mohamedidrisa789
JF-Expert Member
- Jun 20, 2015
- 5,615
- 23,751
Kwa iyo unatakaje?Kama Moskva walivyosema imepata hitilafu kidogo ya Moto halafu baadae ikazama[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]. Hivi proRussia si ndo mlikua mnabisha humu Ukraine walivyosema wameipiga Moskva kwa Makombora,baadae mkaumbuka baada ya Russia kusema Meli imezama.
Base kule Crimea ilivyobutuliwa mkasema madhara kidogo baadae picha za satellites zikawaumbua,ndege tisa zilikua zimelipuliwa wakati Russia ilisema hakuna madhara yyte makubwa [emoji38]