Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Zelensky kaleta tabu wa raia wake.

Yote hio eti kisa kujiunga NATO [emoji1]

Sababu ya kijinga sana imetumbikiza nchi kwenye matatizo makubwa sana.

Kwani wangebaki kama walivyo kungetokea Nini!

Haya wananchi yukreni wanaishi kama panya.
 
Jamani bhas msomage vizuri hizi taarifa mnazoleta

The White House is privately asking top Ukrainian officials to show openness to peace talks with Russia, the Washington Post reported on Saturday.

Kiev’s public refusal to negotiate with Moscow unless President Vladimir Putin is removed from power in Russia must be abandoned, people familiar with the discussions told the paper.

However, the encouragement isn’t aimed at pushing Ukraine to engage in actual peace talks with Moscow to put an end to the fighting, which has been underway since late February, the sources pointed out.

The move is more of a “calculated attempt” to make sure Vladimir Zelensky’s government retains the support of foreign nations in which the public have become increasingly concerned about the prospect of the conflict continuing for years, they explained.
 
Frontline ipi?

Maana tangu inaongelewa hiyo frontie wangekuwa washafika Moscow.

Kremlin wamemuhold Bwa Mdogo Kherson wakimpa matumaini ya kushinda offensive miez 2 sasa. Halafu yeye anaididimiza Kiev katika shimo la matatizo na taabu.
Leo wamelambishwa mchanga vijana wa mobilization zaidi ya 500 kwa mpigo..,wewe endelea kujiliwaza [emoji16][emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Zelensky kaleta tabu wa raia wake.

Yote hio eti kisa kujiunga NATO [emoji1]

Sababu ya kijinga sana imetumbikiza nchi kwenye matatizo makubwa sana.

Kwani wangebaki kama walivyo kungetokea Nini!

Haya wananchi yukreni wanaishi kama panya.
Wanaishi kama panya na wamelidhika na rais wao..,kulinda uhuru Kuna ghalama yake..,hata wakirudi zama za mawe, lakini Cha msingi ni kumfurusha fashisti,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Uwanja wa vita ndo wapi kwani?…

Siku hizi ni Machine wars, siyo kama kule vita vya Kagera mzee..
Wenzio wanauwawa kama kumbikumbi wewe umeklalia propaganda mfu huku..,shauri yako.., nadhani urusi atakuja kushtukia idadi ya wanawake wajane watakapokuwa wengi..,pengine hapo atachukua hatua na kukimbia huko Ukraine mithiri ya mbwa mwizi [emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Huyo rais wao mchekeshaji na mjinga atafanya nchi hiyo kurejea enzi ya ujima. Hajui kama anatumika tu na nchi za magharibi eti kuidhoofisha urusi na wala nchi hizo hasa marekani na uingereza hawajali mstakabali wa ukraine. Mwisho wake ukraine watashindwa vita na nchi yao kiuchumi kushuka kabisa na urusi ikibakia imara kabisa kiuchumi.
 
Jibu hoja, unafikiri vifaru 90 vitabadilisha upepo wa vita?
 
Hata wakirejea zama za mawe ni maamuzi Yao,hawako tayari kumkaribisha dikiteta katika mipaka ya nchi Yao,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mkuu hapo juu hujaleta chochote kuhusu CIA kumwua Chavez. Unituambia kuhusu CIA kuwa na "microbes" ilhali hujui virusi ni kitu kingine? Basi naona tumalize topic hii, tutapoteza wakati tu. Asante.
 
Tusome vizuri ili iweje???!!!
 
Wewe mtarimbo jaribu kutumia akili kidogo tu ndugu yangu. Kwamba russia kwa sasa silaha zimeisha sababu zimetumika kwenye hii SMO? Huwa mnafikiri kwa akili za aina gani?

Yaani nchi yenye wanajeshi zaidi ya milioni mbili iishiwe silaha. Wakati idadi kamili ya jeshi lililotumwa kwenda kwenye hii SMO ilikuwa ni 150k tu.

Russia kupokea silaha kutoka Iran na Korea hakumaanishi kwamba wameishiwa silaha. Ni sehemu tu ya makubaliano kati ya hizo nchi. Makubaliano ambayo mimi na wewe hatuyajui.
Kingine, nina uhakika wa % nyingi kwamba uwezo wa kutengeneza silaha wa Iran na korea unachangiwa kwa kiasi kikubwa na wataalamu toka Russia. Wengi wa wataalaam wa silaha wa korea na Iran wamepata elimu na utaalam toka russia. Hilo halihitaji kuwa na PhD kulitambua.

Russia ana silaha na jeshi lakutosha kupambana kivita na nchi yoyote ile ya magharibi pamoja na muungano wao wa NATO.
 
Sijamaanisha kaishiwa kabisa soma vizur utanielewa kiongoz
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…