Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Hivi vifaa vya Ukraine na NATO vimechomwa vyote. Biden hakika anazeeka vibaya.
IMG_20221113_165936_832.jpg
 
Jambo la 'kushukuru' ni kuwa dunia kwa sasa haina Maraisi/viongozi ultranationalists kama ilivyokuwa miaka 50 nyuma. Vita ya Ukraine na Urusi ilikuwa ni chanzo tosha kabisa cha kuingia kwenye Vita ya dunia. Kwa sasa tutaishia kwenye ngonjera tu, huku Ukraine ikibaki magofu na Urusi kuyashikilia majimbo inayoyataka. And that will be the end of it. Urusi haitashitakiwa popote. BRICS itaimalika sana, na Nguvu za kiushaiwishi za Marekani zitapungua sana. Ingawa bado US ataendelea kuwa Great Superpower but not hegemonic!. Baada ya Vita hii, Kuna ufisadi mkubwa sana utarepotiwa nchini Ukraine—Zelensky ni corrupt leader sema tu vita hii imemuokoa—na huja Ukraine ikageuka kuwa ni taifa la kidikteta sana barani Ulaya. But kamwe haitojiunga NATO. [emoji120]
Toka usingizini..
Ukraine kwa mafunzo aliyopewa na silaha bora alizopewa kama umekimbia kherson jiandae kukimbia sehemu zote.
Himars 16 mmeshindwa dungua hata 1
 
Niwaambie kitu kimoja, popote pale vita ni Morali. Na morali inatokana na wananchi wavamiwa. Ndio sababu Marekani ameshindwa vita maeneo mengi duniani. Na ndicho kina/tachoitesa Urusi.
Screenshot_20221112-194543.jpg
 
Kuna mtu anaitwa Venus Star usiniquote maana nimekuignore.
Sana sana naona notification umeniquote

Moderator Paw hebu tengenezeni system zenu ukimuignore mtu, ajue na nisitumiwe notification

Kama ni pro russia nimekuignore
 
Niwaambie kitu kimoja, popote pale vita ni Morali. Na morali inatokana na wananchi wavamiwa. Ndio sababu Marekani ameshindwa vita maeneo mengi duniani. Na ndicho kina/tachoitesa Urusi. View attachment 2415552
Urusi siyo Marekani. Mbele ya Urusi hiyo Marekani ni taifa changa.
Urusi imeanza kupigana 907 AD.
Toa report ya USA.
 
Suicide per 100,000 people:

🇰🇷South Korea: 25.4
🇱🇹Lithuania: 20.3
🇸🇮Slovenia: 15.7
🇯🇵Japan: 14.6
🇺🇸US: 14.1
🇦🇺Australia: 12.4
🇨🇦Canada: 10.5
🇩🇪Germany: 9.7
🇬🇧UK: 8.5
🇪🇸Spain: 7.5
🇧🇷Brazil: 6.7
🇲🇽Mexico: 6.3
🇨🇴Colombia: 5.9
🇮🇹Italy: 5.8
🇹🇷Turkey: 4.4
🇿🇦South Africa: 0.6

(OECD)
Mkuu mbona unatuletea takwimu isiyoonyesha Urusi??? Maana Urusi ni kati ya nchi duniani ambako wengi sana wanajiua. Ona
1668348727306.png
 
Kuna mtu anaitwa Venus Star usiniquote maana nimekuignore.
Sana sana naona notification umeniquote

Moderator Paw hebu tengenezeni system zenu ukimuignore mtu, ajue na nisitumiwe notification

Kama ni pro russia nimekuignore
Unataka ujadili wewe pekee yako siyo!? Ondoa udikteta kwenye public discussions. Ukileta uongo tunakuripua.
 
Wewe si tumekubaliana kwamba IQ yako ni ndogo!? Au siyo wewe unayetafuta wanawake kwenye mitandao!? Njoo na critical and analytical comments. Achana na cheap topics
View attachment 2415582
Unaonekana wewe badi sana kwenye hizi anga. Kaa utulie uendelee kula ugali was shemeji huku ukinunua bandi kwa kutumia chenji za mchicha
 
Wamarekani wanateketea kama kumbikumbi.


Aftermath of the battle of Pavlovka filmed by the Russian Pacific Fleet Naval Infantry of the 'V' Group. As can be seen this battle cost the VSU very heavily. And this is Russia on the attack.

Победа будет за нами✊🏻
 
Wamarekani wanateketea kama kumbikumbi.
View attachment 2415589

Aftermath of the battle of Pavlovka filmed by the Russian Pacific Fleet Naval Infantry of the 'V' Group. As can be seen this battle cost the VSU very heavily. And this is Russia on the attack.

Победа будет за нами[emoji1307]
Tunachojua ni kwamba urusi kafurushwa huko kheson city..,hayo mengine ni chai tu [emoji16][emoji16][emoji16]

Sent from my Infinix X660B using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom