Mkuu sorry kuingilia! Kwa mantiki yako na Ukraine aseme kwamba anapigana na nchi 4 tofauti? Maana Russia anapata misaada ya wapiganaji na Siraha kutoka Syria, Iran na N.korea.Kwa hiyo bila silaha kutoka hizo nchi 40 Ukraine ingekuwa inapigana kwa kutumia fimbo?
Ubabe wa kizamani ule ni ngumu kuufanya kukiwa na wanajeshi wazalendo yeye kaamua kupeleka wanywa gongo jeshini kawaokota mtaani daah inasikitisha sana...Kadri Putin anavyozidisha mikwara ndivyo dunia inavyozidi kumshamgaa..,hili suala la kufurushwa huko kheson lisingekuwa na uzito sana kisingefanyika kile kiinimacho anachoita referendum..,watu tunashangaa inakuwaje taifa linalojiita super pawer linashindwa kulinda ardhi yake iliyojimilikisha!?
Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kuangalia maslahi ya nchi yake ndio akili ndogo?wananchi wake wateseke Kwa maslahi ya wengine yy USA anawakataza wasinunue products za Russians halafu yy anawauzi mara 4 ya BeiHungary ni moja ya mataifa ya Ulaya ya wenye IQ ndogo, wasikuchanganye.
Hungary hana tofaut na akina Mwijaku na H Baba wanahisi huku kwa Urusi ndo pana ulaji wakistuka kumekucha watarudi tena westKuangalia maslahi ya nchi yake ndio akili ndogo?wananchi wake wateseke Kwa maslahi ya wengine yy USA anawakataza wasinunue products za Russians halafu yy anawauzi mara 4 ya Bei
Habari za Putin kusema anatetea Russian speaking natives kumbe ni porojo wao hawamtaki huyu mtetezi.Jeshi la Ukraine lisha ingia mjin khersonView attachment 2413656
Raia wa kheson wanaonekana Wana mzuka kweli wakati wanawapokea mashujaa wao..,alafu Kuna mtu anakwambua Ile kura ya referendum ilikuwa na uhalisia [emoji848][emoji848]Jeshi la Ukraine lisha ingia mjin khersonView attachment 2413656
🤔Mkuu sorry kuingilia! Kwa mantiki yako na Ukraine aseme kwamba anapigana na nchi 4 tofauti? Maana Russia anapata misaada ya wapiganaji na Siraha kutoka Syria, Iran na N.korea.