Mara huko mbeleni mara ,miaka ..... Aseee Big chawaz onlfeek.Niliwaambia toka mwanzo Dunia haiwezi kumruhusu Putin akashinda hii vita, na ikitokea hivyo basi dunia itakuwa imefeli vibaya sana kuruhusu Dikteta mmoja afikiri kuitawala Asia yote na baadaye Dunia nzima. Leo atampiga Ukraine kesho atahamia Lithuania, Lativia, Poland nk
Jamaa mmoja aliniuliza what do you mean by "Dunia" nikamjibu kwamba hadi sasa kama hajui Dunia ni ya kina nani basi yeye kachoka.
Kifupi Putin atapelekwa mdogo mdogo hadi kwenye kona, huko ndipo itakuwa mwisho wake - count 5 to 10 yrs kama akiendelea kukomaa.
Unaongelea ubongo Gani .... Huwezi kuwa na bongo ukasema Dunia ni EU na Marekani..... Huyo ana vumbi kichwani Bora tope INAWEZA kuzalisha minyoo.Dunia sio EU na Marekani pekee kijana,chemsha bongo Yako!
Iran siyo nchi inayotishiwa kindezi hivyo ndugu yangu. US na allies wake wanajua. Mambo mengi ni propaganda tuIRAN ATAKIPATA ANACHOKITAFUTA, COUNT DAYS....
Iran is preparing to send approximately 1,000 additional weapons, including surface-to-surface short range ballistic missiles and more attack drones, to Russia to use in its war against Ukraine, officials from a western country that closely monitors Iran’s weapons program told CNN.
The shipment is being closely monitored because it would be the first instance of Iran sending advanced precision guided missiles to Russia, which could give the Kremlin a substantial boost on the battlefield.
[emoji298]️Almost 7,000 people are considered missing to date in Ukraine, — the Deputy Minister of Defense of Ukraine Anna Malyar reports.About 7,000 of our soldiers are missing" - Anya Malar, Deputy Minister of Defense of Ukraine
View attachment 2405477
Kauli tata,inaweza kuwa na tafsiri nyingi![emoji298]️Almost 7,000 people are considered missing to date in Ukraine, — the Deputy Minister of Defense of Ukraine Anna Malyar reports.
[emoji117]Follow
@Flash_news_ua
... Are missing.. or have been killedAbout 7,000 of our soldiers are missing" - Anya Malar, Deputy Minister of Defense of Ukraine
View attachment 2405477
Naona hawana haraka, wanataka Urusi aendelee kupiga.Siasa hizi,2023 hiyo Kyiv ipo tu inasubiria hiyo mifumo[emoji12]
Si ndio vita isiwahi kuishaNaona hawana haraka, wanataka Urusi aendelee kupiga.