Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Uwanja gani unazungumzia?wakati waukraine walifeli counteroffensive
duh rudi milembe mkuu , kama huna smartphone bas angalia tv kama huna bas chungulia hata kwa jirani , Mwez Feb waliingia Kiev na mbwembwe kibao sasa hv wanalenga kwa mbali hawawez kusogeza pua hlf unasema wameshindwa Counteroffensive , Humu vichqq mpo wng sn
 
askari wa ukraine wapo nchin kwao , tukuulize ww askari wa Urusi wana hata vibali vya mamlaka husika za Ukraine kuwatambua uwepo wao hapo nchini Ukraine
 
Na mimi nashauri apewe za masafa marefu ili Ukraine ifutwe kabisa Kwny uso wa dunia.
duh kama alivamia bila kurushiwa hata jiwe , kwann asiilipue Ukraine nzima , anataka sabab za nn wkt awali alivamia bila kuwa na sabab yyt , mtakuja kustuka Putin anawafanya mazombi muda ukiwa umeenda sana
 
hv una akil kwel timamu ? "Shinikizo" na "kumshawishi" haya maneno yana maana sawa ?
 
Hakuna shambulio la kigaidi hapo,hizo Meli ni legitimate targets sababu hua zinarusha cruise missiles kwenda Ukraine,Ukraine ina sababu zote ya kuzilipua ili kujilinda.
pili zipo ndan ya ardhi ya Ukraine bila kufuata taratibu
 
mbona unachoandika hakiendan na post ya jamaa hapo , hakitoi uhalali wa Urusi kuwa mlinz halali wa hiyo route , Kuchunguza hata Belarus anaeza chunguza incase akiona kuna kitu hakutendewa sawa kwa maeneo hayo
 
km NATO wangekuwa wakurupukaj km ww bas mpk sasa tungekuwa kweny maandak , majib yako yanaonesha kiwango cha ujingah ulichonacho , SIO KILA KITU UTASOLVE KWA NGUVU MENGINE AKILI TU ITAMALIZA TATIZO
 
mbona unachoandika hakiendan na post ya jamaa hapo , hakitoi uhalali wa Urusi kuwa mlinz halali wa hiyo route , Kuchunguza hata Belarus anaeza chunguza incase akiona kuna kitu hakutendewa sawa kwa maeneo hayo

On Monday, the Joint Coordination Centre (JCC) in Istanbul said the UN, Türkiye and Ukraine had agreed on a movement plan for 16 vessels that are located in Türkiye's territorial waters despite Russia’s decision to suspend the deal.

Au na hiki hujaelewa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…