Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Tunachojua ni kwamba urusi kafurushwa huko kheson city..,hayo mengine ni chai tu [emoji16][emoji16][emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kale kaji ka square kilometers 135 kanazidiwa ukubwa na Mbagala rangi tatu. Yaani NATO + USA mnapigia kelele hako kaeneo. Shame on you.
 
Leo Russia kauwasha moto. Cheche zinawaka wamarekani wakufa mnoooo. Mpaka Christmas Biden atakuwa amepukutisha wanajeshi wake wengi mno kama panzi.

[emoji95] Within the counterbattery warfare, 3 U.S.-manufactured M-777 artillery systems, as well as up to 30 foreign instructors and mercenaries that formed part of the artillery crews, have been eliminated near Zaporozhye.
Kwa taharifa yako , urusi akifurushwa kabisa Jimboni zapozhia hambalo analimiki tu nusu, itakuwa na maana kwamba..,hakuna kazi yoyote aliyofanya kwenye hii anayoiita special epereshen.., maana hapo atabakiwa na Donetsk luhansik na Crimea..haya majimbo yalikuwa na uhasi au yalikuwa mikononi mwa urusi tangu 2014

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Tunachojua ni kwamba urusi kafurushwa huko kheson city..,hayo mengine ni chai tu [emoji16][emoji16][emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Yaani nchi zote hizo mnapigia kelele ka eneo ka square km 135?

Albania, Belgium, Bulgaria, Canada, Croatia, Czechia, Denmark, Estonia, France, Germany, Greece, Hungary, Iceland, Italy, Latvia, Lithuania, Luxembourg, Montenegro, Netherlands, North Macedonia, Norway, Poland, Portugal, Romania, Slovakia, Slovenia, Spain, Turkey, the United Kingdom, and the United States.
 
Kale kaji ka square kilometers 135 kanazidiwa ukubwa na Mbagala rangi tatu. Yaani NATO + USA mnapigia kelele hako kaeneo. Shame on you.
Ukubwa sio hoja mkuu, umewahi kujiuliza kale ka kisiwa ka UK kaliwezaje kuwa super pawer na kuitiisha dunia??

Ulishawai kuona Ramani ya islaer?

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kale kaji ka square kilometers 135 kanazidiwa ukubwa na Mbagala rangi tatu. Yaani NATO + USA mnapigia kelele hako kaeneo. Shame on you.
Hebu fafanua mkuu unaongelea square miters ama kilometers.

Mbagala ina square kilometers ngapi?.
 
Kwa taharifa yako , urusi akifurushwa kabisa Jimboni zapozhia hambalo analimiki tu nusu, itakuwa na maana kwamba..,hakuna kazi yoyote aliyofanya kwenye hii anayoiita special epereshen.., maana hapo atabakiwa na Donetsk luhansik na Crimea..haya majimbo yalikuwa na uhasi au yalikuwa mikononi mwa urusi tangu 2014

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Kwanza niwe mwalimu wako wa kiswahili. Utulie hivyo hivyo kama unanyolewa.
Hambalo, analimiliki. Hayo maneno siyo ya kiswahili.
 
Kale kaji ka square kilometers 135 kanazidiwa ukubwa na Mbagala rangi tatu. Yaani NATO + USA mnapigia kelele hako kaeneo. Shame on you.
Mkuu usiwe na wasiwasi. Haba na haba hujaza kibaba, sivyo? Unapenda kumpigia Putin debe, ila wote wana jua hali jinsi ilivyo.
Haibadiliki kitu ukitulia kidogo, ila ikikusaidia binafsi endelea kupiga debe tu!
(ila haitamsaidia Putin, sivyo?)
 
Yaani nchi zote hizo mnapigia kelele ka eneo ka square km 135?

Albania, Belgium, Bulgaria, Canada, Croatia, Czechia, Denmark, Estonia, France, Germany, Greece, Hungary, Iceland, Italy, Latvia, Lithuania, Luxembourg, Montenegro, Netherlands, North Macedonia, Norway, Poland, Portugal, Romania, Slovakia, Slovenia, Spain, Turkey, the United Kingdom, and the United States.
Tunachojua Kwa Sasa Kuna vita kati ya urusi na Ukraine..,hizo nyingine ni excuse tu Ili kujaribu kuficha aibu ya kichapo [emoji16][emoji16][emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Kwanza niwe mwalimu wako wa kiswahili. Utulie hivyo hivyo kama unanyolewa.
Hambalo, analimiliki. Hayo maneno siyo ya kiswahili.
Umeambiwa hapa tuko darasani tunaandika imla?? Au unadhani aliyeleta kipengele Cha IMLA katika SoMo la kiswahili alikuwa Hana akili...,kama unataka tuandike IMLA leta mada ya imla tutakupa ushirikiano[emoji57][emoji57]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Hebu fafanua mkuu unaongelea square miters ama kilometers.

Mbagala ina square kilometers ngapi?.
Mzee hata mambo madogo tu haya unaweza ukaingia google na kuyaona. Hapa naongelea Square Kilometers. Unasema square meters tunaongelea kiwanja cha nyumba hapa!? Nenda shule sasa ukajifunze vipimo.
 
Ata hivyo unajitahid sana ..kwa kweli una moyo mgumu..,ushangai wenzako wote pro Russia kindakindaki wameshaikimbia huu Uzi[emoji23][emoji23][emoji23]

Naona wewe bado unakaza Buti.. pongezi kwako mkuu [emoji23]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Mkuu usiwe na wasiwasi. Haba na haba hujaza kibaba, sivyo? Unapenda kumpigia Putin debe, ila wote wana jua hali jinsi ilivyo.
Haibadiliki kitu ukitulia kidogo, ila ikikusaidia binafsi endelea kupiga debe tu!
(ila haitamsaidia Putin, sivyo?)
Mzee Russia imekalia squre kilometres 125,000 hapo Ukraine. Unakuja kutupigia kelele kaeneo ka squre kilometer 135!? Are you serious!?

