Vita huwa ni silaha kusingekuwa na silaha ndani ya hii dunia kusingekuwa na vita.
Kwa hiyo bila silaha hao wanajeshi walioko frontline wangekuwa wanainama kisha matako yao yanatoa risasi ,mizinga na mabomu sio?
Mbona huwa mnajitoa akili hata kwenye mambo ambayo yako wazi ?
Silaha ndio kitu muhimu kwenye uwanja wa vita na si vinginevyo.
Mwanajeshi akiishiwa silaha kwenye uwanja wa vita huwa kama kuku aliyenyeshewa mvua tu huwa hana maajabu yeyote.
Hata sababu kubwa ya Urusi kuondoka kherson ni baada ya kugundua kuwa hawataweza tena kupeleka silaha za kutosha kwa wanajeshi wake walio kherson kutokana na kuharibika kwa daraja la Cremea ambalo ndo ilikuwa njia kuu ya usambazaji kwenye mkoa huo kwa hiyo waliofia kuwa wange poteza maelfu ya wanajeshi wake iwapo Ukraine ingefanya shambulizi kubwa dhidi ya mji huo.
Eti jeshi la Urusi litadharaulika una chekesha kweli dada yangu,
yaana lishindwe kudharaulika jeshi la Marekani lililo shindwa na wanamgambo wa kiafghanisitan ambao hawana silaha zaidi AK-47, lije lidharauliwe jeshi la Urusi linalo pambana na jeshi lenye kila aina ya silaha bila shaka unatania haukuwa siliasi.