Final Boss
JF-Expert Member
- May 5, 2022
- 1,296
- 15,984
Zelensky ashalainika huyu, mwanzo alisema hatakaa kufanya mazungumzo ya amani na Russia kama Putin ataendelea kubaki madarakani."on Ukraine's terms".
Zelensky ashalainika huyu, mwanzo alisema hatakaa kufanya mazungumzo ya amani na Russia kama Puti ataendelea kubaki madarakani.
Sasa naona kabadili msimamo anataka mazungumzo ila katoa masharti uchwara, Russia hatatekeleza hata moja hapo.
Msikie masharti yake hapo
[emoji116][emoji116][emoji116]View attachment 2410675View attachment 2410676View attachment 2410678
Hizo ni lugha za kidiplomasia HAZINA maana yoyote zaidi ya kuonesha uungwana na kujikinga na LAWAMA mambo yatapoharibikaHata Russia mwanzoni wakati Zelenksy anawabembeleza wakae mezani si walikua hawataki lakini baada ya kuona mambo yanaenda mrama damu zimeanza kuwatoka masikioni tumemskia Putin mwenyewe kwenye hotuba zake akisema Russia ipo tayari kukaa mezani kuzungumza.
Russia is ready for negotiations with Ukraine, but the leaders of the Kiev regime have decided not to continue them, Russian President Vladimir Putin said on Thursday at a plenary session of the Valdai international discussion club, TASS reported.
Putin says he is ready to negotiate with Ukraine
ASANTE.Hizo ni lugha za kidiplomasia HAZINA maana yoyote zaidi ya kuonesha uungwana na kujikinga na LAWAMA mambo yatapoharibika
Hata masharit aliyoyaweka rais zelensiky kuhusu suala la mazungumzo na urusi ni lugha za kidiplomasia hazina maana yoyote zaidi ya kuonesha uungwana na kujikinga na lawama mambo yatakapoharibika[emoji57][emoji57][emoji57]Hizo ni lugha za kidiplomasia HAZINA maana yoyote zaidi ya kuonesha uungwana na kujikinga na LAWAMA mambo yatapoharibika
ASANTE MKUU.Hata masharit aliyoyaweka rais zelensiky kuhusu suala la mazungumzo na urusi ni lugha za kidiplomasia hazina maana yoyote zaidi ya kuonesha uungwana na kujikinga na lawama mambo yatakapoharibika[emoji57][emoji57][emoji57]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mazungumzo ni ngumu maana kila mtu anasimamia msimamo wake wala hakuna wa kujishushaHata masharit aliyoyaweka rais zelensiky kuhusu suala la mazungumzo na urusi ni lugha za kidiplomasia hazina maana yoyote zaidi ya kuonesha uungwana na kujikinga na lawama mambo yatakapoharibika[emoji57][emoji57][emoji57]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mkuu za Siku?! Umepotea Sana jukwaaniMazungumzo ni ngumu maana kila mtu anasimamia msimamo wake wala hakuna wa kujishusha
Alikua KhersonMkuu za Siku?! Umepotea Sana jukwaani
[emoji635][emoji1255][emoji298]A mass raid of Geran kamikaze drones on the positions of Ukraine's energy infrastructure.Zile Drones aka Kamikaze siziskii tena, kulikoni.
Hizo drones ndogo zinasumbua mno. Kwenye radar hazionekani mpaka mbahatishe kuziona angani mtawanyike au ubahatike kuwa na drone gun nayo ibahatike kuzuia mawasiliano. Na hata ukiziona huwezi tumia missile kupiga drone yenye 1/10 ya bei ya missile.Hawa jamaa wanawaua Warusi vibaya sana.
Kuna huyo sijui kichwa kimechomoka
Mwingine kapigwa mgongo
Hawa superpower uchwara mpaka leo sijui ni S-300 ya ngapi hii inapigwa. Hivi kuna silaha wametumia haijapigwa hadi leo? Kina Su-34 na Su-25 zimepigwa nyingi. Hadi meli zimepigwa.Anord Schwarzenegger [emoji116][emoji23][emoji23][emoji23]
#Ukraine: A Russian 5P85SM TEL of the S-300PM1/PM2 long-range AD system was destroyed on the move, reportedly in the vicinity of Iline, #Zaporizhzhia Oblast, ~60km from the frontline.
Would be very interesting to know how that target so far behind the lines was destroyed.
Ambayo haijapigwa ni Su-57 ambayo wanadai ni stealth lakini wameificha kwenye mahandaki hata kuinusisha kwenye anga la Ukraine hawathubutu maana wanaogopa aibu ya mwakaHawa superpower uchwara mpaka leo sijui ni S-300 ya ngapi hii inapigwa. Hivi kuna silaha wametumia haijapigwa hadi leo? Kina Su-34 na Su-25 zimepigwa nyingi. Hadi meli zimepigwa.
Kwa upande wao hata HIMARS moja imewashinda. Wanaishia kupiga dummies