Final Boss
JF-Expert Member
- May 5, 2022
- 1,296
- 15,984
Source:New York timesSaa nyingine upunguze utoto.
has taken them 10months ndio ki English gani Sasa icho mkuu.Supply ya Gas ulaya sio tatizo check Eiro imeanza ku gain.Mrusi sasa hivi anahangaika sana Mturuki na.Mchina wanamchorq.maskini.Vota ya saa72 has taken them 10months
Hapana Mkuu hizi System Marekani ilitoa order kwa manufacturer ambae ni L3Harris tangu mwezi August wakasema zitakua tayari baada ya miezi 9,hizi hazitotoka kwenye hifadhi silaha ya Marekani Bali zitatoka direct from kiwandani hapo bado training jinsi ya kuzitumia. Zitachukua muda kidogo sema siku zinakimbia 2023 kesho kutwa tu hapo.Naona hawana haraka, wanataka Urusi aendelee kupiga.
Picha ZOTE muone vunjoPicha japo kama hiyo ya hao majeshi.View attachment 2406213
Sent from my SM-N9150 using JamiiForums mobile app
Vipi mmekomboa chochote? Au mnashinda mitandaoni nyamiziSource?!
Hahahaha zile mbwembwe za Referendums kimyaaaaaaaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Mnajitoa akili sana pro natoKwahiyo ulitaka nilete source ya Sputnik?![emoji23][emoji23][emoji23]
Si juzi hapa Russia ilijitoa Uturuki ikasema itaendelea na hayo makubaliano ndio Russia akaiomba Ukraine imhakikishie Ulinzi wa Meli zake ndipo arejee au mwenzetu ulikua huna Bando[emoji23][emoji23][emoji23]
Eeh lazima usalama ili wewe uweze kula mkate. Sio kuwa anamuogopa comedian amekuhurumia wewe sasa anataka comedian awe na akili asiguse meli za chakula.Majibu yako yote yapo hapa
Putin Demands 'Real Guarantees' From Kyiv Before Restoration of Grain Deal
Turkish Foreign Minister Mevlut Cavusoglu, who announced Erdogan's plan to speak with Putin earlier in the day, said: "We believe we will overcome this... [The grain deal] benefits everyone."
Erdogan said on Monday that Turkey would pursue efforts to keep the agreement in force despite Russia's hesitation.
Ni kwelisema siku zinakimbia 2023 kesho kutwa tu hapo.
Itaishia WashingtonHii vita itachukua hata miaka mitano,ilianzia Crimea,itaishia Crimea. Hiyo kauli ni tata Sana.
Sent from my TECNO CA7 using JamiiForums mobile app