Huyu jamaa hii swala la kulalamika ni moja ya silaha zake katika hii vita... Tena anaitumia vizuri...Russia imeshambulia uwanja wa Ndege wa Vinnytsia kwa makombora manane tu ya cruise (Cruise missiles).
View attachment 2141494
Jamaa ni bongo muvi bai profeshnoHuyu jamaa hii swala la kulalamika ni moja ya silaha zake katika hii vita... Tena anaitumia vizuri...
Etiii acha mzee wanguJamaa ni bongo muvi bai profeshno
Na ndio maana sis pro comedian tunasapot kuzuia raia kutoka nje ya mji wa mapambano,kwan kuna ubaya gani tukipambana ktk kambi za jeshi na raia wakibaki majumban wakisubir taarifa za nan kasanda,na kwa nin raia waondoke anamalengo gani na wajeda wet u[emoji41][emoji41][emoji41][emoji41][emoji41]Russia yalalamikiwa kutumia mbinuvita zake mbaya zaidi za kuizingira miji kwa kipindi kirefu na kunyeshelezea mvua za makombora. Mbinu hizo amewahi pia kuzitumia huko Syria na Chechnya.
View attachment 2141525
Russia muonevu sanaRussia imeshambulia uwanja wa Ndege wa Vinnytsia kwa makombora manane tu ya cruise (Cruise missiles).
View attachment 2141494
Kuna vilaza humu walikuwa wanasema SANCTIONS haziwezi ihathili Urus kwasababu Putin alishajipanga muda mrefu kabla.
Wengine wakasema hela za serikali ya urusi zipo kwenye cryptocurrency hivyo hakuna namna mebeberu wataiyumbisha Urusi.
Yaan pesa ya serikali itunzwe kwenye shiling ya kubet!!
Pro Russia wengi ukiwafuatilia wanamatatizo ya akili.
Bora usubiri wakishachukua nchi ndo mada iendelee angalau watakuwa na nguvu ya kusema wana mpango gani na hiyo ardhi ya watu. Sa hivi hawana cha kukueleza utawakwaza tu.Unabisha kwamba Ukraine siyo underdog kwa Russia kijeshi? T14 Armata Frustration ankai Lisa Rina RTI NYUNDO YA MOTO Tsh huyu tumweleze ukweli au tumwache tu kwa Dunia yake peke yake 😂
Are you ready to be a fool of nations!?You also be a fool as i am f,,,,,,,cking!!
Kwamba yeye atakuwa anawasubiria mumfikie tu kizembe😅 wewe ndio hujiongezi mzeeSasa nyuklia zinasaidia nini kwenye assassination mzee wangu wewe nawe bwana uwe unasoma mada na unaielewa kabla ya kujibu bwana unajiaibisha mzee!!