Narumu yetu
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 2,448
- 5,146
View attachment 2404520
President of Moldova Maja Sandu warned that there is a possibility that Moldova will be without electricity and heating this year
Kwahiyo kwako wewe ushindi ni Huo?Mimi Naona ushindi Kwa Russia ni kuendelea kushika majimbo yake manne!Narudia; ushindi wa ukraine ni serikali ya mjini Kyiv kuendelea kuwepo madarakani..,hakuna ushindi mwingine zaidi ya huu.., zelensiky alishasema Yuko tayari kukaaa gizan kuliko kuona nyimbo za wavamizi zikiendelea.., chukua hiyo [emoji106][emoji106]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Dimentia Joe, 😂😂Biden: "They talk about inflation .. inflation is a worldwide problem right now because of a war in Iraq...
excuse me, the war in Ukraine.
I'm thinking about Iraq because that's where my son died.
Beau Biden served in Iraq from Oct 2008 till Sept 2009, but died in a Maryland hospital from brain cancer in 2015
Si wamekwisha kurestore huduma ndani ya masaa 24 tangu waBOMUKWE tarehe 31 Oct.!??? Au wameBOMUKWA tena!!???[emoji1255][emoji298]According to Ukrenergo's announcement, Kiev, Chernihiv, Cherkasy, Zhytomyr, Sumy, Kharkiv and Poltava regions will be without power today.
Hapo hapo they tell you ati wameshoot down 95% of all missiles! If so , je kipi kilicho sababisha haya maafa? Au ni natural disasters kama kimbunga na tetemeko la ardhi sie hatujui [emoji23].
Duuuh,watu wengine wabishi kweli!Kwahiyo umejuaje kama Israel anamvutia pumzi Russia?Nways ngoja tusubiri,huenda wewe ni mpiga ramli!Ndio maana nikasema israel anamvutia pumz Russia na kumbuka Netanyau anarud
Pona ya Saudi ni kuendelea kuwa rafiki wa USA, tufauti na hapo MBS ataondolewaSaud Arabia bado ataendelea kuwa na US siku zote maana adui wa hili taifa la kifalme na lenye utajiri mkubwa wa wese ni adui wa US pia .
Officials: Saudis tell US that Iran may attack the kingdom
AAMER MADHANI, MATTHEW LEE and LOLITA C. BALDOR
Wed, November 2, 2022, 1:26 AM·5 min read
Pentagon spokesman Air Force Brig. Gen. Patrick Ryder speaks during a briefing at the Pentagon in Washington, Tuesday, Nov. 1, 2022. (AP Photo/Susan Walsh) (ASSOCIATED PRESS)More
WASHINGTON (AP) — Saudi Arabia has shared intelligence with American officials that suggests Iran could be preparing for an imminent attack on the kingdom, three U.S. officials said Tuesday.
The heightened concerns about a potential attack on Saudi Arabia as the Biden administration is criticizing Tehran for its crackdown on widespread protests and condemning it for sending hundreds of drones — as well as technical support — to Russia for use in its war in Ukraine.
“We are concerned about the threat picture, and we remain in constant contact through military and intelligence channels with the Saudis,” the National Security Council said in a statement. “We will not hesitate to act in the defense of our interests and partners in the region
Source :The Guardians
Mmebaki na 1)Msafara wa km60 2)ndani ya masaa 72 3) HimarsWalivamia kichwakichwa nchi ya watu sio ajabu kwa kilicho wapata warusi.Unaweza nielezea msafara wa vifaru vya jeshi la urusi wa kilometa 60 kuelekea Kyiv uliishia wapi?
Kutoka operation ya saa 72 ya kuwaondoa wanazimamboleo Hadi kushillkilia majimbo nusu nusu huku vita ikiendelea.., hongereni sana kwa ushindi huo,[emoji16]Kwahiyo kwako wewe ushindi ni Huo?Mimi Naona ushindi Kwa Russia ni kuendelea kushika majimbo yake manne!
