President of China
JF-Expert Member
- Dec 6, 2018
- 34,781
- 94,550
Mkuu π₯π₯π₯Urusi huwezi sema anashindwa maana hata haijulikani anashindwa nini.
Urusi anataka kufuta jeshi la Ukraine? Kuzuia Ukraine isijiunge NATO? Kuchukua sehemu ya ardhi ya Ukraine? Kuwalinda warusi wanaozungumza kirusi pembezoni mwa Ukraine?
Tunajifanya tunajua ila ukweli hatujui Urusi anachotaka. Tunasubiri suprice tu. Nani alijua kuwa alipotangaza demilitarization angerudi kushikilia ardhi?
Nani alijua kuwa baada ya kupiga kura na kukalia maeneo na kusema sasa hapa ni Urusi atakayegusa ameigusa Urusi angefanya analofanya sasa baada ya Kherson kuguswa? Badala ya kupeleka drones Kherson kazipeleka sehemu tofauti kabisa na kaharibu haribu kweli.
Kwa ufupi hatujui anachotaka. Huenda hata Kherson haitaki akaiacha, au akaipiga bomu au anaitaka na akaongeza kikosi. Hatujui.
Au huenda hiyo ardhi kaichukua kama colateral ya kukubaliana terms pale atakapotaka kusitisha vita. Au anawavuta awashushie kitu kizito... HATUJUI. Tunachojua ni kuwa anaiharibu ardhi ya Ukraine.
Na tusiwe wepesi kusema Urusi ni dhaifu, tutakuwa tunajidanganya. Tujiulize, USA/NATO wanampa silaha Ukraine, ila hawampi kwa kiwango cha kumwezesha kuipiga Urusi ndani ya nchi yake. Kwanini iwapo Urusi yeye analipua apendavyo?
Kati ya comments zako zenye akili. Hii imevunja rekodi.Urusi huwezi sema anashindwa maana hata haijulikani anashindwa nini.
Urusi anataka kufuta jeshi la Ukraine? Kuzuia Ukraine isijiunge NATO? Kuchukua sehemu ya ardhi ya Ukraine? Kuwalinda warusi wanaozungumza kirusi pembezoni mwa Ukraine?
Tunajifanya tunajua ila ukweli hatujui Urusi anachotaka. Tunasubiri suprice tu. Nani alijua kuwa alipotangaza demilitarization angerudi kushikilia ardhi?
Nani alijua kuwa baada ya kupiga kura na kukalia maeneo na kusema sasa hapa ni Urusi atakayegusa ameigusa Urusi angefanya analofanya sasa baada ya Kherson kuguswa? Badala ya kupeleka drones Kherson kazipeleka sehemu tofauti kabisa na kaharibu haribu kweli.
Kwa ufupi hatujui anachotaka. Huenda hata Kherson haitaki akaiacha, au akaipiga bomu au anaitaka na akaongeza kikosi. Hatujui.
Au huenda hiyo ardhi kaichukua kama colateral ya kukubaliana terms pale atakapotaka kusitisha vita. Au anawavuta awashushie kitu kizito... HATUJUI. Tunachojua ni kuwa anaiharibu ardhi ya Ukraine.
Na tusiwe wepesi kusema Urusi ni dhaifu, tutakuwa tunajidanganya. Tujiulize, USA/NATO wanampa silaha Ukraine, ila hawampi kwa kiwango cha kumwezesha kuipiga Urusi ndani ya nchi yake. Kwanini iwapo Urusi yeye analipua apendavyo?
