Sawa,kama Hana uwezo wa kuishambulia UK aache kelele Sasa.., aache kulalamika kama mtoto wa kamboMbona hao Marekani na Uk hawaishambulii Urusi kama walivofanya kwa Sadam na Iraq walipovamia Kuwait?
Kama unadhani Republican wakishinda midterms kwamba misaada ya Ukraine itapungua bhas unajiongopea,Sera ya mambo ya Nje ya Marekani haijawahi badilika kamwe.J2 saa 12:00 jioni yatakua marudio ya mahojiano ya meza ya duara kule dw
Hem ukipata mda sikiliza
Hahaha kwani hamjui kama Kiev kuna mgao kama Bongo!@Pietro
We jamaa una vihoja kweli.., naona umelishikia Bango kweli kweli Hilo suala la Elon musk as if Elon musk ndio mtu pekeee mwenye akili dunian..,huyo Elon katoa maoni yake kama tunavyotoa maoni yetu Mimi na wewe hapa...,ingawa unajitahid kupotosha kwa makusudi matamshi ya Elon, lakini ukweli ni kwamba hayo ni maoni yake..,Ile " vise versa" unaikwepa kabisa [emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957][emoji2957]Kwa nini hamtaki kufatilia mambo kwa karibu - hasa hasa maoni ya watu weledi kwenye masuala ya teknolojia ya termonuclear na lightening fast delivery system zake-juzi juzi hapa mwana sayansi mahili na industialist Mr.Elon Musk kawaonya Wamerika wenzake (Rais Biden na jeshi la Merikani) pamoja na watawala wa bara la Ulaya kwamba: Linapo kuja suala la silaha za thermonuclear Urusi ina uwezo mkubwa wa kuichaza Amerika yenyewe pamoja mataifa yote ya Ulaya kwa mpigo - hayo si maneno yangu bali ya mwana sayansi mbobezi na mwelewa mambo kwa kina, si mnafiki, haogopi kulahumiwa na Taifa lake kwamba ni msaliti kwa kusema ukweli, hajipendekezi kwa watawala au majenerali wa jeshi kwa kuwa ana uwezo mkubwa kifedha ndiye anaye ongoza kwa utajiri Duniani - mtu kama huyo anapo ionya Dunia kwamba Merikani na wenzake wasiichezee Urusi, maoni/onyo la Elon Musk linapaswa kuchukuliwa seriously ie anajua sana alisemalo si mtu mbumbumbu kivile.
Kwa bahati mbaya kuna baadhi ya watanzania wenzangu niliwahi kuona wanakuja na hoja za ajabu eti: kwani Elon Musk ana nini cha maana na uelewa gani kumzidi waziri wa ulinzi wa Merikani au Rais Biden kitu wanacho sahau ni kwamba Biden na waziri wa ulizi ni wana siasa tu hawana akili na busara za kumfikia au zidi za Rais Kennedy, na hatujawahi kusikia serikali ya Merikani wala Biden hata Eamerikani wenye akili timamu wakipinga maoni/ushauri ulio tolewa na Elon Musk.
Tunayo yasikia sisi ni waswahili wanao mpuuzia Elon Musk wanasema mtu wa maana ni Rais Biden ambaye anatembea na brief case yenye key code za kufyatua Trident na Minuteman nuclear ICBM kwenda kuifuta kabisa Urusi kutoka kwenye uso wa Dunia,wanayasema hayo as if Elon Musk does not know about capabilities of those very very old ICBMs (1960/70s) - wanajisemea tu, hawana hata habari kwamba Russia ina uwezo wa ku-intercept na ku-destroy completely ICBMs zote ambazo RCS signiture zake ni rahisi kutambuliwa na Russian integrated air defense systems S-550, si ICBMs tu hata hypersonic missiles nazo zinakuwa intercepted - kitu ambacho hata jeshi la Merikani wamekiri kwamba uwezo wa kujikinga dhidi ya hypersonic missiles za Urusi uwezo huo hawana kabisa - sasa sisi watu baki kwa nini hatutaki kukubali ukweli huo -masaa yote ni ku-inflate uwezo wa kijeshi wa Uncle SAM wakati hata siku moja US uhawajawahi kupigana vita na taifa ambalo lina uwezo mkubwa kijeshi na wakawashinda, tunacho kijua sisi ni wao kuvamia vamia na kupiga mabom military weak nations ie Banana Republics and not a real McCOY!!
