Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Special Thread: Yanayojiri Mgogoro wa Ukraine na Urusi. Nini chanzo na hatma ya mzozo?

Haya mataifa ya kidicteta yanafikia ukingoni kwa hizi zama
1668303141917.png
 
Basi wanajeshi wa Ukraine walikuwa wanataka kuvuka MTO kuja upande wa pili jiji LA Kherson hichi ndicho kilicho wakuta
View attachment 2414884View attachment 2414885
Siku hizi cha kupost hakuna unaokota picha za siku nyingi mpaka majani yameota chini ya kifaru kilicholipuliwa kubalini yaishe super power katema bungo hata alivyokimbia snake island mlisema trap hata kyiv pia mlisema trap[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Ukweli utabaki kuwa Russia ni giant katika dunia hii. Hakuna nchi inayoweza pigana vita kama aliyopigana Russia. Na hata kama vita tukisema imeisha Leo bado Russia ni mshindi maana kuna Ardhi anaimiliki ambayo kabla hakuwa akiimiliki

After hii vita taswira imebadilika kidogo. Yes ziko nchi zinaweza pigana nae vizuri tu. Kuna mambo yamekuwa hyped kuhusu russia wkt si kweli
 
Halafu baada ya muda Urusi itaanza kufurumisha makombora ya Cruise toka mbali kwenda kwenye maeneo anayodai ni ardhi yake bila kujali wananchi anaodai alikuja kuwakomboa.
Wanajeshi wa Tanzania walipoingia Uganda walipokelewa kwa vifijo na nderemo na wananchi wa Uganda sababu walikuwa hamtaki Iddi Amin.
Nashangaa Russia haipati sapoti toka kwa wananchi wa maeneo iliyojimilikisha ya Ukraine ikidai ilikwenda kuwakomboa toka Unazi🤔
Vita ya Ug na TZ, huwatinalishwa matango pori. Ukiifuatilia vizuri historia ya IDD Amini utagundua alikuwa ni raisi Bora.
Ukweli usemwe kuwa M7 Ali mu outsmart JKN na kumtumia kuingia madarakani.

Achana na movie ya Uddi Amino; jaribu kufuatilia hotuba zake utaelewa nini nasema
 
Vita ya Ug na TZ, huwatinalishwa matango pori. Ukiifuatilia vizuri historia ya IDD Amini utagundua alikuwa ni raisi Bora.
Ukweli usemwe kuwa M7 Ali mu outsmart JKN na kumtumia kuingia madarakani.

Achana na movie ya Uddi Amino; jaribu kufuatilia hotuba zake utaelewa nini nasema
Umefuatilia wapi!? Rais bora anataka kuchukua Kagera.
Taja ubora wake.
 
Kuangalia maslahi ya nchi yake ndio akili ndogo?wananchi wake wateseke Kwa maslahi ya wengine yy USA anawakataza wasinunue products za Russians halafu yy anawauzi mara 4 ya Bei

Badala ya kuuza kwa bei ya punguzo. Kweli nimeamini marekani ni gaidi na mporaji mkubwa.
 
International
 - Sputnik International, 1920, 11.10.2022
Russian Precision Strikes on Ukraine
On 10 October, Russia conducted precision strikes against Ukrainian infrastructure, which was later confirmed by the country's President Vladimir Putin. The strikes came in the wake of a terrorist attack against the Russian Crimean Bridge by the Ukrainian special services.


Ukrainian soldiers move a U.S.-supplied M777 howitzer into position to fire at Russian positions in Ukraine's eastern Donbas region Saturday, June 18, 2022 - Sputnik International

LIVE UPDATES: Ukraine May Redirect 40,000 Troops From Kherson to Other Areas - Russian Official​

Yesterday


Subscribe
International
India
Africa
Russia launched a special military operation in Ukraine in February in response to calls by the Donetsk and Lugansk people's republics for protection against Ukrainian troops.
Moscow launched strikes using precision-guided weapons against Ukraine two days after the terrorist attack on the Crimean Bridge which, Russia believes, was carried out by the Ukrainian special services.
Russia's President Vladimir Putin told the Russian Security Council on 10 October that the country had launched retaliatory strikes against Ukrainian infrastructure, in response to the crimes committed by Kiev against Russian civilian infrastructure.
Ukrainian President Volodymyr Zelensky said on 1 November that about 40 percent of Ukraine's energy infrastructure had been damaged as a result of these strikes, leading to mass power cuts throughout the country. Ukraine has introduced rolling power outages to repair the energy grid ahead of winter.
Follow Sputnik's Live Feed to Find Out More!

New firstOld first
13 hours ago
Ex-CEO of Russia's Roscosmos Says Plans Mass Production of Drones for Troops in Donbass
Former Roscosmos CEO Dmitry Rogozin told Sputnik that his inspection group of military advisers in the zone of the Russian military operation in Ukraine had been working with military developers to create light attack drones for troops of the republics of Donetsk and Lugansk, incorporated into Russia in October.

"It is not about buying commercial drones... but about creating and testing... reconnaissance and light attack drones that could have a serious impact on the situation on the front," Rogozin said, adding that these tests could be conducted right at the test sites of the republics of Donetsk and Lugansk.

According to Rogozin, the group is in close contact with over 10 Russian military developers from different cities that could initiate serial production of military drones.

Earlier in the week, Rogozin told Sputnik that he had headed the Tsar's Wolves inspection group, which consists of "experienced military advisers and experts with rich military experience."

On Thursday, Rogozin announced successful tests in the republic of Donetsk of a "smart sight" for mortars with the participation of the Tsar's Wolves center.
 
Back
Top Bottom