Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hayo maneno ya wanamsimbaz kuwa Yanga aliwekewa mtego.Kumbe jamaa walishazidiwa mbinu
 
Nawashangaa sana Pro Russia wanaojichekesha eti Ukraine ataingia mtego wa Russia awe fooled. Wote wanaoamini hivi ni wapuuzi tu na wasiofuatilia mambo.

Kwanza katika upande wenye Intelligence kubwa katika hii vita basi ni Ukraine sababu anasaidiwa na partners wake ambae ni manguli wa intelligence. Kina Us, Uk Canada na Nato wote hao wakipata taarifa wanawapa fasta incl option on what to do. Bado kuna jirani zake hao kina Poland wanapata za field kabisa wanafikisha taarifa.

Sasa yeye Ru anategemea nani? Iran, N.korea? Hao wote wachovu sanasana ni yeye anahangaika mwenyewe ndio maana unaona Tangu vita ianze akijisahau kidogo tu anapewa pigo takatifu watu wanatulia wanamsikilizia anakurupuka kurusha makombora hovyo kama kichaa.

Endeleeni kusubiri huo mtego mliotega mtaona matokeo yake.
 
keep on dreaming kijana, tuliwaambia toka mwanzo watu wa Magharibi na US hawawezi kumwachia Putin akaishikilia Ukraine, only option aliyobaki nayo Putin ni kukubali kukaa chini wayamalize ki utu uzima bila masharti yoyote.

Kifupi plan ya Putin ya kuivamia Ukraine ishafeli vibaya sana.


Russia has ordered its forces to withdraw from the Ukrainian city of Kherson, the only regional capital seized by President Vladimir Putin’s troops since the war began.

The announcement on Wednesday followed weeks of Ukrainian advances towards the city and signalled a potentially huge blow to Russia’s military campaign in Ukraine, which it invaded in late February.
 
Niseme kweli kutoka moyoni sijafurahishwa na kitendo Cha Russia kuondoa majeshi kherson kweli nimefadhaika Sana baada ya kuona hiyo news ila naendelea kusubiri pengine mwamba ana mpango mwingine ambao sisi Kama wadau wake hatujapewa taarifa. Ila najua Kuna kitu kizito kinaenda kupigwa Ukraine mm ni maono yangu binafsi watalia zaidi ya hapo.
 

Mkuu it’s high time we pro-Russians accepted, Urusi wamezingua hapo Kherson, Big time! Yaani wiki hii imekua wiki ya vipigo kwangu binafsi! Ukiongeza na uchaguzi wa Marekani!
 
Kila kampuni ya silaha inahitaji silaha zake zigawiwe kwenye vikosi vya Ukraine kuonyesha uwezo wake.Hii mashine imedungua makombora ya Urusi"Cruise missiles" kumi na nane🤔
.....
This is why every company wants its weapon systems donated to Ukraine to show impressive results.
 
Kweli vita isikie tu Kwa mwenzio.., urusi pamoja na ghalama kama zote alizotumia katika hii vita.., huwezi kuamini Leo ana-retreat kirahisi tu..,vita inaweza kukurudisha nyuma miaka mia huku ukiishia kuambulia hasara tu bila kupata chochote [emoji57]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kutia huruma haijawahi kuwa mbinu mojawapo ya kijeshi. Mapigano yamewashinda, mnashambulia raia mnajiona mna jeshi ila frontline mnakuwa kama wanamgambo. Niliwaambia mwanzo hii Russia ingevamia Finland au Poland tungekuwa tunaongea habari nyingine. Ukraine hata ndani ya majeshi 20 yenye uwezo duniani haikuwa inafikiriwa ila Russia inahangaika hivi
 
Russia has disappointed many, vijana hamuamini mnachokiona, Bado Putin kuuliwa na Majeneral wake 😂 😂
 
Kwani si tuliambiwa Kherson ni sehemu halali ya Russia sasa inakuaje anakimbia tena
 

Waziri wa Ulinzi Benny Gantz alisema Jumatano kwamba Israeli haiwezi kusambaza mifumo yake ya ulinzi wa anga kwa Ukraine kwa sababu haina uwezo wa kutosha wa uzalishaji wa ziada.​

Hii ni mara ya kwanza kwa mamlaka ya Israeli kuja na maelezo kama hayo kwa kukataa vifaa vya kijeshi kwa Kyiv.
Hapo awali, msimamo wa Israel ulielezewa na nia ya kutoegemea upande wowote katika mzozo huo kwa hofu kwamba uwepo wa Urusi katika nchi jirani ya Syria ungeathiri usalama wa nje wa Israel.
"Ni wazi, hata kama tutaamua kubadilisha sera yetu [ya kusambaza silaha kwa Ukraine], haiwezekani kufuta hifadhi zetu za mifumo ya ulinzi wa anga," Gantz alisema.
"Tunaangalia kila siku nini kifanyike na jinsi gani tunaweza kupanua usaidizi wetu, lakini hatupaswi kusahau kwamba Ukraine inaungwa mkono na NATO." "
Israel imekuwa ikiipatia Ukraine misaada mikubwa ya kibinadamu, ikijumuisha utoaji wa madaktari wake na vifaa vya matibabu vya uwanja wa kijeshi. Siku ya Jumatano, Benny Gantz alihakikisha kwamba usaidizi huu utaendelea.
 

Attachments

  • 1668061864289.gif
    42 bytes · Views: 18
Mkuu it’s high time we pro-Russians accepted, Urusi wamezingua hapo Kherson, Big time! Yaani wiki hii imekua wiki ya vipigo kwangu binafsi! Ukiongeza na uchaguzi wa Marekani!
Uko too emotional sana ndugu! Just relax kisha kua mtazamaji. Kitanda usichokilala huwajui kunguni wake.

Unadai wamechapika ila walio wachapa kwa mujibu wako wanaogopa kuingia Kherson wakihisi ni mtego wa RF.

[emoji1255] Ukrainian operational headquarters "South" believes that the retreat of the RF Armed Forces from Kherson may be part of an information-psychological operation to mislead the Armed Forces of Ukraine said speaker of the Operational Command "South" Natalya Gumenyuk

Sasa ikiwa wao wanaochapa wanaona kama anaechapwa anataka kuwaingiza mtegoni hayo mengine unatoa wapi rafiki yangu.

War, Politics... Hv vitu viwili kama uko highly emotional ni vya kuweka pembeni kabisa. Havifai kuvisikia wala kuvifatilia.

By the way lau kama top players kwe hii michezo ya War and Politics wangekua too emotional na indecisive like majority here. Nukes zingekua zisha fly kitambo na humanity on the earth ingekua ishabaki story.

I guess you know as far as those infos you interact with kupitia kwenye media but deep of what is going on wanajua wenyewe. So they know kile wanachofanya. Na kama plan za kila mmoja zingekua uchi kiasi hicho to everyone kusingekua na maana ya mapigano.

Kama mpiga penalty tu mpirani hamwambii Goal keeper anapiga upande gani seuze uwanja wa mapambano unaoweka rehani uhai?

Nirudie tena tu...

War and Politics, ukijiona uko highly emotional... Achana kabisa na hivi vitu for the sake of your well being!... Otherwise unaeza kufa kwa depression.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…