Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?


Mkuu, hii nukuu ni ya kweli au unamlisha Mzee wa watu maneno? Kama ni kweli basi Mwamba Putin kawabana hawa watu vibaya aisee.
 
Iran siyo mjinga amuuzie Russia silaha atakua naye anahitaji technology toka Russia kumbuka Russia alishamgomeaga Iran kuhusu technology ya kurutubisha nyuklia ,hivyo israel anavuta pumzi tu hapo uvumilivu utamshinda
Hizo ni speculation zako ambazo hazina basis yoyote!Sasa Huoni risk zaidi Kwa Israel kupeleka silaha Ukraine,maana hapo ndio atakuwa amempa green light Russia ya kuretaliate Kwa kumpa tech hiyo Iran?
Hoja Yako ndio maana nikasema Iko kinyume!
 
Hizo ni speculation zako ambazo hazina basis yoyote!Sasa Huoni risk zaidi Kwa Israel kupeleka silaha Ukraine,maana hapo ndio atakuwa amempa green light Russia ya kuretaliate Kwa kumpa tech hiyo Iran?
Hoja Yako ndio maana nikasema Iko kinyume!
Ndio maana nikasema israel anamvutia pumz Russia na kumbuka Netanyau anarud
 
Saud Arabia bado ataendelea kuwa na US siku zote maana adui wa hili taifa la kifalme na lenye utajiri mkubwa wa wese ni adui wa US pia .

Officials: Saudis tell US that Iran may attack the kingdom​

AAMER MADHANI, MATTHEW LEE and LOLITA C. BALDOR
Wed, November 2, 2022, 1:26 AM·5 min read

Pentagon spokesman Air Force Brig. Gen. Patrick Ryder speaks during a briefing at the Pentagon in Washington, Tuesday, Nov. 1, 2022. (AP Photo/Susan Walsh) (ASSOCIATED PRESS)More
WASHINGTON (AP) — Saudi Arabia has shared intelligence with American officials that suggests Iran could be preparing for an imminent attack on the kingdom, three U.S. officials said Tuesday.
The heightened concerns about a potential attack on Saudi Arabia as the Biden administration is criticizing Tehran for its crackdown on widespread protests and condemning it for sending hundreds of drones — as well as technical support — to Russia for use in its war in Ukraine.
“We are concerned about the threat picture, and we remain in constant contact through military and intelligence channels with the Saudis,” the National Security Council said in a statement. “We will not hesitate to act in the defense of our interests and partners in the region
Source :The Guardians
 
Kwahiyo huyo ndio Putin aliandika Kwa kiswahili?[emoji38][emoji38]Nyie watu mnachekesha!
Narudia; ushindi wa ukraine ni serikali ya mjini Kyiv kuendelea kuwepo madarakani..,hakuna ushindi mwingine zaidi ya huu.., zelensiky alishasema Yuko tayari kukaaa gizan kuliko kuona nyimbo za wavamizi zikiendelea.., chukua hiyo [emoji106][emoji106]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…