Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Niliwaambia toka mwanzo Dunia haiwezi kumruhusu Putin akashinda hii vita, na ikitokea hivyo basi dunia itakuwa imefeli vibaya sana kuruhusu Dikteta mmoja afikiri kuitawala Asia yote na baadaye Dunia nzima. Leo atampiga Ukraine kesho atahamia Lithuania, Lativia, Poland nk

Jamaa mmoja aliniuliza what do you mean by "Dunia" nikamjibu kwamba hadi sasa kama hajui Dunia ni ya kina nani basi yeye kachoka.

Kifupi Putin atapelekwa mdogo mdogo hadi kwenye kona, huko ndipo itakuwa mwisho wake - count 5 to 10 yrs kama akiendelea kukomaa.
Mara huko mbeleni mara ,miaka ..... Aseee Big chawaz onlfeek.
 
About 7,000 of our soldiers are missing" - Anya Malar, Deputy Minister of Defense of Ukraine
1667445478839.png
 
IRAN ATAKIPATA ANACHOKITAFUTA, COUNT DAYS....

Iran
is preparing to send approximately 1,000 additional weapons, including surface-to-surface short range ballistic missiles and more attack drones, to Russia to use in its war against Ukraine, officials from a western country that closely monitors Iran’s weapons program told CNN.

The shipment is being closely monitored because it would be the first instance of Iran sending advanced precision guided missiles to Russia, which could give the Kremlin a substantial boost on the battlefield.
Iran siyo nchi inayotishiwa kindezi hivyo ndugu yangu. US na allies wake wanajua. Mambo mengi ni propaganda tu
 
Duh [emoji2772]

[emoji627] [emoji1188] Japan issues emergency warning for incoming North Korean missile launch, residents in Miyagi, Yamagata, Niigata prefectures ordered to take shelter. This is most likely due to a north korean missile test.

Update!!!
[emoji1188] Kim sends another missile...

Update!!!

[emoji298] ️[emoji1188] [emoji2406] [emoji627] And a 3rd missile launch from North Korea Today into the east Sea. Already Splashed down.
 
Back
Top Bottom