Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ambayo haijapigwa ni Su-57 ambayo wanadai ni stealth lakini wameificha kwenye mahandaki hata kuinusisha kwenye anga la Ukraine hawathubutu maana wanaogopa aibu ya mwaka
Su-57 hawajaitumia. Nasema silaha walizotumia vitani maana kama vifaru vyao aina zote vishapigwa, IFV, APC, MRAP, short & medium range air defence systems, hizi S-300 tiyari ila S-400 hazipo uko, vifaa vya electronic countermeasures, artillery, boti kama Ropucha class, meli. Aina nyingi tu za silaha
 
HAKUNA ambayo haijapigwa.
 
Endeleeni na mapicha yenu ya Hollywood
 
[emoji298]️Units of the Armed Forces of Ukraine managed to gain a foothold on the northern outskirts of the temporarily occupied Snegirevka, Mykolaiv region, - said Kirill Stremousov, deputy head of the occupation administration of the Kherson region, appointed by the Russian Federation.

 
FSB arrests 9 Ukrainian saboteurs in Kherson Region

Nine members of the Ukrainian Secret Service have been detained in Kherson Region, as shown by footage published by Russia’s FSB. The operation carried out by the FSB included defusing a car bomb, while more than 5 kg of plastic explosives, three ready-to-use improvised explosive devices and a number of grenades were seized.

All nine detainees are Ukrainian citizens, and were reportedly tasked with carrying out terrorist acts against powerful figures in the Kherson government.

RT
 
Hivi vidrone itakua Ukraine wamevijam[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

#Ukraine: Another Russian Orlan-10 UAV fell to the ground and was captured by the Ukrainian 28th Mechanized Brigade.

Nb huyo wa pembeni Ni Chuck Noris
Mwigizaji wa Kimarekani.
Tunashukuru

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Russia hajawahi kukataa kukaa mezani na Ukraine toka Vita inaanza kinachogomba ni masharti ya mazungumzo
Ni kweli, kukaa mezani huwa si hoja ya msingi, hoja ya msingi je mnakwenda kila mmoja na masharti gani? ila kwa sasa Putin ameanza kulainika tayari - na sharti moja kuu ni kuondoa majeshi yake yote katika nchi ya Ukraine kabla ya mazungumzo kuanza rasmi..
Sisi wataam tunaona hilo ni chocho tu la Ukraine kujiosha mbele ya uso wa Dunia kwamba wapo tayari kwa mazungumzo muda wowote ila kifupi ni kwamba Ukraine sasa hivi inasaga na kukoboa!!
 
Twende mbele turudi nyuma hizi defences system sijui Kama zitaweza kupambana na Iskander m

Sent from my TECNO RA7 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…