Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Developing [emoji95]

UN calls to remove ALL restrictions on food and fertilizers from Russia - the first batch of Russian fertilizer blocked in European ports will leave for Malawi next week - UN Secretary General's office.

[emoji2772] How curious, as the West appears to discover for the first time that Russia is ESSENTIAL to the global food supply chain!
 
Habari dada....tangu juzi Jana na leo umeonekana Mara nyingi humu...uendelee hivi hivi mpendwa...usiwe unapotea Sana....Mambo mazuri yaja[emoji1787][emoji1787]
Tangu HIMARS ziingie mwezi wa Saba pro NATO hatujawahi kupigwa na vitu vizito kama mnavyopigwa pro Russia..,sema tu nyie mnachokiweza ni propaganda na maneno mengi, lakini kihualisia huko front line mnatembezewa kipondo Cha hatari..,haya mafanikio anayoyapata Ukraine yangekuwa yanapatikana upande wa urusi,hili jukwaa lingekuwa na foleni kubwa hivi Sasa..,niseme tu sisi pro ukraine hatuna mbwembe sana.., kikubwa ni kwamba tumelilax.., ajabu ni kwamba ikitokea urusi akalipua miundombinu miwili au mitatu ya umeme na maji, jukwaa litajaa article kibao za kumsifu urusi as if Kuna mafanikio yoyote aliyoyapata kwenye uwanja wa vita

Na hii Inadhihilisha jinsi watu wengi wanaoiunga mkono urusi walivyo na akili finyu.., maana wao wanashangilia tu uharibifu,bila kujari huo uharibifu utakuwa na faida gani kwao.., wanashangilia kuona makazi ya watu yakiharibiwa. , miundombinu ya umeme na maji ikilipuliwa..., picha za bibi na Babu wakikimbia kwa shida milipuko ya mabomu..,hiyo ndio furaha Yao..,

Sasa niwaulize,mnategemea kupata mafanikio kwenye uwanja wa vita kwa kushangilia mambo Kama haya? Maana hii ni laana kwenu.., karma lazima iwatafune tu,mtaishia kuandika article ndeefu za kubumba zinazomsifia fashisti,huku uhalisia unaoonekana kwenye uwanja wa vita ukizidi kuwaumbua,

Udhalim haujawai kushinda popote pale.., urusi anachokifanya huko Ukraine ni udhalim tu, [emoji848]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
[emoji629] [emoji635] Olaf Scholz said that the EU deliberately did not impose sanctions on Russian gas

“We imposed sanctions on Russia, but not on gas,” the German chancellor said. “And it was done on purpose, because we also knew how many countries depended on gas supplies from Russia, much more than we did.”
 
Mh...

The President of France congratulated Ukraine on the return of Kherson.
IMG_20221112_083139_470.jpg

“Congratulations on the return of Kherson to Ukraine, this is an important step towards the full restoration of its sovereign rights. France will continue to support Ukrainians and Ukrainian women," Macron wrote.
 
Waza ujiwazue...

[emoji845][emoji1666][emoji845]"Any coincidences are random", Matukio ya week hii...

[emoji736] Statements of the Russian Federation about readiness for negotiations without preconditions.

[emoji736] The United States extended until May 15, 2023 permissions for banks for transactions related to Russian energy supplies.

[emoji736] Abramovich got control over $6 billion.

[emoji736] The London Metal Exchange abandoned the idea of imposing a ban on the supply of metals from the Russian Federation.

[emoji736] The US does not object to India buying Russian oil at a cost above the price ceiling, without using the services of Western companies.

[emoji736] The Netherlands allowed the shipment of 20,000 tons of Russian fertilizers to Africa, stuck in the port due to sanctions against the owner of the cargo.

Ajab la leo tena...

[emoji1099] [emoji629] [emoji635]Olaf Scholz said that the EU deliberately did not impose sanctions on Russian gas

"We have imposed sanctions against Russia,but not on gas,and it was done intentionally,because we also knew how many countries depended on gas supplies from Russia-much more than we did" he he he [emoji23]

Geopolitics [emoji2772] Kitu ambacho ukitanguliza mihemko mbele hutokaa uelewe au ung'amue kitu.
 
very true huu ni mpango sìdhani kama putin anaweza kuwa mjinga kiasi iki kuweza kuachia sehemu aliyoichukua kwa jasho na damu kizembe namna hii
 
Nitaondoka na hii paragraph....
bila ya shaka kuna ishu nyeti zinaendelea nyuma ya macho yetu ila wakubwa hawajataka kutufunulia pazia la habari.

