Final Boss
JF-Expert Member
- May 5, 2022
- 1,296
- 15,984
🤝🤝🤝🤝👏👏👏👏👏🇷🇺💪Suala la UKRAINE kurejesha ardhi yake hilo musahau kabisaa
RUSSIA uchumi wake unamtosha kumudu wananchi wak
Nandio maana leo ana miezi nane kwenye mnayoiita vita licha yakwamba uchumi wake kama jimbo la TEXAS kama mnavyosema nyie na MSM zenu
Ila hao wanajiona wakubwa BOJO chali sababu UCHUMI bibi lizi chali sababu UCHUMI na huyu aliepo soon
Kama RUSSIA ina UCHUMI kama jimbo la texas bora ibakie hv hv
Nato ni kichekeshoHii failled state ya UKRAINE inapiga propaganda kila idara
Halaf wanashindwa zipangilia
[emoji1255] The Armed Forces of Ukraine officially announced the destruction of 44 out of 50 missiles launched in Ukraine.
The Prime Minister of Ukraine announced the destruction of 18 objects in 10 regions.
Thus, according to official Ukrainian statements, 6 missiles were able to hit 18 targets (3 per missile) in 10 regions.
Mtu wa hovyo wewe....Ikiwemo wewe
Yaani wakati wa vita unataka uchague upigwe wapi?if that is the case mwambie Putin amalize vita, mwezi wa 10 unaingia huu hata dalili hazipo kilichobaki kaamua kubomoa majumba - aibu sana kwa taifa kubwa kama Urusi kuvunja madaraja, mitaro ya maji na mabomba na nyaya za umeme..kweli ???
Matajiri wa Kirusi waamua kuchana na ujinga wa Putin, kisa kuua watu wasio na hatia... (Vita vya kijinga)
Russian billionaire Oleg Tinkov says he has decided to give up his citizenship because of the war in Ukraine, which he had previously criticised as “crazy”.
“I have taken the decision to exit my Russian citizenship. I can’t and won’t be associated with a fascist country, that started a war with their peaceful neighbour and killing innocent people daily,” Tinkov wrote on Instagram on Monday.
View attachment 2403666
“I hate Putin’s Russia, but love all Russians who are clearly against this crazy war!” Tinkov said, according to AFP news agency.
Jamaa kaamua kujivua uraia wa urusi Ili kupinga matendo ya kishetani ya fashisti Putin [emoji848]Matajiri wa Kirusi waamua kuchana na ujinga wa Putin, kisa kuua watu wasio na hatia... (Vita vya kijinga)
Russian billionaire Oleg Tinkov says he has decided to give up his citizenship because of the war in Ukraine, which he had previously criticised as “crazy”.
“I have taken the decision to exit my Russian citizenship. I can’t and won’t be associated with a fascist country, that started a war with their peaceful neighbour and killing innocent people daily,” Tinkov wrote on Instagram on Monday.
View attachment 2403666
“I hate Putin’s Russia, but love all Russians who are clearly against this crazy war!” Tinkov said, according to AFP news agency.
Wengi wanajitoa uraia wa Urusi ila hawataki kujitangaza sababu ya kuogopa umafia wa Putin... the guy can kill you popote utakapokimbilia.Kichwa cha habari ni kuhusu Matajiri wa Russia .... Ukisoma story ni inayomuhusu Bwana Oleg Tinkov .
Okay, hao Matajiri wengine waliokimbia Russia Ni kina Nani..?[/B]
Wewe unayeleta maneno machafu ndio hovyo kabisa kama unataka kutukana njoo inbox huku wanapita watu na heshima zao na pia hili jukwaa halikuwekwa ili watu walete maneno yasiyo na staha kama umeumizwa na kitu njoo inbox tumalizaneMtu wa hovyo wewe....
Mafuso mengi TRIP shamba TRIP garage.Wengi wanajitoa uraia wa Urusi ila hawataki kujitangaza sababu ya kuogopa umafia wa Putin... the guy can kill you popote utakapokimbilia.
Kifupi hii vita ishawagawanya warusi pande mbili.
Zipo sheria za kivita mkuu that why ipo mahakama ya kusimamia makosa ya kivitaYaani wakati wa vita unataka uchague upigwe wapi?
Sasa kama dunia nzima inapambana na urusi kwanini tusiite vitailikuwa SMO ss hv mnaanza iita VITA mtaelewa tu [emoji23] chuki zitawafikisha kilelen hizo
Nasikia Ukraine wamekufa wawili tu? Yaani wamekufa wanajeshi wawili tu... ila Ukraine kiboko, Putin atajuta.Mpaka sasa zaidi ya wanajeshi elfu 72 wa Urusi wafariki huko Ukraine [emoji848]
MyTake Putin ana moyo mgumu kama wa pharaoh[emoji848]
......
A Nov.1 update on russian losses in the warView attachment 2403737
Ndio maana nikakuomba uwataje hao matajiri wanaokimbia Russia.Wengi wanajitoa uraia wa Urusi ila hawataki kujitangaza sababu ya kuogopa umafia wa Putin... the guy can kill you popote utakapokimbilia.
Kifupi hii vita ishawagawanya warusi pande mbili.
Hii ni kawaida sana. Lazima wa downplay, madhara ya hayo ma rockets.[emoji1255][emoji298]According to Ukrenergo's announcement, Kiev, Chernihiv, Cherkasy, Zhytomyr, Sumy, Kharkiv and Poltava regions will be without power today.
Hapo hapo they tell you ati wameshoot down 95% of all missiles! If so , je kipi kilicho sababisha haya maafa? Au ni natural disasters kama kimbunga na tetemeko la ardhi sie hatujui [emoji23].
Nyie hamna akili maeneo mengi waukraine wameshafeli SASA hivi Warusi wameshaingia bakhruitduh rudi milembe mkuu , kama huna smartphone bas angalia tv kama huna bas chungulia hata kwa jirani , Mwez Feb waliingia Kiev na mbwembwe kibao sasa hv wanalenga kwa mbali hawawez kusogeza pua hlf unasema wameshindwa Counteroffensive , Humu vichqq mpo wng sn