Shujaa Mwendazake
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 4,010
- 6,766
Uzushi huu umesimuliwa na nanUkisikia ELIMINATED MAANA YAKE KILLED , YOU CAN ADD UP
Ukrane wanakufa systematically Kati ya 200 mpaka 500 Siku zikipigwa fronti. Kumbuka sio KILA siku KILA front itapiganwa. Ila Zelensky boys are being eliminated
We nawe ujaribu kujiongeza basi yan wewe unafikir vifaru vyote mnapeleka front line ,lazima vibak vya akiba kulinda miji mingine ,kwa hiyo russia aliposafirisha vifaru toka belaruz ni kuwa kaishiwa vifaru?au russia kapeleka vifaru vyote 13000 front line ?utumie maarifa saa nyingineVifaru 90 vitaleta mabadiliko gani kwenye battlefield?
Angalia idadi ya vifaru vilivyoteketea linganisha na vifaru wanavyotaka kuletewa.
Kumbuka kabla SMO haijaanza Ukraine alikua na tanks zaidi ya 2000 na armoured vehicles zaidi ya 2000, hapo bado tanks na vehicles nyingine alizoletewa misaada, Poland alishaanza kupeleka T-72 tanks toka April.
Sasa kutoka kuwa na tanks zaidi ya 2000 zishindwe kubadilisha upepo wa vita, tanks 90 ndio zitabadilisha?
View attachment 2408567View attachment 2408571
Mkuu asante kwa kueleza. BAsi hapo juu uliandika "So sad CIA kill him." (yaani Hugo Chavez). Nilifikiri unarudia madai ya Maduro aliyetangaza Chavez alikufa kutokana na kansa na matatizo ya moyo, akishtaki CIA walimambukiza kwa virusi za kansa. Ilhali hakuongeza virusi ipi (maana virusi vya kansa viko aina tofauti) mimi naona alitangaza tu madai bila msingi - ambayo mimi naita propaganda, tena si propaganda nzuri.Kwani mie nimezungumzia virusi au nimesema aliuawa wew uliyeingiza mambo ya virusi ndio ufunguke afu kuwa na lugha nzuri unaponiquote nakusema nimeandika upuuzi, na hii inanipa picha nijue wew ni mtu wa aina gani! Hivyo jitahidi kutokunikulupukia mie.
Mama tozo akikusikiaMtu asiye mwelewa kama wewe ndiye anayeweza kuamini upuuzi wako kama uliomo kwenye comment yako hii...Ni Nani ambaye hatafunwi na makali ya Vita hivi.....umesikia kinachoendelea huko Uingereza na nchi nyingine zote za ulaya kiuchumi....umesikia kinachoendelea huko Marekani kuhusu recession?! Yaani eti Russia kununua silaha ndiyo kuishiwa silaha?! Je Uingereza hanunui silaha?! Je Marekani hanunui silaha?! Je Ukraine hanunui au kupewa silaha?! Wewe unadhani Russia Kuna watu wa hovyo kwa mipango Kama huko Afrika?! Unadhani Russia ataenda kibwege katika Vita hivi?! Kwa Russia hii Ni Vita ya kizalendo....atapgana Vita kimkakati na siyo suala la kuishiwa silaha hapo...Russia in military thinkers and strategists ....siyo Kama huko sijui wapi nchi imejaa maji ya mito na maziwa lakini jiji Kama Dar halina maji licha ya kuwepo nto Rufiji ambao haukauki, ziwa Victoria, ziwa nyasa na mvua kibao lakini watu hawana maji...gari la waziri au DED shilingi milioni 300 au milioni 400 lakini kisima Cha maji hakizidi hata sh. Milioni tano...lakini Wananchi hawana Maji....Russia Kuna thinkers na patriots na wachambuzi wa issues....siyo kama nyie mnaleta hoja za kitoto na fikra mgando kwa kuwatukuza mashetani wakoloni wa West wanao-exploit nchi hizi za Third world...it is no wonder nchi hizi haziwezi kuendelea milele...
Mkuu hizi namba siamini. Urusi haikuwa na vifaru 13,000 tayari, na idadi ya vifaru vya Ukraine vilivyokuwa tayari kwa matumizi ilikadiriwa kuwa 900 hivi (ona hapa), hasa modeli za kale T64. Kupata sasa 90 za hali ya juu, zikitumiwa vema -hasa dhidi ya vikosi vya Kirusi visivyo na silaha makini za kutosha- inaweza kuleta mabadiliko angalau kieneo.Vifaru 90 vitaleta mabadiliko gani kwenye battlefield?
Angalia idadi ya vifaru vilivyoteketea linganisha na vifaru wanavyotaka kuletewa.
Kumbuka kabla SMO haijaanza Ukraine alikua na tanks zaidi ya 2000 na armoured vehicles zaidi ya 2000, hapo bado tanks na vehicles nyingine alizoletewa misaada, Poland alishaanza kupeleka T-72 tanks toka April.
Sasa kutoka kuwa na tanks zaidi ya 2000 zishindwe kubadilisha upepo wa vita, tanks 90 ndio zitabadilisha?