Yaani Russia ndio ashindwe kuilinda kherson.
Siamini.
Teh yah... Life la siasa (Geopolitics) lipo confined kwenye puzzle. Ukimiss nukta hata moja tu unapoteza taswira ya situation nzima kwasababu Issue nyingi zipo kama Iceberg. Kile unacho kiona juu ni small portion of ila what is underneath the surface ni so huge.

So ukifocus kwa ukubwa uonao juu, bila kutizama chini kuna nini hutopata kitu.
 
Halafu baada ya muda Urusi itaanza kufurumisha makombora ya Cruise toka mbali kwenda kwenye maeneo anayodai ni ardhi yake bila kujali wananchi anaodai alikuja kuwakomboa.
Wanajeshi wa Tanzania walipoingia Uganda walipokelewa kwa vifijo na nderemo na wananchi wa Uganda sababu walikuwa hamtaki Iddi Amin.
Nashangaa Russia haipati sapoti toka kwa wananchi wa maeneo iliyojilikisha ya Ukraine ikidai ilikwenda kuwakomboa toka Unazi🤔
Una uhakika haikusupotiwa na wakazi wa maeneo hayo?Wengi wa wakazi wa Kherson wako Russia na maeneo yanayokaliwa na Russia!
Hao mmenda kuwahoji?Tatizo mnalishwa tu habari za upande mmoja na akili inajifungia humo humo!
 
tunashangaa inakuwaje taifa linalojiita super pawer linashindwa kulinda ardhi yake iliyojimilikisha!?
Halafu baada ya muda Urusi itaanza kufurumisha makombora ya Cruise kwenda kwenye anayodai ni ardhi yake bila kujali wananchi anaodai alikuja kuwakomboa.
Wanajeshi wa Tanzania walipoingia Uganda walipokelewa kwa vifijo na nderemo na wananchi wa Uganda sababu walikuwa hamtaki Iddi Amina.
Nashangaa Russia haipati sapoti toka kwa wananchi
Teh yah... Life la siasa (Geopolitics) lipo confined kwenye puzzle. Ukimiss nukta hata moja tu unapoteza taswira ya situation nzima kwasababu Issue nyingi zipo kama Iceberg. Kile unacho kiona juu ni small portion of ila what is underneath the surface ni so huge.

So ukifocus kwa ukubwa uonao juu, bila kutizama chini kuna nini hutopata kitu.
Propaganda kubwa ya ProRussia a.k.a Warusi wa buza ni neno"Propaganda ya vyombo vya habari vya magharibi".
Hili la wananchi wa Kherson kushangalia kuingia kwa vikosi vya ukombozi vya Ukraine hata media za china na uarabuni vimeandika🤔
FB_IMG_1668235442545.jpg
 
Habari dada....tangu juzi Jana na leo umeonekana Mara nyingi humu...uendelee hivi hivi mpendwa...usiwe unapotea Sana....Mambo mazuri yaja[emoji1787][emoji1787]
Nzuri kaka si unajua mitaa yangu huwa ni kwa mada za Pro Ukraine unakonikutaga siku zote.Hapa huwa napita kimya kimya nawaachieni mnapokuwa mnashangilia na nyinyi.Si unaona sasa tumepokezana,wale Pro Russia kindaki ndaki wa hapa na wao hawaonekani tangu juzi na wewe imekuchukua zaidi ya masaa 48 mpaka kurudi tena hapa [emoji3][emoji3]
 
Una uhakika haikusupotiwa na wakazi wa maeneo hayo?Wengi wa wakazi wa Kherson wako Russia na maeneo yanayokaliwa na Russia!
Hao mmenda kuwahoji?Tatizo mnalishwa tu habari za upande mmoja na akili inajifungia humo humo!
Kwa hiyo wale tuliowaona wakishangilia mitaani siyo wakazi wa Kherson? Je nitakuwa sahihi pia nikisema wale waliohamishwa walikuwa ndiyo mamluki wa Russia.Nadhani hapa tukubaliane kuwa ni kweli kulikuwa na wakazi waliokuwa wanaisupport Russia lakini hawakuwa wengi kiasi kile tulichokuwa tunaaminishwa na utawala wa Kremlin.
 
Jana nilikuwa na balozi wa Urusi nchini Tanzania. Tumeongea mengi na tumegonga cheers.

Kuhusu issue ya Kherson, tuliongea mengi sana.

Tayari Russia imeshaichukua miji mitatu 100% bado hiyo Kherson kama 30%.

Umoja wa mataifa siyo muda mrefu utaitambua miji hiyo kuwa ni sehemu ya urusi.

Operation ndiyo imeisha hivyo. Ukraine kwa sasa ni kilema hana meno hawezi kucheka tena. Sisi tunarudi zetu Urusi kuendelea na kuvuna ngano.
 
Back
Top Bottom