Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,502
Sasa supply kuharibika si ndiyo kushindwa kwenyewe au unadhani alipenda ziharibike.
Hii ni chess sio draftiKashindwa
Hakuna tactal
Vijana shuleni mnaenda kusomea UJINGA? Au maarifaRussia mwameelezea tactical reasons za kusogea pembeni.
Kijeshi imeeleweka ila kwa wanazi wanaassume wameshinda vita.
Vita ina moves nyingi.
Let’s see
We jamaa una ndoto weshindwa kuirudisha hiyo cremea toka 2014 na wameshindwa kurejesha hata jimbo 1 kati ya yale 5 Leo ndio wataweza kurudisha cremia.
VIDEO.
naaam majeshi ya ukraine yanauingia mji mtakatifu wa kherson KIFUA mbele
baada ya jeshi la russia kutokomea kusiko julikana
sasa natumai umbali wa HIMARS umepunguzwa natumai Crimea itakua inaguswa bila shida yoyote
Swali gumu sana hili Kwa Warusi wa Kwa mtogolePutin sijuwi anasumbuliwa na nini kichwani mwake alituambia haya majimbo aliyopiga kura atayalinda kwa nuclear, sasa napata shida nuclear ziko wapi?
Russia mwameelezea tactical reasons za kusogea pembeni.
Kijeshi imeeleweka ila kwa wanazi wanaassume wameshinda vita.
Vita ina moves nyingi.
Let’s see
sHIDA WAMEKUFA WENGI WALIOBAKIA WAMERUDI HME NA HALISIYAOTENAVIDEO.
naaam majeshi ya ukraine yanauingia mji mtakatifu wa kherson KIFUA mbele
baada ya jeshi la russia kutokomea kusiko julikana
sasa natumai umbali wa HIMARS umepunguzwa natumai Crimea itakua inaguswa bila shida yoyote
Wewe vipi,hivi unadhani ninaogopa kutumia ID yangu? Utakuwa unachekesha sana,sina multiple IDs maana sina wa kumwogopa hapa na nina uhakika aliyeandika atakuwa anakucheka[emoji3][emoji3].Mjadala mwemaHuyo jamaa ni nyamizi na id mpya
Kabinti ka tz kalikimbilia K.Wewe vipi,hivi unadhani ninaogopa kutumia ID yangu? Utakuwa unachekesha sana,sina multiple IDs maana sina wa kumwogopa hapa na nina uhakika aliyeandika atakuwa anakucheka[emoji3][emoji3].Mjadala mwema