Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

View attachment 2404093
[emoji298]️BREAKING NEWS[emoji298]️

Russia will not allow ANYONE to tear new regions away from it, and Russia will PROTECT people living in new regions - Deputy Chairman of Russian Security Council Medvedev.
huyu ni mkatili kuliko hata putin, and looks like hana busara ukimlinganisha na putin.......

alafu tunaambiwa hawa kina medvedev ndio moderate, sijui utranationalist wapoje!...... anyway bora putin aendelee kuliko wakipokea kijiti hao hawafidhina wa kirusi, wataangamiza dunia
 
Kwani Israel inamuhusu Nini kama Iran itafanya biashara ya Silaha na Urusi?Au Kwa Israel ni salama zaidi kama hizo silaha atakuwa nazo zote Iran au kama atapunguza nyingine Kwa kuiuzia Russia?Mimi hapo sijakuelewa!
Hebu nifafanulie zaidi!
Namaanisha Russia na israeli urafiki wao ni mkubwa kuliko ilivyokua Russia na Iran ,sasa kwa kitendo cha Iran kuzid kuwa na Russia karibu ni sawa na zelesky alivyoanza ukaribu na NATO ,kumbuka Iran ni adui mkubwa wa israel ,so kuna namna israel atakubali kuwapa silaha Ukraine .
 
Wewe unayeleta maneno machafu ndio hovyo kabisa kama unataka kutukana njoo inbox huku wanapita watu na heshima zao na pia hili jukwaa halikuwekwa ili watu walete maneno yasiyo na staha kama umeumizwa na kitu njoo inbox tumalizane
Sasa hapo Pana maneno gani machafu...hebu tuliaa asee...acha ujinga.
Nije inbox kufanya nini, acha kuzingua asee......
 
Umeua bendi mku
 
Your browser is not able to display this video.

US Delta command and control was hacked
The Joker DPR hacked into the much-vaunted American Delta command and control program, which is actively used by the AFU. To make it clear, this is a program in which all data on friendly and enemy troops is entered for command and control
 
Ha ha sio kwamba hana busara, ila ni moja katika watu ambao hawapendi unyonge au kukaa kinyonge ilhali uwezo wanao!

Tofauti na Putin ambae yupo okay kua humiliated by any means kulinda mwonekano wa kirafiki kama West wanavyo mfanyia hivi sasa.

Medvedev dam changa yule 😂, mwaga mboga amwage ugali... Mzee Putin umri nao pia unambeba upole mwingi maana kwa anavyo chokozwa angekua mwingine angekua ashakiwasha kitaaambo.

Kinachonifurahisha ni kua, katika nakala zao West eti huyu ndio alie andikwa vizuri kua ni mpole na mtaratibu kuliko Putin. Hasa Wikipedia ingawa baada ya mzozo naona wamebadilisha maelezo yake kwa kina.

Time to Jokes!
Huwa sipati picha huyu ndio angekua Raisi, Kadyrov Minister of Defence. General Armageddon huyu aliye in duty sa hivi angekuepo toka awali. Halafu tukamkodi Kim Jong Un kua foreign Minister 😂.

Furthermore kusingekua na ile "formal way" ya kufanya maamuzi aseeeee mambo yangekua bam bam 🔥🔥🔥.

Hapo nimesema "Formal way" maana mfumo wa Russia una formalities nyingi sana za kufanya maamuzi.

Mfano kuna baadhi ya vitu vinachelewa kwani ni lazima vipite kona nyingi like, State Duma... Federal Council mara kiende Federal court wajiridhishe ndio kiwe official. Nice example ni Annexation ya ile mikoa mi4.
 
Kwahiyo ukaribu wa Russia na Iran ndio Israel apate wivu na aende kumpa silaha Ukraine?
Mtakuwa mnaota aisee,Kwa usalama wa Israel,anamuhitaji zaidi Russia!
Israel hawezi kurisk uhusiano wake na Russia kuyumba maana Russia naye anaweza kumpa Iran silaha kali za maangamizi!
Maana sioni Israel anaathirika vipi na Russia kununua silaha Iran!
 
Ndio muache kutukana au kuunga mkono matusi humu jamvini!
 
Iran siyo mjinga amuuzie Russia silaha atakua naye anahitaji technology toka Russia kumbuka Russia alishamgomeaga Iran kuhusu technology ya kurutubisha nyuklia ,hivyo israel anavuta pumzi tu hapo uvumilivu utamshinda
 
Yuri Vitrenko ameripotiwa kujiuzulu kama Mkurugenzi Mtendaji wa Naftogaz wakati Ukraine ikikabiliwa na shida kubwa ya nishati.

Mkurugenzi Mtendaji wa kampuni ya mafuta na gesi ya Ukraine ya Naftogaz, Yuri Vitrenko, amejiuzulu, vyombo vya habari vya Ukraine viliripoti Jumanne.

Vitrenko, ambaye aliongoza kampuni hiyo tangu Aprili 2021, nafasi yake itachukuliwa na Aleksey Chernyshov, waziri wa maendeleo ya jamii wa Ukrainia, watu wasiojulikana wenye ujuzi wa jambo hilo waliambia vyombo vya habari.

Uteuzi wa Chernyshev ulithibitishwa na naibu wa Rada Yaroslav Zheleznyak, ambaye alisema kuwa bunge la Ukrain limepangwa "kujadili suala lake."

Mnamo Oktoba, Vitrenko alionya kwamba Ukrainia inakabiliwa na msimu wa baridi kali zaidi kuwahi kutokea, baada ya mashambulizi ya anga ya Urusi kuharibu "karibu 40% ya mitambo ya kuzalisha umeme."

Ukraine imekuwa ikikabiliwa na kukatika kwa umeme mara kwa mara tangu Moscow ilipofanya maashambulizi makubwa kwenye vituo vyake vya nishati, ikiwa ni pamoja na vituo vya umeme, baada ya kuishutumu Kyiv kwa mashambulizi ya kigaidi kwenye miundombinu ya Urusi, ikiwa ni pamoja na Kiwanda cha Nyuklia cha Zaporozhye na Daraja la Crimea.

Mtendaji huyo pia alisema kuwa nchi inaweza kubadili kutoka kwa gesi asilia kwenda kwenye takataka na biomass kwa ajili ya kupasha joto mapema mwaka ujao, kwa kuwa ni faida zaidi kwa Naftogaz kuzindua miradi ya joto la pamoja na mitambo ya umeme kuliko kununua gesi.
 
Biden: "They talk about inflation .. inflation is a worldwide problem right now because of a war in Iraq...

excuse me, the war in Ukraine.

I'm thinking about Iraq because that's where my son died.

Beau Biden served in Iraq from Oct 2008 till Sept 2009, but died in a Maryland hospital from brain cancer in 2015
 
Kuwe na bonge lá mkorogo,waarabu,wazungu,waafrika,wadosi,wakorea kaskazini etc. Patanoga sana aisee!
Nalog off Z
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…