Narumu yetu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 2,448
- 5,146
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watu washaanza kukomboa vijiji mpaka Luhansk huko we uko hapa unapiga ramli.Suala la UKRAINE kurejesha ardhi yake hilo musahau kabisaa
RUSSIA uchumi wake unamtosha kumudu wananchi wak
Nandio maana leo ana miezi nane kwenye mnayoiita vita licha yakwamba uchumi wake kama jimbo la TEXAS kama mnavyosema nyie na MSM zenu
Ila hao wanajiona wakubwa BOJO chali sababu UCHUMI bibi lizi chali sababu UCHUMI na huyu aliepo soon
Kama RUSSIA ina UCHUMI kama jimbo la texas bora ibakie hv hv
hvyo vimitaa sio LUHANSK sio DONESTK sio ZAPO wala KHERSON[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watu washaanza kukomboa vijiji mpaka Luhansk huko we uko hapa unapiga ramli.
Kwani
Kharkiv
Kupiansk
Lyman
Izium
Snake Island
Hayo yote si yalikua maeneo muhimu ambayo Urusi ilikamata mbona sasa yamerudi Ukraine?! Kama hayo yamewezekana kwanini hayo mengine yasiwezekane?!
Kabla ya Himars kuingia mzigoni Urusi ilikua ikimiliki 20% ya ardhi yote ya Ukraine lakini baada ya Himars kutua tena hapo July tu haina hata miezi 6 Urusi kwa sasa amebakiwa na 15%. Sina Shaka miezi 6 ijayo atabakiwa na 5% tu.
[emoji15][emoji15][emoji15]Hii imewakera sana Magharibi na [emoji631]
Macron hana kupepesa macho na ukweli mchungu
Wa kuelewa amuelewe
Iwapo Mrusi atatumia nuclear wao hawatajibu mapigo View attachment 2387270
Hahahahahaha duh an interesting comment🤣😂🤣😂Japo umenijibu bila ya concept yangu ilipo au lengo. Kwa ufafanuzi nilivyokusudia kuuliza nikutokana na vita ya sasa na sio za zamani zilizopita.
Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
Key target ndo zinazolengea hasa,kwa Hilo nawakubali sana Ukraine [emoji1255][emoji1255][emoji123][emoji123]Explosion at airfield in Russia: two helicopters completely destroyed
Ukrainska Pravda
Mon, October 31, 2022, 2:25 PM·1 min read
TETIANA LOZOVENKO — MONDAY, 31 OCTOBER 2022, 13:25
Ukrainian intelligence has confirmed the destruction of two Russian Ka-52 attack helicopters at the airfield in the Pskov Oblast on the night of 31 October. Two more helicopters were severely damaged.
Source: Chief Intelligence Directorate of the Ministry of Defence of Ukraine on Telegram
Quote: "On the night of 31 October, a powerful explosion occurred at the Veret Russian Naval Aviation air base (Pskov Oblast, Ostrov-5). Two Russian Ka-52 Alligator attack helicopters were completely destroyed. Two more were severely damaged."
Details: The Ukrainian Chief Intelligence Directorate reported that in order to clean up the aftermath of the explosion and find "sabotage groups", the personnel of the military unit were put on alert. Investigative actions are underway. Details regarding the destruction of other equipment and the deaths of personnel are being confirmed.
Ukrainian intelligence recalls that the cost of one Ka-52 helicopter is about US$16 million.
Nimekutolea mfano tu wa baadhi ya maeneo muhimu ambayo Urusi aliyakamata na yamerudi Ukraine. Unasema vimita wakati baadhi hizo sehemu ndo zilikua kitovu cha usafirishaji wa mahitaji muhimu kwenda kwa wanajeshi wa Urusi waliopo kusini.hvyo vimitaa sio LUHANSK sio DONESTK sio ZAPO wala KHERSON
Kuna jamaa anakuambia Russia wametawala anga la ukraine inachekesha sana
Ukraine's aircraft strike Russian strong points, anti-aircraft defences and clusters of personnel and equipment General Staff report
Ukrainska Pravda
Mon, October 31, 2022, 8:43 AM·4 min read
OLHA HLUSHCHENKO – MONDAY, 31 OCTOBER 2022, 07:43
Over the course of the past 24 hours, Ukraine’s aircraft carried out 21 airstrikes on Russian forces, striking several strong points, anti-aircraft defence systems and clusters of Russian military personnel, weapons and equipment.
Source: General Staff of the Armed Forces of Ukraine on Facebook, information as of 06:00 on 31 October
Quote: "Over the course of the past 24 hours, Ukraine’s defence forces have repelled the occupiers’ attacks in the vicinity of Zelene (Kharkiv Oblast); Bilohorivka, Mykolaivka and Novoselivka (Luhansk Oblast); Avdiivka, Bakhmutske, Vesele, Vodiane, Maiorsk, Marinka and Novobakhmutivka (Donetsk
Kazi nzuri sana mefanywa na Ukraine air forceUkraine downs 44 Russian missiles launched at Ukraine on Oct. 31.
Ukraine's Air Force downed 44 out of 50 missiles Russian troops fired at critical infrastructure facilities across Ukraine on the morning of Oct. 31. Russia used Kh-101/Kh-555 cruise missiles, launching them from the north of the Caspian Sea and from Rostov Oblast, according to the Ukrainian military.
[emoji1787][emoji1787][emoji1787] unajifarijiKazi nzuri sana mefanywa na Ukraine air force
[emoji122][emoji122]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Unataka source iwe RT hapo ndo utaamini ,sio?Here we go again. Source?? Ukrainska Pravda!!!
Halafu kuna mtu niliona anakubishia kwamba hii helicopter haijapigwa kwamba ilianguka kwa matatizo ya kiufundi sasa aje aoneR.I.P wanajeshi wa Ukraine waliokuwepo kwenye helicopter.kiukweli aliyewatungua ni mtu m-bad sana
Tulimshangaa mandonga aliposema ana ngumi inaitwa ndoige, akirusha upande wa kushoto inarudi na kulenga target ya upande mwengine wa kulia.The Prime Minister of Ukraine announced the destruction of 18 objects in 10 regions.
Hivyo according to official Ukrainian statements, 6 missiles were able to hit 18 targets in 10 regions.
Mkuu uwe unasoma habari na kuelewa habar yenyewe inasomeka hivi Ukraine’s air command said it shot down 44 out of 50 enemy rockets. Ukraine hawajasema makombora bali ni rockets ,kumbuka Russia jana alishambulia kwa rockets na missile ambazo zilirushwa kwa ndegeHesabu za team Upinde [emoji1787]
[emoji298] The Armed Forces of Ukraine officially announced the destruction of 44 out of 50 missiles launched at Ukraine.
Hapo hapo
[emoji298] The Prime Minister of Ukraine announced the destruction of 18 objects in 10 regions.
Hivyo according to official Ukrainian statements, 6 missiles were able to hit 18 targets in 10 regions.
QUICK MATHS kama hiiiivyo yani... Au hizi ni magic missiles sie hatujui! Ase Kama kwenye propaganda kuna ngazi basi hii ni kiwango cha kindergarten dah!
Slava cocayïna, slava mathematica!