Lile safara la km 65 lilivunja rekodKutoka operation ya saa 72 ya kuwaondoa wanazimamboleo Hadi kushillkilia majimbo nusu nusu huku vita ikiendelea.., hongereni sana kwa ushindi huo,[emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kuna mdau kasema mmebaki kwenye Chaka Hilo la saa 72😆😆😆😆!Kutoka operation ya saa 72 ya kuwaondoa wanazimamboleo Hadi kushillkilia majimbo nusu nusu huku vita ikiendelea.., hongereni sana kwa ushindi huo,[emoji16]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kuna mdau kasema mmebaki mnajificha kwenye Hilo Chaka kila mnapokosa matumaini😆😭😭😭😭😭!Lile safara la km 65 lilivunja rekod
.mkuu km65 parefu.sijui tuliite jina gani maana ukiliita SMO haliendan,labda counteroffensive ya kirusi
Unajifanya hujui nini Russia alichotaka kufanya huko ukraine.., uzuri ni kwamba sitachoka kuwakumbusha haya maneno yenu wenyewe..,kila mara nitakuwa nawaumbua.., Putin mwenyewe anaujua huu ukweli vizuri tu.., tatizo Putin ni mpenzi mkubwa sana wa kuangalia muvi,Sasa hizo muvi zilimdanganya na akaamini anaweza kuiteka Kiev ndani ya siku 3 [emoji16]Kuna mdau kasema mmebaki kwenye Chaka Hilo la saa 72[emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]!
Tokea wiki ya kwanza ya vita mpaka Leo nauliza ni nani alisema ni operation ya saa 72?Nikaomba hata source ya West walau basi hata hiyo,lakini mpaka Leo bila bila!
Ile ikuwa ni balaa mkuu, kipigo walichopokea kwenye ule msafara kinaitwa " usirudie Tena"[emoji16][emoji16]Lile safara la km 65 lilivunja rekod
.mkuu km65 parefu.sijui tuliite jina gani maana ukiliita SMO haliendan,labda counteroffensive ya kirusi
zinaitwa geopolitics, unaweza kuwa mwanzo wa mwisho wa uadui kati ya israel na iran.....Namaanisha Russia na israeli urafiki wao ni mkubwa kuliko ilivyokua Russia na Iran ,sasa kwa kitendo cha Iran kuzid kuwa na Russia karibu ni sawa na zelesky alivyoanza ukaribu na NATO ,kumbuka Iran ni adui mkubwa wa israel ,so kuna namna israel atakubali kuwapa silaha Ukraine .
this has been addresses - US will remain to be US na ndiyo maana Putin analia lia kila siku kwamba US ndiyo inayosababisha vita hii iendelee hadi leoHacker breaks into US troop control software Delta used by Ukrainian Army.
Hacker Joker DPR got access to Delta program, which was kindly provided to Ukrainian militants by the US. It shows the location of barracks, troops, UAVs, ammunition depots, checkpoints, reconnaissance data, and projectile drop points.
Demonstrating the program's capabilities, Joker DPR showed the locations of Ukrainian units near Mykolaiv.
"I wonder if the American command will guess that their DELTA could also get into trouble thanks to the Ukrainian clowns?" commented the hacker.
ilikuwa ni kipigo cha mbwa koko mwizi wa mchuzi... !!Ile ikuwa ni balaa mkuu, kipigo walichopokea kwenye ule msafara kinaitwa " usirudie Tena"[emoji16][emoji16]View attachment 2404645View attachment 2404647
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
aya mbili za mwisho, si tunaambiwa russia ni nchi ya kidikteta, formality za nini kwenye udikteta aiseee?Ha ha sio kwamba hana busara, ila ni moja katika watu ambao hawapendi unyonge au kukaa kinyonge ilhali uwezo wanao!
Tofauti na Putin ambae yupo okay kua humiliated by any means kulinda mwonekano wa kirafiki kama West wanavyo mfanyia hivi sasa.
Medvedev dam changa yule [emoji23], mwaga mboga amwage ugali... Mzee Putin umri nao pia unambeba upole mwingi maana kwa anavyo chokozwa angekua mwingine angekua ashakiwasha kitaaambo.
Kinachonifurahisha ni kua, katika nakala zao West eti huyu ndio alie andikwa vizuri kua ni mpole na mtaratibu kuliko Putin. Hasa Wikipedia ingawa baada ya mzozo naona wamebadilisha maelezo yake kwa kina.
Time to Jokes!
Huwa sipati picha huyu ndio angekua Raisi, Kadyrov Minister of Defence. General Armageddon huyu aliye in duty sa hivi angekuepo toka awali. Halafu tukamkodi Kim Jong Un kua foreign Minister [emoji23].
Furthermore kusingekua na ile "formal way" ya kufanya maamuzi aseeeee mambo yangekua bam bam [emoji91][emoji91][emoji91].
Hapo nimesema "Formal way" maana mfumo wa Russia una formalities nyingi sana za kufanya maamuzi.
Mfano kuna baadhi ya vitu vinachelewa kwani ni lazima vipite kona nyingi like, State Duma... Federal Council mara kiende Federal court wajiridhishe ndio kiwe official. Nice example ni Annexation ya ile mikoa mi4.