Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ni wazi baada ya mnyukano mkali huku vijiji vikiendelea kukombolewa
kwaharakaharaka hizi ndizo hasara kubwa
ambazo jeshi la ukraine limeipata kulinganisha na Russia.

tuanze na russia.

kwa upande wa Ukraine sasa
[emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

hii ni takwimu ya maeneo yaliyo mstar wa mbele wa mapambano.
 
Hii aione Mohamed idrisa hambaye anakomaa na kukaza mishipa ya shingo kwamba umeme na maji haujarejeshwa Kyiv [emoji16][emoji1787]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Habari yako hii imeshakuwa zilipendwa...,Leta current news

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
hivyo ni vifaa vya majumbani ambavyo jeshi la russia lilikua likiiba toka kwenye nyumba za makazi yaliyo kimbiwa na raia wa ukraine

apo kuna fagio la umeme, mashine za kufulia, tv , microwave na masink ya choo NK
Sasa jeshi la urrusi wameiba hivyo vitu kwa ajil ya kuvipeleka wapi boss . maana aiingi akilin kuwa mupo uwanja wa vita alafu ukaibe Tv hii habari kaitoa nani mbona kama propaganda
 
Vipi bado Urusi inauvunja moyo wako?
 
Kwa hiyo ukraine unalinganisha na bongo mkuu ,bongo hii inafanya sherehe ya bilion 6 ya kupokea twakwimu za sensa
 
Lula ni pro PUT IN

Aliwahi kuhojiwa akasema kua RUSSIA ina haki yakulinda usalama wake

Ila acha tuone maana geo politics ziko na mambo mengi sanaaa

Ingawaje pia kashatangaza kam atazidisha ushirikiano wakibishara na RUSSIA
Lula ni Pro-Liberal Mzuri mno, tena naweza sema anaongea "good" upande wa China na Russia all because of BRICS lakini uhalisia ni sampuli za akina Edorgan!

Aliyekuwa one way straight towards multipolar ni huyo aliyetoka madarakani. Ndie alikuwa na Ideology za kijamaa zilizopo East, that's why kushindwa kwake kumekua faraja kubwa kwa West tena wamefurahi hatare!

Anyway sio mahala pake kuingiza story zingine "in deep"... Ila don't count on 'Lula'. He's just a western clown [emoji1782] aliyerudishwa madarakani na wenye "Michongo yao" baada ya aliyekuepo kuonekana mwiba na kikwazo kwao.

Take it from me, [emoji95]

Ukisikia ama ukiona uchaguzi unasifiwa ama ukisifiwa na Western block utizame mara mbili mbili sana!
 
View attachment 2404093
[emoji298]️BREAKING NEWS[emoji298]️

Russia will not allow ANYONE to tear new regions away from it, and Russia will PROTECT people living in new regions - Deputy Chairman of Russian Security Council Medvedev.
Huyo Medvedev Huwa anaropoka kila linalokuja tu mdomoni.., hivyo hakuna jipya hapo [emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Duuuh niwaambie ukweli kama Putin akishinda atapata ujasir wa kuvamia nchi nyingine mwisho wa siku dunia nzima kama adolf hitler ..

Kumbuka hapo awali mmarekani aliikomboa dunia kutoka kwa hitler, vipi leo dunia nzima wanamkodolea macho na kumlaani tena wengine wakimsupport putin...

Wakati wa WW2 ata hiyo Russia iliomba msaada kwa U.S.A leo anamgeukia

tupinge huu ukatir bado mapema.....
 
Halafu mnajifanya vipofu wakati mchochezi wa hii vita anajulikana!
Hivi baada ya WW2,vita vingapi vimeanzishwa na Marekani bila sababu za msingi?Huko Iraq,US akiivamia kwasababu zipi?
US ndio mvuruga amani ya Dunia namba Moja duniani!
 
Duuuh,Inamaana wale waliokuwa wanazikwa 400+ kwenye shimo Moja,Ilikuwa propaganda ya Ukraine na waangalizi wa kimataifa na badala yake walikuwa wanafukua hizo fridge,TV NK?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…