Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Ila nadhani tusiwasimange sana hawa pro-russia, siyo matakwa ya utashi wao kupenda russia, shida ninayoiona mimi hawq wenzentu wanapenda sana magwaride, wakiona ile mistari imenyooka wanasema yeeees, jeshi sasa ndio hili. Zikipita scraper yale mapipa makubwaa wanadata kabisa.

Sasa tukija field.....
 
Kumbuka jeshi la Ukraine lina kila technical support kutoka NATO since 2014,Ukraine hata wachukue 200 yrs hawawezi kuja kubwa na jeshi la kuiyumbusha Russia.The only solution ambayo western & Ukraine wanaweza wakafanya ili kukabikiana na Russia ni kuweka Silas za Nuclear hapo Ukraine na hilo haliwezi kuja kutokea maana ndio utakuwa mwisho wa Taifa hilo.

Since 2014? Check your record upya. Since 2014 training zimeanza, and kumbuka hawa watu walikuwa wanalitoa jeshi lao from soviet standards to european standards. Even military structure yao imebadilika.
Tofauti ya 2014 na sasa ni kuwa by 2014 hakukuwa na haraka, things were slow. Lakini sasa mambo ni tofauti
Sisemi jeshi la ukraine ni bora, but changes ambazo wame receive over muda mfupi zime prove success kwenye uwanja vita.

If russia ata relax akimin kuwa ukraine hawatoendelea na mabadiliko yao, basi wanafanya kosa kubwa sana sana sana.

Itachukua muda ukraine army kuimarika, but muda ni jibu. They will get there
 
yeyote atakae Ingilia oparation hii.
basi jibu la Rusia litakua ni hapo kwa hapo.
na matokeo yake itakua ni pigo la historia ambalo haijawahi kukutana nalo.
Mwisho wa kunukuu
PUTIN feb.23/2022 saa 3:47 usiku saa za moscow
Hii ndo lugha rahis ya kuelezea operation ya kijeshi kuwaondoa wanazimamboleo [emoji2][emoji28][emoji1787]
1666696731858.jpg


Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Since 2014? Check your record upya. Since 2014 training zimeanza, and kumbuka hawa watu walikuwa wanalitoa jeshi lao from soviet standards to european standards. Even military structure yao imebadilika.
Tofauti ya 2014 na sasa ni kuwa by 2014 hakukuwa na haraka, things were slow. Lakini sasa mambo ni tofauti
Sisemi jeshi la ukraine ni bora, but changes ambazo wame receive over muda mfupi zime prove success kwenye uwanja vita.

If russia ata relax akimin kuwa ukraine hawatoendelea na mabadiliko yao, basi wanafanya kosa kubwa sana sana sana.

Itachukua muda ukraine army kuimarika, but muda ni jibu. They will get there
Na baada ya hii vita kila mmoja atamheshimu mwenzake.., urusi atamheshimu Ukraine, lakini pia Ukraine atamheshimu urusi..,Yale mambo ya kupangiana marafiki hayatapata Tena nafasi

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Afganistani moto hata Russia mwenyewe alikimbia.we leta hoja nzito acha kujifichia kwenye kichaka Cha ushoga kudhulumu haki za watu.mbona hapa bongo wapo Kwa uwahi ishiwa damu mkuu?
Nashangaa tupo kwenye mambo ya vita wanatamka mambo yasiuohusiana kabisa baadae wanasema USA wamewalazimisha kumbe wao wenyewe kutwa kutamka...
 
Nyie wachafuzi wa jf mna vituko kwel kwel aseee

Yaani CIA wajue sirikali ya UKRAINE itaanguka kwasiku tatu wakat hao NATO hawakutumia hata mwezi kuiangusha hata LIBYA ambayo ilikua tayar ishavuruganwa

Halaf RUSSIA hawakujua hayo yote kama wanapigana nanani

RUSSIA sio ZIMBABWE na alijua na anajua yote yanayoendelea nayatakayoendelea baada ya hii SMO

Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu wapi pameandikwa siku tatu?! Au umekunywa vodka?!
 
Back
Top Bottom