Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Performance mbaya ya silaha za Urusi kwenye vita na Ukraine inaweza haribu soko lake la silaha na ushawishi wake wa nguvu za kijeshi huko mashariki ya kati🤔
MyTake;Sasa hivi Russia ni wa kawaida sana kijeshi anaweza tolewa kamasi hata na India.
......
Weapons sales have been one of the key pillars of building Russia's political influence in the Middle East. But the war in Ukraine may affect Moscow's ability to continue supplying arms to the region ⬇
 
Performing mbaya ya silaha za Urusi kwenye vita na Ukraine inaweza haribu soko lake la silaha na ushawishi wake wa nguvu za kijeshi huko mashariki...
Urusi wa kawaida Sana,Kwa hapa alipofikia ameshakuwa mdebwedo..,Hana Tena Malinda..,JWTZ wakijipanga vizuri mbele ya urusi haitafika wiki wanatimba Moscow [emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
7:48 am
Ukrainian air defenses shoot down 10 drones over past day.
Over the past 24 hours, Ukraine's Air Defense Forces shot down 10 Iranian-made Shahed-136 and Russian-made Orlan-10 drones over Ukraine, the General Staff of Ukraine's Armed Forces reported in its latest update.
Drone 20 zimeshalambishwa mchanga ndani ya saa 24..,hii ni hatari sana kwa taifa hambalo lilijinasibu kama super pawer [emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Haya mashindano ya hizi silaha za maangamizi ni hatarishi sana kwa uwepo wa Dunia yetu, yanaweza kuiunguza Dunia kama vile wale binadamu wa kale kabisa walivyoiunguza Mars yao, wakapotea wote - no records behind.

Neuclear ilipukutisha kila kitu, wao wakapotea oxygen ikapotea hence hakuna existence ya viumbe hai - bomu likasababisha na gravitational kushuka hadi 3.721 m/s²
Uwongo uwongo mwingi sana
 
Kwanini Zelensky amekubali vita ipiganwe kwenye ardhi yake tu? Na je, kuna sheria inamzuia zelensky kurusha makombora moscow kama putin anavyorusha kiev? Naona kama Zele anarusha makombola ndani ya chumba alicholala badala ya kurusha moscow anaogopa nini?
 
kwa nini zelensky amekubali vita ipiganwe kwenye ardhi yake tu? na je kuna sheria inamzuia zelensky kurusha makombora moscow kama putin anavyorusha kiev? naona kama zele anarusha makombola ndani ya chumba alicholala badala ya kurusha moscow anaogopa nini ?
Utakuwa haufuatilii. Majimbo ya Kursk,Belgorod ambayo yapo mpakani mwa Ukraine Kila mara yanashambuliwa au wewe unataka Ishambulie Vipi?

Anyway,Ukraine nje ya Drones Hana Makombira yenye uwezo wa kufika MOSCOW Labda apewe na NATO.
 
Zelensiky akianza kurusha makombora Moscow atakuwa Hana tofauti na mwenzake fashisti anayejiita Putin...,wewe ukimla mke wangu na mimi nakamtafta wa kwako nikamla,sote tutakuwa wazinzi tu , hakuna wa kumlaumu mwenzie..,tunataka dunia iendelee kumuona fashisti mmoja katika huu mgogoro.., Ukraine wakirusha makombora Moscow hata wao tutaanza kuwaita wavamizi wanaofaa kulaaniwa na kila mpenda haki [emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Daraja la Ukraine lililoharibiwa na Urusi mwezi wa kwanza wa vita,lakarabatiwa🤔
........
A bridge in Stoyanka near Kyiv, destroyed by russian invaders in the first month of the war, is now restored and fully operational.

They will never break Ukraine.
FB_IMG_1667472603243.jpg
 
According to media reports, Russia is interested in two more types of UAVs: "Arash-2" and "Meraj-521".

[emoji3502]"Arash-2"

View attachment 2405574
This type is a relatively new Iranian development. Compared to the Shahed-136, they have a more powerful warhead and a claimed range of up to 1,700 km.

The drone is a long-range precision-guided weapon that can be launched from both land and sea platforms.

Newer models have infrared or optical homing heads. This allows the drone to stay in a given area to find and destroy the target.

At the exercises of the IRGC and the Iranian Army, the Arash has been used effectively as an anti-radar munition, which will be relevant for suppressing Ukrainian air defences.
These Persians will give somebody a heart attack
 
Haya mashindano ya hizi silaha za maangamizi ni hatarishi sana kwa uwepo wa Dunia yetu, yanaweza kuiunguza Dunia kama vile wale binadamu wa kale kabisa walivyoiunguza Mars yao, wakapotea wote - no records behind.

Neuclear ilipukutisha kila kitu, wao wakapotea oxygen ikapotea hence hakuna existence ya viumbe hai - bomu likasababisha na gravitational kushuka hadi 3.721 m/s²
Una imaginations za ajabu mzee baba
 
kwa nini zelensky amekubali vita ipiganwe kwenye ardhi yake tu? na je kuna sheria inamzuia zelensky kurusha makombora moscow kama putin anavyorusha kiev? naona kama zele anarusha makombola ndani ya chumba alicholala badala ya kurusha moscow anaogopa nini ?
Wewe kweli huna ujualo:-

Zelensky hakuchagua vita kupiganwa ukraine, Ukraine walilala asubuhi wakaamkia mabomu kila kona Russia wameivamia Ukraine kama vile unavyoweza wewe kulala nyumbani kwako usiku wezi wakakuibukia na kuanza kukushambulia

Kuhusu Zelensky kushambulia Moscow mpaka sasa bado hajapata ithibati kutoka kwa washirika wake (US na nchi za Magharibi) kufanya hivyo zaidi kunaangaliwa uwezekano wa kukwepa vita ya III dunia, lakini kama ikibidi mara kadhaa US na Biden wamekuwa wakionya wakilazimika kuingia kwenye vita ya III ya dunia Putin aelewe kwamba vita itapiganwa kwenye ardhi ya Urusi na si Ukraine tena ambapo hapa sasa inaangaliwa namna Putin kama atatumia silaha za nuclear dhidi ya Ukraine majibu yake yatajibiwa kwa mashambulizi hadi Moscow na Urusi kuwa vumbi tupu.

