Safi sana .., urusi atafte kisingizio kingine Sasa maana hakosi sababu yule..,huku Erdogan kule UN ,Hatimae UN imekata mzizi fitina,kuna member humu akiwemo @bukyanangadi @bukyanangadi walidai eti Ukraine ilitumia civilian ships kurusha drones zilizoshambulia warships za Russia.
UN says there were no ships in grain corridor when Russia alleged attack
Edited By: Manas Joshi
Washington Updated: Oct 31, 2022, 11:45 PM(IST)
Martin Griffiths, the UN aid chief said on Monday that no ship involved in the Black Sea grain deal was transiting the maritime humanitarian corridor when Russia said its vessels were attacked. Rusia had said on the night of October 29 that its vessels in the Bay of Sevastopol in Crimea were attacked.
UN says there were no ships in grain corridor when Russia alleged attack
Baada ya hayo maeneo kutekwa mahitaji muhimu hayawafikii majeshi ya RUSSIA !!?Nimekutolea mfano tu wa baadhi ya maeneo muhimu ambayo Urusi aliyakamata na yamerudi Ukraine. Unasema vimita wakati baadhi hizo sehemu ndo zilikua kitovu cha usafirishaji wa mahitaji muhimu kwenda kwa wanajeshi wa Urusi waliopo kusini.
alafu hata havielewi global politics zilivyo!Mimi niliacha kuchangia humu baada ya kuona tunabishana na vitoto vingi vya tisini havijasoma historia yeyote tangu serikali hii ibadilishe mitaala na kutuletea mitaala ya kusifu wa west na marekani angalau wangekua wamesoma hata kile kitabu Cha kibanga ampiga mkoloni au ndoto ya kimweri wangejifunza jambo
Missile Moja ilikuwa inapiga inadunda na kupiga kwengie inadunda tena ipiga kwengine. Yaani missile Moja inapiga maeneo matatu Mikoa tofauti mkuu. Mrusi ni noma kama missile 6 zinapiga maeneo 18. Once Wiseman saidHesabu za team Upinde
The Armed Forces of Ukraine officially announced the destruction of 44 out of 50 missiles launched at Ukraine.
Hapo hapo
The Prime Minister of Ukraine announced the destruction of 18 objects in 10 regions.
Hivyo according to official Ukrainian statements, 6 missiles were able to hit 18 targets in 10 regions.
QUICK MATHS kama hiiiivyo yani... Au hizi ni magic missiles sie hatujui! Ase Kama kwenye propaganda kuna ngazi basi hii ni kiwango cha kindergarten dah!
Slava cocayïna, slava mathematica!
One Wiseman said "UKIWA MUONGO UWE NA KUMBUKUMBU" .....hakuna kitu kigumu kama KUDANGANYA NAFSI YAKO.... Ila kuna watu humu wanadanganya mpaka roho zao.Tulimshangaa mandonga aliposema ana ngumi inaitwa ndoige, akirusha upande wa kushoto inarudi na kulenga target ya upande mwengine wa kulia.
Russia nao wana silaha mfano wa ngumi ndoige
Missile 6 walizoshindwa kuzitungua, in maana kila missile 1 ilifanikiwa kuharibu vyanzo vitatu.
Tusisahau vyanzo vya miundombinu vimelengwa kwa mikoa 10 inayopishana umbali wa ---------
Slava propaganda
Hajafungamana na upande wowote[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hivi katika huu mgogoro muheshimiwa Ambiele Kiviele yuko upande gani?
Mkuu hii ina ukweli wowote😀😀Mkuu uwe unasoma habari na kuelewa habar yenyewe inasomeka hivi Ukraine’s air command said it shot down 44 out of 50 enemy rockets. Ukraine hawajasema makombora bali ni rockets ,kumbuka Russia jana alishambulia kwa rockets na missile ambazo zilirushwa kwa ndege
The cruise missiles were fired from Russian Tu-90 and T-60 aircraft flying north of the Caspian Sea and the Rostov region. They hit targets in the Kyiv, Zaporizhzhia and Kharkiv oblasts, as well as in the areas of Mikolaiv, Lviv, Zhytomyr, Kirovohrad and Chernivtsi.
Hivyo kulikua na mshambulizi ya aina mbili cruise missiles na rockets ,ukraine walifanikiwa kudungua rockets 44 kati ya 50 ila kuhusu cruise missiles hakuna taarifa yoyote iliyopatikana had sasa ingawa inasemekana makombora 6 yalidondoshwa .
Mzee wa lete source..... Mbona unaandika bila source... Twende hivihivi kama sitaki napita hiviiii...... Bonge la source Mzee babaa.Mkuu uwe unasoma habari na kuelewa habar yenyewe inasomeka hivi Ukraine’s air command said it shot down 44 out of 50 enemy rockets. Ukraine hawajasema makombora bali ni rockets ,kumbuka Russia jana alishambulia kwa rockets na missile ambazo zilirushwa kwa ndege
The cruise missiles were fired from Russian Tu-90 and T-60 aircraft flying north of the Caspian Sea and the Rostov region. They hit targets in the Kyiv, Zaporizhzhia and Kharkiv oblasts, as well as in the areas of Mikolaiv, Lviv, Zhytomyr, Kirovohrad and Chernivtsi.
Hivyo kulikua na mshambulizi ya aina mbili cruise missiles na rockets ,ukraine walifanikiwa kudungua rockets 44 kati ya 50 ila kuhusu cruise missiles hakuna taarifa yoyote iliyopatikana had sasa ingawa inasemekana makombora 6 yalidondoshwa .
Leo limedaka makombora mangapi? Tunalisaka soon litadondokewa na kamikazeHii ngoma pia inatumika vitani Ukraine. Putin ana wakati mgumu🤔
........
German IRIS-T SLM has so far shown a success rate of 100% – Ukraine's Armed Forces.
We are on Twitter: https://twitter.com/InUAOfficialView attachment 2403322
Hatimae UN imekata mzizi wa fitinaWalikubaliana na UN ziwekwe kwa ajili ya ulinzi na ukaguzi.
Ana mwaga upendo tu kama bwana Extrovert 🤣🤣🤣🤣🙌🙌🙌🙌Hivi katika huu mgogoro muheshimiwa Ambiele Kiviele yuko upande gani?
Ikiwemo weweKuna watu wa hovyo sana sijawahi kudhani.
Source & creditSupporters of Russia sanctions are some of its biggest buyers – NYT
Several countries that oppose Moscow's military operation in Ukraine have boosted Russian imports since February, data cited by the New York Times indicates