Ali Nassor Px
JF-Expert Member
- May 6, 2022
- 2,433
- 4,043
PUTIN KIDOLE KIMOJA HAKIVUNJI CHAWA... anyway tumpe mda putinPUTIN amesema hivi vita vinavyoendelea nchini Ukraine haviwezi tena kutokana na misaada anayopewa Ukraine kutoka kwa nchi 120 elewa USA ina nchi 51 pamoja na Alaska ambayo Mpuuzi Russia alimuuzia . Hii ni pamoja na NATO .