othuman dan fodio
JF-Expert Member
- Jan 2, 2018
- 7,714
- 12,239
Na watamuondoa kabisa huu sio wkt mzuri wa kufungamana na Putin.BREAKING NEWS: Imran Khan has taken bullets on his legs. Confirmed by senior party member Fawad Hussain.
Na watamuondoa kabisa huu sio wkt mzuri wa kufungamana na Putin.BREAKING NEWS: Imran Khan has taken bullets on his legs. Confirmed by senior party member Fawad Hussain.
Mbona hauelewekiPUTIN amesema hivi vita vinavyoendelea nchini Ukraine haviwezi tena kutokana na misaada anayopewa Ukraine kutoka kwa nchi 120 elewa USA ina nchi 51 pamoja na Alaska ambayo Mpuuzi Russia alimuuzia . Hii ni pamoja na NATO .
Unaweza kuwa pia si mtoto halisi wa Baba Mzazi, Chifu tuwe na akiba za maneno Mama zetu wana siri nyingi sana mioyoni mwao...[emoji2960]Muda huo hata sikuzaliwa hospital, maana nilizaliwa ndani ya boma ya mzee.
Hospital za mama na mtoto hazikuwepo hapo.
DuhBREAKING NEWS: Imran Khan has taken bullets on his legs. Confirmed by senior party member Fawad Hussain.
Saa nyingine upunguze utoto.Warusi waiba camera Sweden kama spareparts kwa ajili ya kutengenezea drones kwenye vita vyao na Ukraine[emoji848]
...
#CRUX | Multiple Swedish media outlets are suspecting that the country’s recent wave of camera thefts might be linked to the Ukraine war. According to the New York Times, more than 160 cameras have been stolen from Swedish highways. Several Swedish news outlets suspect that the stolen cameras might be used in Russian drones. Local authorities are baffled with most thefts occurring between midnight and 3 AM. According to Swedish media reports, the country uses both Canon and Nikon as speed cameras for its highways. Swedish Security Service said that it is aware of information potentially linking the camera thefts to the Ukraine war. Experts say that there is a possibility that Russia might be struggling to find spare parts for its reconnaissance drones.#Sweden #OrlanDrones #Russia #Putin #Canon #Ukraine #Kyiv #WorldNews #Zelensky
Achana naye huyo.....ni kama yuko programmedSaa nyingine upunguze utoto.
Kwahiyo mlitaka Zelenksy ajisalimishe kwa Putin?!Binafsi nashindwa kuona logic ya Zelensky kutaka kuendelea kupigana hii vita - msimamo wake wa kijinga utalifanya Taifa la Ukraine kuchakazwa kabisa kwanza, halafu baadae Urusi itahamua kuli-annex kabisa kama njia ya kuondoa donda ndugu linalo linalo shirikiana na NATO/US kusumbua taifa la Urusi - hilo likitekelezwa ntakuwa wa kwanza kumpongeza Putin - Ukraine ni kero sana.
Wakati Babu Putin anapiga miundombinu Zelenksy anabomoa ammo depots huko Kherson kila kukicha.Kherson inadondoka
Dah!... Putin ataweza kweli kulinda hayo majimbo aliyoyatwaa kimabavu ? Kama vile anazidiwa.Wakati Babu Putin anapiga miundombinu Zelenksy anabomoa ammo depots huko Kherson kila kukicha.
Leo zimepigwa boti zao ambazo walizificha chini ya Daraja la Antonovsky,Jambo lilizidi kunishangaza jinsi HIMARS zilivyo na shabaha yaani zimepenyaje chini ya Daraja na kuzibutua boti za Babu Putin.
Wazee wa kura ya kujiunga na Russia sijui wanaficha wapi nyuso zao! Maana walisema ayo majimbo yakishambuliwa ile sheria ya Nuke ya Russia itatumika lkn mpk leo naona ni mwendo wa mateka.Dah!... Putin ataweza kweli kulinda hayo majimbo aliyoyatwaa kimabavu ? Kama vile anazidiwa.
Kherson ya wapi huko ni mji wa urusi mileleWanaukimbia mji Kherson
Endelea kuotaKherson ya wapi huko ni mji wa urusi milele