[emoji91][emoji122]Mnaoenda ushabiki na unazi, msijifanye mnajua kuliko Serikali za Russia, Ukraine na NATO. Punguzeni kujua…. Mnayoyapata huku ni masalia yanaitwa Propaganda.
Urussi wamesema hili, mla mihogo hapa Sengerema anapinga kwa nguvu zote. Yaani yeye ana Intel kuliko za Kremlin, kuliko za Uk na kuliko za huko Kyiv .
Tupeane tu updates na mawazo yetu , Tusijifanye tunajua zaid kuhusu Intels babu
Wakati Leo tu yapo magari ya umeme!!?? Huyu Mzee anazeeka vibaya.
Russia alishindwa kuilinda Soviet isianguke,Leo hii ayaweze ya mbali huko uingereza?Leta maoni yako mbadala - mnapo kosa hoja za maana mnaishia kutukana watu kwamba wana akili za matope mara oh unazungumza pumba mambo ya kitoto toto tu - mtu mwenye elimu nzuri na uelewa wa kutosha hawezi ku-stoop so low na kuanza kuwatukana members wenzake out of the blue, tabia hizo zinadhilisha kitu kimoja nacho ni kwamba kumbe you're still mentally immature-ndicho ninacho kiona mimi!!
Kama kwenye ufafanuzi wangu kuna kitu ambacho hukukielewa vizuri ungeniuliza ili ni clarify zaidi, mfano: nilizungumzia suala la Scotland - wewe kwa akili zako ulifikiri ninacho kisema ni kama ndoto za mchana au, si ajabu huna hata habari kwamba watu wa Scotland wanazungumza lugha yao tofauti ambayo si kiingereza wana tamaduni zao tofauti kabisa na tamaduni za England, wanataka kujitenga na England wawe na Serikari yao na Bunge lao, visima vya mafuta na gesi vya North Sea wanataka viwe mali yao na madai mengine chungu mzima, je wewe hayo unayajua au unapinga tu hutaki members wengine walete maoni mbadala ili members ambao wako interested wajifunze kitu.
Russia alishindwa kuilinda Soviet isianguke,Leo hii ayaweze ya mbali huko uingereza?
Masihara haya [emoji848][emoji57]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Walokole mnavyoipamba IsraelDawa ya putin ni MOSSAD tu lazima hawa jamaa wataja ruka nae tu! Uchaguzi kule ushafanyika
Aiseeee mwaka huu kazi ipo[emoji298]️ The American nuclear submarine USS Rhode Island entered the Mediterranean Sea at the beginning of November, the US Navy reports.
The boat is considered the world's largest underwater carrier of nuclear weapons.
It can carry 24 Trident II intercontinental missiles (from 150 to 200 nuclear warheads), which are capable of hitting targets at a distance of 18 thousand kilometers at a speed of 29 thousand km/h.
Ndo walewale. Kwani alipovamia Ukrain hawakupiga kelele. Kama hawamuhanyi Mbona hawajamlete noma?Sawa,kama Hana uwezo wa kuishambulia UK aache kelele Sasa.., aache kulalamika kama mtoto wa kambo
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Tatizo mkuu linakuja hao Nato wana majeshi katika nchi 8 zilizo kwenye mzunguko wa black sea ambayo ni close to RussiaKuna balaa ila naona putin inabidi wam_eliminate sio kiumbe ambae tuna maslahi nae kama wana wa dunia hii!! Alitaka kudhihirisha ubabe ila mambo yameenda tofauti kabisa ss ana tuhatarisha wote
Mikwara kama hii ishazoeleka...hakuna jipya hapo.Hii imevujishwa makusudi kuwapa alert MI5 wachange plan au kuwithdraw au litawakuta zito kupitia Air Strikes mahali walipo wakiamini pameshajulikana.