Screenshot_20221113-174208.png

Unatupigia kelele kaeneo ka 0.1%
Screenshot_20221113-174454.png
 
Kale kaji ka square kilometers 135 kanazidiwa ukubwa na Mbagala rangi tatu. Yaani NATO + USA mnapigia kelele hako kaeneo. Shame on you.
Wanasema mrusi kakimbia Kherson na hata MSM wanaripoti hivyo kwamba mrusi kaachia mji wa Kherson,

Lakini ukweli kilichofanyika ni urusikuondoka upande mmoja wa mto unaoigawa Kherson na kuhamia upande wa pili wa mto yaani ni kama urusi ihame kariakoo ihamie upande wa pili wa mto msimbazi yaani wahamie magomeni lakini still bado wapo dar
Kwa hiyo urusi bado yupo Kherson na hatatoka tofauti na hawa ndugu zetu SMALL CULTURE wanavyodai
 
Mzee Russia imekalia squre kilometres 125,000 hapo Ukraine. Unakuja kutupigia kelele kaeneo ka squre kilometer 135!? Are you serious!?

View attachment 2415602
Kwenye hii anayoiita special epereshen urusi kabakiwa na zapozhia.., hambayo anamiliki nusu.., pamoja na kile kipande Cha kulia Cha kheson.., sehemu nyingine zilikuwa na uhasi au zilinyakuliwa Toka 2014..,huko Nako Bado anahenyeshwa [emoji23][emoji23]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Leo Russia kauwasha moto. Cheche zinawaka wamarekani wakufa mnoooo. Mpaka Christmas Biden atakuwa amepukutisha wanajeshi wake wengi mno kama panzi.

💥 Within the counterbattery warfare, 3 U.S.-manufactured M-777 artillery systems, as well as up to 30 foreign instructors and mercenaries that formed part of the artillery crews, have been eliminated near Zaporozhye.
Source
 
Ata hivyo unajitahid sana ..kwa kweli una moyo mgumu..,ushangai wenzako wote pro Russia kindakindaki wameshaikimbia huu Uzi[emoji23][emoji23][emoji23]

Naona wewe bado unakaza Buti.. pongezi kwako mkuu [emoji23]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
Unaona sasa umeanza kunijadili mimi, mada imekuzidi uwezo. Wewe IQ yako ni kiduchu mno.
Mshukuru Mungu mimi nipo nakupatia madini kidogo kidogo uende ukatambe mtaani kwako.
 
Wanasema mrusi kakimbia Kherson na hata MSM wanaripoti hivyo kwamba mrusi kaachia mji wa Kherson,

Lakini ukweli kilichofanyika ni urusikuondoka upande mmoja wa mto unaoigawa Kherson na kuhamia upande wa pili wa mto yaani ni kama urusi ihame kariakoo ihamie upande wa pili wa mto msimbazi yaani wahamie magomeni lakini still bado wapo dar
Kwa hiyo urusi bado yupo Kherson na hatatoka tofauti na hawa ndugu zetu SMALL CULTURE wanavyodai
Hata kama padogo mbona mmepakimbia ,huko mlikokimbilia ndio mtabak salama?
 
Kale kaji ka square kilometers 135 kanazidiwa ukubwa na Mbagala rangi tatu. Yaani NATO + USA mnapigia kelele hako kaeneo. Shame on you.
Kwa hiyo nyie mlivyokua mnakamiliki mbona mlitamba nako sana , hadi mkakafanyia refendom
 
Wanasema mrusi kakimbia Kherson na hata MSM wanaripoti hivyo kwamba mrusi kaachia mji wa Kherson,

Lakini ukweli kilichofanyika ni urusikuondoka upande mmoja wa mto unaoigawa Kherson na kuhamia upande wa pili wa mto yaani ni kama urusi ihame kariakoo ihamie upande wa pili wa mto msimbazi yaani wahamie magomeni lakini still bado wapo dar
Kwa hiyo urusi bado yupo Kherson na hatatoka tofauti na hawa ndugu zetu SMALL CULTURE wanavyodai
Kikubwa ni kwamba makao makuu ya kheson ..,yaani city centre Iko mikononi mwako Ukraine..,ukishamiliki makao makuu ya sehemu flani Ina maana umeshakuwa controller wa Kila kitu.., ndio maana urusi baada ya kutangaza vita walideal na mji wa Kyiv hambao ndio mji mkuu na makao makuu ya nchi..,kama wangefanikiwa kuiteka Kiev.., automatically ni kwamba utawala wa zelensiky ungeanguka,

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Wanasema mrusi kakimbia Kherson na hata MSM wanaripoti hivyo kwamba mrusi kaachia mji wa Kherson,

Lakini ukweli kilichofanyika ni urusikuondoka upande mmoja wa mto unaoigawa Kherson na kuhamia upande wa pili wa mto yaani ni kama urusi ihame kariakoo ihamie upande wa pili wa mto msimbazi yaani wahamie magomeni lakini still bado wapo dar
Kwa hiyo urusi bado yupo Kherson na hatatoka tofauti na hawa ndugu zetu SMALL CULTURE wanavyodai
Upo upande wa pili wa mto na madaraja umeyabomoa halafu unamwambia adui yako njoo basi nikuone,Na hawezi kuja tena ulipo.Uko kilimani unamrushia makombora siku baada ya siku.
 
Back
Top Bottom