Ukraine walichotakiwa kufanya na ambacho kimeleta mafanikio makubwa ni kuhakikisha wanajilinda kwanza lakini adui wanamtoa nje ya nchi yao kama inavyoonekana na kushuhudiwa na ulimwengu hadi sasa, kwa mfano Russia ilipoivamia Ukraine walitokea Belarus wakaingia donbas na kuja zao hadi Kyiv, Ukraine wakafanikiwa kumtoa Mrusi katika maeneo yote ikiwemo Kyiv yenyewe na miji mbali mbali na Urusi badala yake wakarudi kuishikilia Donbas ambako sasa vita ndiko inakoendelea kwenye yale majimbo 4 ambayo putin alitangaza kuyakwapua.

Mafanikio makubwa kwa Ukraine ni kwamba Donbas wanaendelea kuirejesha, walianza na miji ya Kharkiv, Lyman na sasa Kherson kote huko Russia tayari ameinua mikono juu, bado baadhi ya maeneo katika majimbo 3 hivi batlle inaendelea na watamalizia na Crimea ambayo Russia waliikwapua tokea 2014.

Russia kwenye miezi 7 aliyopigana tayari kila kitu kipo wazi hana jeshi tena la maana aliamua kuandikisha vijana wa umri wa 18 na zaidi kuongeza jeshi lake ambalo wengi tayari wameliwa vichwa lakini pia wafungwa, sasa hivi Urusi imelazimika kuomba msaada wa silaha kutoka Iran zile ndege ambazo hazina Rubani baada ya ndege zake nyingi kuangushwa na wanajesh wake kufa.

Sasa hivi kama unavyoona ama kusikia anachofanya ni kutumia missile bombs zile za masafa ya mbali kupiga majengo na miundo mbinu Kyiv baada ya kushindwa completely vita ya ardhini tena hata mwaka 1 haukufika.

Kwahiyo mafanikio ni ya kupigiwa mfano, nadhan Zelensky vikiisha vita anafaa kutangazwa kuwa rais wa dunia baada ushujaa wa hali ya juu kufanikiwa kumtibua Russia na Putin ambaye kabla Putin alitangaza saa 72 tu kuishughulikia Ukraine lakini tena baadae akasema miezi 6 kwa nchi ya Ukraine ambayo kidunia ilikuwa haisomeki kiivyo kwamba ni wakali kwenye vita, na sasa miezi 8 imetimia bado putin hajaona ndani ni kilio tu muda wote askari wake kuuliwa mbali vikwazo vinavyomtesa mpaka kufikia matajiri wengi wa russia kuihama nchi na kuwekeza nchi za Uturuki, Dubai na ulaya lakini raia wa russia kwa mamilioni wametokomea kusiko julikana kutafuta maisha mbali wale vijana waliokimbia nchi kuogopa kupelekwa vitani machinjioni.
 
Jengo la utawala la Urusi Kherson limeondolewa bendera zote za Urusi kuonyesha majeshi ya Ukraine yamemaliza kazi Kherson 🤔
.....
Russian flag disappeared from the building of Kherson occupation administration.
They looted every computer, car, every piece of medical or communication equipment from wherever they could reach. So, really, mission accomplished.

We are on Twitter: https://twitter.com/InUAOfficial
FB_IMG_1667475121713.jpg
 
Una imaginations za ajabu mzee baba
ha ha ha, nimekupa kitu cha ajabu eeee !! sasa kama hujui NASA wana kauli mbiu (mission) ya kutaka kujua je kwenye hii universe jee tupo sisi tu ama kuna binadamu wengine wanaishi ila hatujuani? hilo nalo chief ?

Anyway turudi kwa Putin, anafikiri ataubavu wa kurudisha mabavu na nguvu ya kiuchumi na kijeshi iliyokuwa nayo kabala ya kusambaratika miaka hiyoo, ni ndoto ya chizi tena ya mchana.
 
According to media reports, Russia is interested in two more types of UAVs: "Arash-2" and "Meraj-521".

[emoji3502]"Arash-2"

View attachment 2405574
This type is a relatively new Iranian development. Compared to the Shahed-136, they have a more powerful warhead and a claimed range of up to 1,700 km.

The drone is a long-range precision-guided weapon that can be launched from both land and sea platforms.

Newer models have infrared or optical homing heads. This allows the drone to stay in a given area to find and destroy the target.

At the exercises of the IRGC and the Iranian Army, the Arash has been used effectively as an anti-radar munition, which will be relevant for suppressing Ukrainian air defences.

Binafsi nashindwa kuona logic ya Zelensky kutaka kuendelea kupigana hii vita - msimamo wake wa kijinga utalifanya Taifa la Ukraine kuchakazwa kabisa kwanza, halafu baadae Urusi itahamua kuli-annex kabisa kama njia ya kuondoa donda ndugu linalo linalo shirikiana na NATO/US kusumbua taifa la Urusi - hilo likitekelezwa ntakuwa wa kwanza kumpongeza Putin - Ukraine ni kero sana.
 
Back
Top Bottom