Wamechanganishwa hapo!
Mkuu, je kwa sababu gani unaleta hapa lugha ya "Shame of the West"?The shame of the West:UN Security Council votes against probe into US biolabs
The US, France, and Britain shut down Russia’s call to investigate “military-biological” activities in Ukraine
The UN Security Council has rejected Russia’s call for an international investigation into claims that the US used laboratories in Ukraine to develop biological weapons.
While China backed Russia’s proposal, the US, Britain, and France voted against it, and the ten rotating council members abstained.
Russia insists that the US and Ukraine have been violating the 1972 international convention that bans the development, production, and stockpiling of biological weapons. According to Moscow, several laboratories in Ukraine were working on a secret “military-biological” program, which involved studies and the stockpiling of samples of anthrax, cholera, and other infectious diseases.
Washington and Kiev both deny developing biological weapons. Ukrainian President Vladimir Zelensky said in March that the laboratories were conducting “ordinary scientific research.”
READ MORE
Russia issues call to other nuclear powers
During the vote in the Security Council on Wednesday, US envoy, Linda Thomas-Greenfield, argued that the Russian proposal for a probe is “based on disinformation, dishonesty, bad faith, and a total lack of respect for this body.”
Thomas-Greenfield reiterated that the activities under the Pentagon’s Cooperative Threat Reduction (CTR) program in Ukraine and other former Soviet states “are not for military purposes.”
The US Mission to International Organizations in Geneva, Switzerland said in April that the CTR’s goal in Ukraine was to help the country “consolidate and secure pathogens and to continue to ensure Ukraine can detect and report disease outbreaks before they pose security or stability threats.”
Dmitry Polyansky, Russia’s deputy envoy to the UN, meanwhile, said he was “deeply disappointed” by the vote. He said “the Western countries are simply afraid” of an international investigation into the issue.
yaan kuna watu ni vichaa , warus watakuja kutafuna ndog iyoo , unaezaj waita watu waliovamiww nchini mwao ni magaidi ?km sio upimb ni nin ?Ufichuzi huo umekuja baada ya Urusi kuionya London kuhusu kiwango chake cha kuhusika nchini humo
Wanajeshi wa kijasusi wa Uingereza wanaripotiwa kufanya kazi kuunda na kutoa mafunzo kwa kikosi cha siri cha kigaidi nchini Ukraine kilichopewa jukumu la kushambulia maeneo ya Urusi huko Crimea kwa niaba ya serikali ya Kyiv.
Wakifanya kazi kupitia kampuni ya kibinafsi ya huduma za kijasusi ya Uingereza iitwayo Prevail Partners, wahudumu hao walitia saini makubaliano na tawi la Odessa la Idara ya Usalama ya Ukraine (SSU) kujenga kile kinachojulikana kama jeshi la kigaidi la "Partisan", The Grayzone iliripoti Alhamisi, ikinukuu uvujaji. nyaraka zinazoelezea mipango hiyo. Kazi hiyo inafanywa kwa uratibu wa karibu na SSU na ikiwezekana inafadhiliwa angalau kwa kiasi na oligarch wa Kiukreni Andrey Sadovoy, ambaye ni meya wa Lviv na anaongoza kampuni ya vyombo vya habari ya TRK Lux nchini humo.
"Mipango yao ililitaka jeshi la siri kufanya hujuma na operesheni za upelelezi zinazolenga Crimea ... hasa aina ya mashambulizi yaliyoshuhudiwa katika wiki zilizopita," The Grayzone iliandika.
Moscow imeishutumu London kwa kuhusika katika "[mafunzo], maandalizi na [] utekelezaji wa mipango dhidi ya miundombinu ya Urusi na meli za Urusi katika [Bahari] Nyeusi [karibu na Crimea]."
Uingereza pia ilidaiwa kuhusika katika shambulio la kigaidi la Oktoba 8 ambalo lililenga daraja muhimu kimkakati la Crimea. Maafisa wa ujasusi wa Uingereza waliagiza utafiti mwezi Aprili kuchunguza njia za kulipua daraja hilo, gazeti la The Grayzone liliripoti mwezi uliopita.