Mafanikio 129,%Mipango ya Urusi ilikuwa ifuatayo:-
1. Kuhakikisha Ukraine haiingii NATO limefanikiwa 100%
2. Kuharibu bio Laboratories za USA ndani ya Ukraine. Limefanikiwa 100%
3. Kuijeruhi Ukraine kijeshi. Mpaka sasa Ukraine ni kilema
4. Kuhakikisha majimbo mawili yanakuwa huru. Mpaka sasa ni majimbo manne. Na yamejiumga Russia.
5. Ulaya kuhaha kiuchumi. Mpaka sasa hivi ulaya viti ni vya moto.
6. Kuongeza nguvu ya Russia mdani ya OPEC+.
7. Nchi nyigi kuongeza kujiamini mbele ya USA.
Namba 1 limefanikiwa kivip mkuuMipango ya Urusi ilikuwa ifuatayo:-
1. Kuhakikisha Ukraine haiingii NATO limefanikiwa 100%
2. Kuharibu bio Laboratories za USA ndani ya Ukraine. Limefanikiwa 100%
3. Kuijeruhi Ukraine kijeshi. Mpaka sasa Ukraine ni kilema
4. Kuhakikisha majimbo mawili yanakuwa huru. Mpaka sasa ni majimbo manne. Na yamejiumga Russia.
5. Ulaya kuhaha kiuchumi. Mpaka sasa hivi ulaya viti ni vya moto.
6. Kuongeza nguvu ya Russia mdani ya OPEC+.
7. Nchi nyigi kuongeza kujiamini mbele ya USA.
Sweden na Finland wamegonga mwamba. Leo unaongelea Ukraine.Namba 1 limefanikiwa kivip mkuu
Si tuliambiwa humu Ukraine kaombs kujiunga NATO, tena kwa fast track
Mipango ya Urusi ilikuwa ifuatayo:-
1. Kuhakikisha Ukraine haiingii NATO limefanikiwa 100%
2. Kuharibu bio Laboratories za USA ndani ya Ukraine. Limefanikiwa 100%
3. Kuijeruhi Ukraine kijeshi. Mpaka sasa Ukraine ni kilema
4. Kuhakikisha majimbo mawili yanakuwa huru. Mpaka sasa ni majimbo manne. Na yamejiumga Russia.
5. Ulaya kuhaha kiuchumi. Mpaka sasa hivi ulaya viti ni vya moto.
6. Kuongeza nguvu ya Russia mdani ya OPEC+.
7. Nchi nyigi kuongeza kujiamini mbele ya USA.
Pro nato ns baadhi ya pro Russia [emoji635] mihemko sijui kama wataelewaWaza ujiwazue...
[emoji845][emoji1666][emoji845]"Any coincidences are random", Matukio ya week hii...
[emoji736] Statements of the Russian Federation about readiness for negotiations without preconditions.
[emoji736] The United States extended until May 15, 2023 permissions for banks for transactions related to Russian energy supplies.
[emoji736] Abramovich got control over $6 billion.
[emoji736] The London Metal Exchange abandoned the idea of imposing a ban on the supply of metals from the Russian Federation.
[emoji736] The US does not object to India buying Russian oil at a cost above the price ceiling, without using the services of Western companies.
[emoji736] The Netherlands allowed the shipment of 20,000 tons of Russian fertilizers to Africa, stuck in the port due to sanctions against the owner of the cargo.
Ajab la leo tena...
[emoji1099] [emoji629] [emoji635]Olaf Scholz said that the EU deliberately did not impose sanctions on Russian gas
"We have imposed sanctions against Russia,but not on gas,and it was done intentionally,because we also knew how many countries depended on gas supplies from Russia-much more than we did" he he he [emoji23]
Geopolitics [emoji2772] Kitu ambacho ukitanguliza mihemko mbele hutokaa uelewe au ung'amue kitu.
Una mtindio kichwanMipango ya Urusi ilikuwa ifuatayo:-
1. Kuhakikisha Ukraine haiingii NATO limefanikiwa 100%
2. Kuharibu bio Laboratories za USA ndani ya Ukraine. Limefanikiwa 100%
3. Kuijeruhi Ukraine kijeshi. Mpaka sasa Ukraine ni kilema
4. Kuhakikisha majimbo mawili yanakuwa huru. Mpaka sasa ni majimbo manne. Na yamejiumga Russia.
5. Ulaya kuhaha kiuchumi. Mpaka sasa hivi ulaya viti ni vya moto.
6. Kuongeza nguvu ya Russia mdani ya OPEC+.
7. Nchi nyigi kuongeza kujiamini mbele ya USA.
Pro Russia mmepigwa na kitu kizitoRussia Empire
View attachment 2414211
Kipi hicho. Russia kishakung'oa meno. Huwezi kucheka tena.Pro Russia mmepigwa na kitu kizito