Axel Lloyd
JF-Expert Member
- Sep 10, 2017
- 4,170
- 9,502
ProRussia wamechanganyikiwa wasamehe Mkuu [emoji23]Wewe vipi,hivi unadhani ninaogopa kutumia ID yangu? Utakuwa unachekesha sana,sina multiple IDs maana sina wa kumwogopa hapa na nina uhakika aliyeandika atakuwa anakucheka[emoji3][emoji3].Mjadala mwema
Nilidhani ungesema Ukraine inawalia timing....lakini wewe unasema ni NATO ...una maana Russia anapambana na NATO?!?!Wanachotegemea mandonga kwa sasa ni kulipua bwawa la khakokva ,NATO wameshashtukia wanamlia time
Israel hawezi kumpa Ukraine silaha wala mifumo ya ulinzi kwani wana mahusiano mazuri na Urusi
Hapana Russia hapambani na NATO, anapambana na UkraineNilidhani ungesema Ukraine inawalia timing....lakini wewe unasema ni NATO ...una maana Russia anapambana na NATO?!?!
MKUU KULE KUNA SIRAHA ZA NCHI MBALIMBALI MKUU , SIO MCHEZO URUSI NAO WAMEFANYA KAZI KUBWA , KUPIGA NA SIRAHA ZA AINA TOFAUTI TOFAUTI,Hapana Russia hapambani na NATO, anapambana na Ukraine
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
😂😂😂😂 Pro Russia wamepigwa na kitu kizito sana sana...
Yaani ubaya wa Ukraine wao wanaenda mbele kila sehemu
Unaanza kuwa comedian Sasa[emoji23][emoji23]
MKUU SIKIA HIO SIDHANI KAMA KULIKUWA NA MAPIGANO PALE KHERSON, MAJESHI YA URUSI YALIAMUA KUONDOKA PALE,
MAANA HATA WAUKRAINE WENYEWE WANASHIDWA KWENDA WANAONA KAMA NI MTEGO MKUU HIO NI HATARI.
WAWE TU WAANGALIFU
SIKIA HIO
HUYO COMEDIAN WA UKRAINE AMALIZE TUU VITA KUNA DOCUMENTARY MOJA NIMEIONA INATIA HURUMA AISEEE WATU WANAKUFA SANA TENA SANA NA NI WENGI.Unaanza kuwa comedian Sasa[emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Ukifika muda wa kulia ni sawa tu,mbona nyinyi wakati yule Kamanda mwenye mashavu kama anapuliza moto alivyokuwa anarusha makombora ovyo ovyo kwa makazi ya watu na kuharibu miundo mbinu mlikuwa mnatupigia makelele hapa. Habari kwa sasa ni majeshi ya Russia yamekimbia upande wa Magharibi wa Jimbo la Kherson.Pro nato msije kuanza kulialia muda utaongea
Nasoma comment zake huku nacheka [emoji3][emoji3]Unaanza kuwa comedian Sasa[emoji23][emoji23]
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Mkuu wale asikari waliokuwa mobilized juzijuzi, wanauwawa zaidi ya 1000 kwa siku,huoni urusi anapoteza idadi kubwa ya raia wake kwa kivuli Cha mobilization?[emoji848]HUYO COMEDIAN WA UKRAINE AMALIZE TUU VITA KUNA DOCUMENTARY MOJA NIMEIONA INATIA HURUMA AISEEE WATU WANAKUFA SANA TENA SANA NA NI WENGI.
MPAKA WAUKRAINE WENYEWE WANASEMA (WANAOKUFA HUKU SIO WATU WA MAREKANI NA ULAYA NI RAIA WA UKRAINE.)
NIKAIELEWA HIO KAULI
Tatizo haijulikana jamaa anasimamia upande gani..,mara awatetee urusi..,mara ghafla arudi upande wa Ukraine..,yaani Ili mradi vituko [emoji16]Nasoma comment zake huku nacheka [emoji3][emoji3]
Ongezea pia kwamba huo upande walioukimbia urusi ndipo yalipo makao makuu ya mji wa kheson..,yaani huko ndo kheson mjini [emoji1255][emoji123]Ukifika muda wa kulia ni sawa tu,mbona nyinyi wakati yule Kamanda mwenye mashavu kama anapuliza moto alivyokuwa anarusha makombora ovyo ovyo kwa makazi ya watu na kuharibu miundo mbinu mlikuwa mnatupigia makelele hapa. Habari kwa sasa ni majeshi ya Russia yamekimbia upande wa Magharibi wa Jimbo la Kherson.
Ni Nani anaua hao Raia?!HUYO COMEDIAN WA UKRAINE AMALIZE TUU VITA KUNA DOCUMENTARY MOJA NIMEIONA INATIA HURUMA AISEEE WATU WANAKUFA SANA TENA SANA NA NI WENGI.
MPAKA WAUKRAINE WENYEWE WANASEMA (WANAOKUFA HUKU SIO WATU WA MAREKANI NA ULAYA NI RAIA WA UKRAINE.)
NIKAIELEWA HIO KAULI