Mwezi uliopita pia, Kremlin ilishutumu London kwa kupanga shambulio la kigaidi ambalo liliharibu bomba la Nord Stream 2. Wizara ya Ulinzi ya Uingereza ilijibu kwamba Moscow ilikuwa "ikizusha madai ya uwongo kwa kiwango kikubwa."
Prevail, kampuni ya kijasusi ya kibinafsi, ilianzishwa na maveterani wa vikosi maalum, akiwemo Brigedia Justin Hedges, Chris Donnelly (afisa huyo huyo wa kijasusi wa Jeshi la Uingereza ambaye aliomba uchunguzi wa Daraja la Crimea) alikuwa miongoni mwa watu muhimu ambao walishawishi kwa siri mpango wa kampuni ya Prevail kuanzisha kitengo cha ‘Partisan’ nchini Ukraine, The Grayzone ilisema.
Vikwazo vya awali vilijumuisha vyanzo vya ufadhili wa mpango huo na kusita kwa serikali ya Uingereza kuwaruhusu wakandarasi binafsi kutoa huduma za mafunzo, "labda kwa kuhofia wangekamatwa katika kitendo hicho au hata kufunguliwa mashtaka kwa kujihusisha na shughuli hiyo ya uchochezi," chombo hicho kiliripoti. Baadhi ya watendaji waliibua wasiwasi kwamba Prevail iliweka gharama ya kila mwaka kwa $600,000 kwa kila mpiganaji wa ‘Partisan’ .
Maeneo ya mafunzo yalipangwa nchini Poland na Ugiriki. Hedges alisema kuwa kama ufadhili unahitajika kuwekwa mbali kutoka kwa vyanzo vya serikali, "michango" inaweza kukusanywa kupitia Rhizome Insights Ltd, NGO iliyo mbele kwa ajili ya Prevail. Aliongeza kuwa kampuni hiyo pia ilikuwa katika mazungumzo na ofisi ya Sadovoy kuhusu msaada wa ufadhili.
Video: Majasusi wa Urusi (FSB) wazuia shambulio la kigaidi la Ukraine nchini Urusi, wamtia nguvuni gaidi na vilipuzi vyake
Majasusi hatari ya kirusi (FSB) yamemnasa gaidi wa Ukraine aliyekuwa akijiandaa kuweka vilipuzi hatari kwenye warehouse ya kampuni ya usafirishaji kwenye jiji la Bryansk, Urusi. Gaidi huyo wa kiume mwenye miaka 50+ aliiingia Urusi akitokea Ukraine kupitia Estonia. Baada ya kuingia Urusi...www.jamiiforums.com
Putin aahidi jibu 'kali' kwa ugaidi wa Ukraine
Putin aahidi jibu 'kali' kwa ugaidi wa Ukraine Oct 11, 2022 02:27 UTC [https://media] Iwapo Ukraine itapanga mashambulizi zaidi ya kigaidi dhidi ya Russia, kutakuwa na jibu kubwa la kijeshi sawa na lile lililotekelezwa Jumatatu. Onyo hilo limetolewa na Rais wa Vladimir Putin wa Russia ambaye...www.jamiiforums.com
Majasusi wa Urusi (KGB) wamtambua gaidi No. 2 wa ki-Ukraine aliyehusika kumuua Darya Dugina huko Urusi
Marekani yasema kuwa majasusi wa Urusi (FSB) wamemtambua gaidi No. 2 aliyekuwa kwenye team ya mauaji ya binti mwandishi wa habari wa Urusi Darya Dugina huko Urusi. Gaidi huyo ametajwa kuwa ni Bogdan Tsyganenko, m-Ukraine wa kiume mwenye umri wa miaka 42 ambaye aliingia Urusi kupitia Estonia...www.jamiiforums.com
Kwani Russia hajaomba misaada? Hajawahi kusaidiwa ktk hii vita?Kwa kuomba omba mpaka akafokewa na Biden
Umasikini jamani View attachment 2407643