Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?


Kwanza nikurekebishe, hakuna anayesema Russia tu ndio mwenye nuclear capability, hata India wako vizuri tu kwenye upande huo.

Sasa unaongelea nuclear capabilities kati ya Russia na UK?

Ukipata mda nenda kasome kuhusu Russian submarine inaenda kwa jina maarufu la Typhoon class ufanye comparison na hizo Vanguard class za UK

 
Hivi mkuu niulize tu! NATO ni Umoja wa kujilinda au Kuvamia?
NATO ni umoja wa kujilinda dhidi ya Urusi (ndio lengo la kuanzishwa kwake),
lakini pia NATO ni umoja wa kushambulia nchi zingine zinazopinga sera za washngton (hapa kila nchi wanayotaka kupiga wanapiga, hata member state zikipingana na matakwa ya washngton zinaadhibiwa.....refer italy)
 
Putin kasema walioko frontline ni 49,000
Kasema mobilized wamevuka 300,000, sababu wazalendo waliojitolea wamekuwa wengi sana
Shoigu alisema ni 89,000
Alisema wamefikia 300,000 mobilized
 
Ni vichekesho
 
Putin kasema walioko frontline ni 49,000
Kasema mobilized wamevuka 300,000, sababu wazalendo waliojitolea wamekuwa wengi sana
Shoigu alisema ni 89,000
Alisema wamefikia 300,000 mobilized
Sasa unajitaidi kubalance habar, umepunguza ushabik pongez zako.
Kabak vunjo na ubishi wake
 
Aisee! Kwao tu wameshindwa kufunga anga, hilo la Moldova wanalifunga na maturubai?
 
Wakuu, wengine walituletea mara kwa mara taarifa kuhusu "!mabomu machafu" ambayo Urusi ilidai yanaandaliwa na Ukraine. Ona taarifa rasmiy a Umoja wa Mataifa: Hakuna dalili kwamba madai hayo ni kweli.


aljazeera.com

UN inspectors find no sign of ‘dirty bomb’ in Ukraine​


Al Jazeera
Ukraine invited UN’s nuclear watchdog to inspect three sites after Russia accused Kyiv of planning to use a dirty bomb.

The United Nations nuclear watchdog has said it found no sign of “undeclared nuclear activities” at three sites it inspected in Ukraine at Kyiv’s request following Russian allegations concerning a so-called “dirty bomb“.
The International Atomic Energy Agency (IAEA) said in a statement on Thursday that it had been given “unfettered access” to the Institute for Nuclear Research in Kyiv, Eastern Mining and Processing Plant in Zhovti Kody, and Production Association Pivdennyi Machine-Building Plant in Dnipro.
“Based on the evaluation of the results available to date and the information provided by Ukraine, the agency did not find any indications of undeclared nuclear activities and materials at the locations,” the Vienna-based organisation said.
Inspectors also took environmental samples that will be sent off for lab analysis and the IAEA will report back on the results, the statement added.
All three of the sites had previously been mentioned by Russia in connection with its unfounded accusation that Ukraine was planning to use a dirty bomb – a conventional explosive device laced with radioactive, biological or chemical materials.
Russia’s UN ambassador, Vassily Nebenzia, claimed in a letter sent to members of the UN Security Council last week that Ukraine’s nuclear research facility and mining company “received direct orders from [President Volodymyr] Zelenskyy’s regime to develop such a dirty bomb”.
Moscow has not provided evidence for its claims, which Ukraine’s government has rejected as false.

Sign up for Al Jazeera's Newsletter​

Week in the Middle East​

 
🇺🇲🇺🇦 United States will transfer another 45 tanks (T-72 early modifications), 250 M1117 armored personnel carriers, 40 armored boats, 1,100 UAVs and additional ammunition to Ukraine as part of the next arms deliveries.

The Biden administration was in a hurry to pass this package before the midterm elections, after which intra-elite bargaining is expected over future supplies to Ukraine.
 
Urusi anapewa kipigo kikali.., lazima aongee lugha zote..,tunaposema kwamba maji atayaita mmaa,ndo kama hivi[emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
UN haiwezi kwenda against na USA, hii taarifa wala sikuishangaa, ningeshangaa kama UN wangedhibitisha kwamba ni kweli kulikua na plan ya dirty bomb.

Umewahi jiuliza kwa nini UN haiweki jitihada kumaliza huu mgogoro kidiplomasia ila kakausha kimya?
 
Kwa mantiki iyo ikitokea labda tuseme Uchina ameivamia Ujerumani, NATO haitohusika kuisadia Ujerumani kwasabu hajavamiwa na Urusi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…