Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Dimentia [emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38]
 
Mtafanya nini
 
Niliwaambia toka mwanzo Dunia haiwezi kumruhusu Putin akashinda hii vita, na ikitokea hivyo basi dunia itakuwa imefeli vibaya sana kuruhusu Dikteta mmoja afikiri kuitawala Asia yote na baadaye Dunia nzima. Leo atampiga Ukraine kesho atahamia Lithuania, Lativia, Poland nk

Jamaa mmoja aliniuliza what do you mean by "Dunia" nikamjibu kwamba hadi sasa kama hajui Dunia ni ya kina nani basi yeye kachoka.

Kifupi Putin atapelekwa mdogo mdogo hadi kwenye kona, huko ndipo itakuwa mwisho wake - count 5 to 10 yrs kama akiendelea kukomaa.
 
Zikiwa opposite wanadai propaganda za magharibi,ila zikiwa possitive kwao wanauchubua na kujaza jukwaa
Principle Iko simple sana,kama habari inatoka Russia na sio nzuri Kwa Russia,watu ni rahisi kuamini bila kuhitaji verification,lakini ikiwa inatoka Russia halafu ikawa ni ya kuipamba Russia,watu watasema okay,but wait a minute,tunaweza kuverify hizi taarifa?
The same applies to Ukraine na vyombo vinavyoipamba!
 
kaka hii vita si ya kuisha leo wala kesho - Putin ajiandae kisaikologia kama hataki kurudi mezani bila masharti yoyote yale.

Sasa Kamikaze si zina sifa ya kujificha, haya zikajifishe sasa tuone.

View attachment 2404760
Hahahaha nyie watu mnaichukulia Russia poa sana....For sure hamuijui Russia....Mnadhani Russia imekurupuka kwa hili ???? Wait and see.....Russia ilimejipanga bwana....
 
Kashashinda tayari kwanza amechukua majimbo tayari milele na Pia waukraine wameshindwa counteroffensive au wewe difinition yako ya ushindi ni ipi Kwa sababu Sasa hivi pamoja na Russia kuendelea kushikilia hayo maeneo Kwa ushindi bado wanasonga mbele kwenye maeneo ambayo walikuwa bado hawajashikilia.taka msitake Russia atashinda.alafu nipe sababu kwanini unamwita Putin dikteta.
 
Russia resumes participation in grain deal – Defense Ministry

UN and Turkish mediation helped to get written guarantees from Kiev, the military says





Russia has resumed its participation in the TΓΌrkiye and UN-mediated deal on the export of Ukrainian grain via the Black Sea, the Defense Ministry announced on Wednesday.

Moscow agreed to reverse the suspension after getting written guarantees from Kiev that it would not use the safety corridor provided by Russia for military purposes, the statement said.

β€œAt this time, the Russian Federation considers the issued guarantees sufficient,” the ministry noted.

Moscow’s decision to suspend participation in the arrangement was announced last week after the Russian military accused Ukraine of using the corridor for a drone attack on the port of Sevastopol.

The statement on Wednesday credited the UN and TΓΌrkiye for securing the written pledge from Kiev. The scheme, which was first negotiated in July, is technically a set of two trilateral agreements between the two mediators and Russia and Ukraine respectively.

Moscow has long expressed concern about the implementation of the deal, which was touted by Kiev and its Western backers as necessary to curb surging prices in the global food market. Contrary to its stated goal, many of the shipments were sent to rich European countries rather than struggling nations elsewhere in the world, Russia said.

Moscow also blamed the UN for failing to have the US and its allies lift economic sanctions against Russian maritime traffic, which is necessary for shipping Russian food and fertilizers to other nations. It was also part of the terms of the Black Sea grain initiative.

The attack on Sevastopol happened early on Saturday last week and involved unmanned aerial and naval craft, which were detected and intercepted by the Russian Navy, according to statements by the defense ministry.

It claimed that the British military assisted Ukraine in planning and executing the operation. It further claimed that the same Royal Navy unit was involved in an attack on the Nord Stream pipelines in the Baltic Sea in September.

The UK Ministry of Defence responded by accusing its Russian counterpart of peddling false claims of β€œepic scale.”
 
believe me, Putin hataweza kushinda hii vita iwe nvua ama jua. Kitakachotokea Putina at the end kukubali wakae mezani wayamalize ki utu uzima bila masharti yoyote.

Anachotaka kufanya Putin ni kutaka kurudisha hadhi ya Urusi ki ubabe iliyokuwepo during World War II na kujaribu kuzifanya nchi zote zilizokuwa za KiSoviet at that time zisithubutu kujiunga kwa namna yoyote ile na watu wa Magharibi huku akisahau kwamba Dunia hii imebadilika mno.

Kwa hiyo kumpiga Ukraine itakuwa sending signal kwa wengine wote ili wasithubutu kujihushisha na watu wa magharibi hasa kiulinzi. (NATO)


"Vladimir Putin is on an imperial mission to restore control over what he believes is β€˜historic Russia’. Each time his regime senses weakness, it emboldens aggression
 
Atashinda hakuna wa kumzuia mpaka Sasa hivi kashashinda Kwa sababu amebeba maeneo aliyotaka Ukraine na wamewapunguza nguvu jeshi la Ukraine Sasa hivi wameshindwa counteroffensive alafu pia kimataifa Russia kaongea ushawishi uarabuni na Bricks ni ushindi mkubwa.hakuna wa kumzuia Russia kushinda.
 
Mkuu mbona unakapenda haka kastatement kana kwamba kalitolewa na officials wa Russia?
Hayo ni maneno ya kukebehiana tu humu JF kama ambavyo upande wa pili walivyokuwa wanadai Russia haiwezi kuhimili vita kwa muda mrefu maana ataishiwa Silaha na Chakula ila mpaka sasa ngoma inogile. Kwa kifupi hii vita bado ipo sana maana wababe wanapimana ubavu kama ilivyo kule Syria
 
Bila shaka umevurugwa. siyo bure. sasa huko miaka 5 hadi 10 Putin anafanya nini wakati Urusi wana uchaguzi wa kila baada ya miaka 5. Mwaka 2024 tu kuna uchaguzi na inawezekana Putin asigombee. Vita vya Ukraine siyo ya Putin. Vita katia ya Urusi na Ukraine, siyo vita kati ya Putin na Zelenksy. Cha msingi hapo ni kuheshimu mipatak ana usalama wa kila moja kati ya Urusi na Ukraine.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…