa kule ni TS tu na Private wachache sana ambao ndio wanasimama kama viongozi wa operation na za chini chini anahofia icje akatumia jeshi Ukraine alafu baada ya mda avamiwe na nchi kubwa kubwa na atapigwa kirahisi sana
Hujui kuwa Chechnya ni sehemu ya Russia!?Hivi vita ni vigumu hadi Russia wameleta magaidi wa Chechnya kuwapiga jeki..
Briefing of the Ministry of Defense of the Russian Federation:
- Russian Aerospace Forces with high-precision weapons disabled the airfield in Vinnitsa
- Fighter aircraft and air defense of the Russian Aerospace Forces shot down three more Ukrainian Su-27 fighters and three drones in the air
- Almost all combat-ready aviation of the Kiev regime was destroyed
- The Russian Defense Ministry warned neighboring countries about the inadmissibility of using their airfields for basing Ukrainian combat aircraft
- The Ministry of Defense of the Russian Federation warned employees of Ukrainian defense industry enterprises about striking with high-precision weapons
- In the course of a special operation in Ukraine, the facts of an ongoing military-biological program funded by the United States were revealed
- In the Ukrainian biolaboratories in the immediate vicinity of the territory of Russia, the development of components of biological weapons was carried out
- The Ministry of Defense of the Russian Federation published the original materials from Ukrainian biological laboratories, which are funded by the Pentagon
- With the beginning of the special operation of the Armed Forces of the Russian Federation, the pathogens of plague, anthrax, cholera were urgently destroyed in Ukrainian biological laboratories
View attachment 2141434
Pro NATO wanajenga hoja dhaifu sana mpaka nawasikitia uwezo wao ulivyo dhaifu. Yaani ni kufanya attack huku wakienda kujiliwaza CNN na BBC juu ya kichapo wanachopewa wanazi wa Ukraine huko wanafarijiana kila kitu kipo sawa lakini ukweli wanaujua.Wewe jamaa una hoja za kusadikika sana, nimekufatilia humu kwenye huu uzi naona unajiropokea tuu
Pro NATO wanajenga hoja dhaifu sana mpaka nawasikitia uwezo wao ulivyo dhaifu. Yaani ni kufanya attack huku wakienda kujiliwaza CNN na BBC juu ya kichapo wanachopewa wanazi wa Ukraine huko wanafarijiana kila kitu kipo sawa lakini ukweli wanaujua.
Kuna document zinakamatwa na Urusi kwenye hiyo operation kwamba mmarekani alipanga kuwaangamiza warusi kwa kemikali za sumu na silaha za kibailojia. Hapo nachelea kusema ngoma inogile hiko kizazi za wanazi wa Ukraine watasulubiwa
Aah subutu,hapa natambaa na mbinu za Zelenskyy Mkuu,unataka nitoe siri za kambi 😁Weka maelezo yako kwenye sentesi moja Yenye msimamo dhabiti.