View attachment 2408567View attachment 2408571
Silaha zinaishaga mkuu haiitaji kwenda shule kuhusu hili ,ukwel ni kuwa Russia kaishiwa silaha.Mtu asiye mwelewa kama wewe ndiye anayeweza kuamini upuuzi wako kama uliomo kwenye comment yako hii...Ni Nani ambaye hatafunwi na makali ya Vita hivi.....umesikia kinachoendelea huko Uingereza na nchi nyingine zote za ulaya kiuchumi....umesikia kinachoendelea huko Marekani kuhusu recession?! Yaani eti Russia kununua silaha ndiyo kuishiwa silaha?! Je Uingereza hanunui silaha?! Je Marekani hanunui silaha?! Je Ukraine hanunui au kupewa silaha?! Wewe unadhani Russia Kuna watu wa hovyo kwa mipango Kama huko Afrika?! Unadhani Russia ataenda kibwege katika Vita hivi?! Kwa Russia hii Ni Vita ya kizalendo....atapgana Vita kimkakati na siyo suala la kuishiwa silaha hapo...Russia in military thinkers and strategists ....siyo Kama huko sijui wapi nchi imejaa maji ya mito na maziwa lakini jiji Kama Dar halina maji licha ya kuwepo nto Rufiji ambao haukauki, ziwa Victoria, ziwa nyasa na mvua kibao lakini watu hawana maji...gari la waziri au DED shilingi milioni 300 au milioni 400 lakini kisima Cha maji hakizidi hata sh. Milioni tano...lakini Wananchi hawana Maji....Russia Kuna thinkers na patriots na wachambuzi wa issues....siyo kama nyie mnaleta hoja za kitoto na fikra mgando kwa kuwatukuza mashetani wakoloni wa West wanao-exploit nchi hizi za Third world...it is no wonder nchi hizi haziwezi kuendelea milele...
Wewe unajuaje silaha zimeisha?toa takwimu kama siyo unaropoka Tu.Silaha zinaishaga mkuu haiitaji kwenda shule kuhusu hili ,ukwel ni kuwa Russia kaishiwa silaha.
Weng tukisema kaishiwa huwa mnafikir labda hana kabisa .
Wenzetu stock zao za silaha wameweka vipimo ambavyo kama silaha flan zikitumika had kufikia levo flan basi inahitajika ziagizwe nyingine maana zilizobak hazitokag hizo ni kwa ajili ya ulinzi wa ndani.
Hivyo Kitendo cha Russia kuagiza silaha nje wajuz wa vita tumeshajua kaishiwa silaha .
Kumbe pamoja na hii vita mji wa Kiev una raia wanaozidi million 3?6 Nov, 2022 11:05
Kiev preparing plan to evacuate 3 million people – official
The city has been struggling with energy supplies and blackouts are now common
Vehicles in near darkness in central Kiev with the iconic St. Sophia Cathedral silhouetted in the background following a Russian aerial attack on October 31, 2022, Kiev, Ukraine [emoji2398] AFP / Sergei SUPINSKY/AFP
Authorities in Ukraine’s capital city, Kiev, are reportedly working on a contingency plan that anticipates the evacuation of approximately three million of its remaining residents, should power supply become completely cut off, a local official has told The New York Times.
The article published on Saturday quoted Roman Tkachuk, the director of security for the Kiev municipal government, as having warned that the city “may lose our entire electricity system,” if Russia continues striking Ukrainian energy infrastructure.
According to the report, Kiev authorities expect that, if worse comes to worst, they would have at least 12 hours’ notice before the grid collapses completely. Tkachuk explained that if there are signs of imminent failure, “we will start informing people and requesting them to leave.”
Should the Ukrainian capital face a total blackout, there would also be no water supply, and the sewage systems would grind to a halt, too, the official warned. He hastened to assure, however, that the situation is currently under control, and there is no exodus of city residents.
With winter approaching, Kiev authorities are preparing some 1,000 heating shelters that can double as bunkers during Russian strikes.
In a bid to prevent uncontrollable failures, Ukraine’s national energy utility has been imposing rolling blackouts in several regions, including the capital, over the past several weeks.
In its statement on Saturday, Ukrenergo explained that the measures were needed to “ensure sustainable balancing of the power system and avoid repeated accidents” affecting the national power grid.
In early October, Moscow launched massive long-range missile and ‘kamikaze drone’ strikes on Ukrainian military, energy and communication facilities. That followed what Russian President Vladimir Putin called a series of “terrorist attacks” masterminded by Kiev on Russian soil, including a truck bombing that damaged the Crimean Bridge, a strategic link connecting the peninsula with the mainland. Such tactics, Putin said, posed a threat to Russia and could not be left without a response.
According to Ukrainian authorities, as much as 40% of the country’s energy infrastructure has been damaged or destroyed as a result
Putini jee?Zele aliwahi zungumzia VIFO vya ASKARI wake
Mkuu ukiwa na idadi - utaje tu! Menginevyo sioni kosa kuangalia vyanzo yva silaha. Kwa Ukraine ni wazi: akiba zake zimepungua sasa, hasa kwa sababu sehemu ya viwanda vyake vimeharibika. Hivyo inapata grenedi na roketi nyingi kutoka nje.Wewe unajuaje silaha zimeisha?toa takwimu kama siyo unaropoka Tu.
Walipelekwa kuchimba mitaro na chepe 3Urusi wakisema Ukraine wanakufa 200 mpk 500 Kwa siku mnataka tukubali Ila Ukraine ikisema Warusi wanakufa 500 Kwa Siku mnasema propaganda [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Warusi karibu 500 wamefyekwa
[emoji298]️ A battalion of Russians, who were recently mobilized in the Voronezh region (Russia), was destroyed near Makiivka in the Luhansk region.
Only 41 Russian soldiers survived, and about 500 died.
The information was confirmed by the wives of the Russian military. They complain that their men were sent to the battle without training.
[emoji117] Follow @Flash_news_ua
Soma mpka mwisho uelewe.Wewe unajuaje silaha zimeisha?toa takwimu kama siyo unaropoka Tu.
Jamaa kajichokea maisha kaendelea lala tuHii video nimecheka Sana,Legendddd[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]